Wang Yi
Senior Member
- Jan 12, 2021
- 197
- 430
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Forex naiogopa sana!
Usiogope mkuu penye nia pana njia. Mi kwangu hii naona ndio njia rahisi ya kupata hzo 2 usd kwa siku.Forex naiogopa sana!
Brokers gani ni wazuri kwa mazingira yetu ya bongo?Usiogope mkuu penye nia pana njia. Mi kwangu hii naona ndio njia rahisi ya kupata hzo 2 usd kwa siku.
View attachment 2168146
Tafuta tu maarifa sahihi na ufanye mazoezi kupitia demo accounts. Cha msingi usitake mafanikio makubwa kwa haraka utapoteza sana. Na hii si forex tu bali hata maisha ya kawaida tunasemaga hakuna utajiri wa haraka au utajiri rahisi kuupata ni lazima ugangamale kinoma.
Brokers wa UK na hata Seychelles ni wazuri. wanaaminika.Brokers gani ni wazuri kwa mazingira yetu ya bongo?
Vipi njia za uwekaji na utoaji pesa?Brokers wa UK na hata Seychelles ni wazuri. wanaaminika.
Wengi wana hzi njia za international money transfer (Wire transfer, Credit/Debit Cards, electronic wallets e.g skrill n.k). Ukiwa na skrill au debit card/ bank account poa tu)Vipi njia za uwekaji na utoaji pesa?
Okay. Shukran.Wengi wana hzi njia za international money transfer (Wire transfer, Credit/Debit Cards, electronic wallets e.g skrill n.k). Ukiwa na skrill au debit card/ bank account poa tu)
Endelea kuigopa kabisaForex naiogopa sana!
Usiwati moyo utalaumiwa mkuu.Usiogope mkuu penye nia pana njia. Mi kwangu hii naona ndio njia rahisi ya kupata hzo 2 usd kwa siku.
View attachment 2168146
Tafuta tu maarifa sahihi na ufanye mazoezi kupitia demo accounts. Cha msingi usitake mafanikio makubwa kwa haraka utapoteza sana. Na hii si forex tu bali hata maisha ya kawaida tunasemaga hakuna utajiri wa haraka au utajiri kuupata ni lazima ugangamale kinoma.
Binary/derivWengi wana hzi njia za international money transfer (Wire transfer, Credit/Debit Cards, electronic wallets e.g skrill n.k). Ukiwa na skrill au debit card/ bank account poa tu)
Wengi wana hzi njia za international money transfer (Wire transfer, Credit/Debit Cards, electronic wallets e.g skrill n.k). Ukiwa na skrill au debit card/ bank account poa tu)
Kutoa pesa skrill tumia safaricom Mpesa, dollar 10 utapokea almost 22500Skrill ana makato atuonee huruma aisee
Hukunielewa naona.. Mimi hua natumia WiFi so nikijiunga hapo sitalipwa coz wanataka mi ndo nisuplyinasaidia kupush kiasi kuliko kukomaa na data zako
Kutoa pesa skrill tumia safaricom Mpesa, dollar 10 utapokea almost 22500
Ela nayolipwa directly uwa naipokea crdb japo sasa hv nimefungua bank abc dollar accountTofauti na safari mpesa unatumia bank gani?
Ela nayolipwa directly uwa naipokea crdb japo sasa hv nimefungua bank abc dollar account
Unawatumia kupokea? Equity ni wazurMi nmb nimewatumia ila transactions zina delay sana. Nataka jaribu equity
Sema Oneforma wadwanzi mkuu! Nimefanya kikazi cha dola kama 10, miezi miwili hawalipi!Pambana na appen na oneforma mkuu wana viproject vingi vingi ukikomaa haswa hukosi $30 kwa wiki