Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

Karibu huku[emoji116][emoji116]View attachment 2167597
Au akaribie huku

Pesa.jpg
 
Forex naiogopa sana!
Usiogope mkuu penye nia pana njia. Mi kwangu hii naona ndio njia rahisi ya kupata hzo 2 usd kwa siku.
Pesa.jpg

Tafuta tu maarifa sahihi na ufanye mazoezi kupitia demo accounts. Cha msingi usitake mafanikio makubwa kwa haraka utapoteza sana. Na hii si forex tu bali hata maisha ya kawaida tunasemaga hakuna utajiri wa haraka au utajiri kuupata ni lazima ugangamale kinoma.
 
View attachment 2168146

Tafuta tu maarifa sahihi na ufanye mazoezi kupitia demo accounts. Cha msingi usitake mafanikio makubwa kwa haraka utapoteza sana. Na hii si forex tu bali hata maisha ya kawaida tunasemaga hakuna utajiri wa haraka au utajiri rahisi kuupata ni lazima ugangamale kinoma.
Brokers gani ni wazuri kwa mazingira yetu ya bongo?
 
Vipi njia za uwekaji na utoaji pesa?
Wengi wana hzi njia za international money transfer (Wire transfer, Credit/Debit Cards, electronic wallets e.g skrill n.k). Ukiwa na skrill au debit card/ bank account poa tu)
 
Okay. Shukran.
 
Usiogope mkuu penye nia pana njia. Mi kwangu hii naona ndio njia rahisi ya kupata hzo 2 usd kwa siku.
View attachment 2168146

Tafuta tu maarifa sahihi na ufanye mazoezi kupitia demo accounts. Cha msingi usitake mafanikio makubwa kwa haraka utapoteza sana. Na hii si forex tu bali hata maisha ya kawaida tunasemaga hakuna utajiri wa haraka au utajiri kuupata ni lazima ugangamale kinoma.
Usiwati moyo utalaumiwa mkuu.
Watu wavivu kujifunza kitu kipya.

Forex na Binary ni dola njenje
 
Wengi wana hzi njia za international money transfer (Wire transfer, Credit/Debit Cards, electronic wallets e.g skrill n.k). Ukiwa na skrill au debit card/ bank account poa tu)
Binary/deriv
Screenshot_20220329-215000_MetaTrader%205.jpg
 
Pambana na appen na oneforma mkuu wana viproject vingi vingi ukikomaa haswa hukosi $30 kwa wiki
Sema Oneforma wadwanzi mkuu! Nimefanya kikazi cha dola kama 10, miezi miwili hawalipi!
 
Back
Top Bottom