Nipeni Urais wa Tanzania muone namna gani CCM wametuchelewesha!

Uzoefu naonesha nchi zinachaguaga maeneo machache ili kujenga uchumi wa maeneo mengine.

Unadhani Falme za Kiarabu hakuna sehemu nyingine zaidi ya Dubai? Unadhani Marekani hakuna maeneo mengine zaidi ya New York na Los Angeles California?

Maeneo hayo yatatumika kama chachu ya maendeleo katika maeneo mengine.
 
Uchumi wa nchi Maskini utainuliwa kwa mambo Makuu yafuatayo;

1. Mapinduzi ya Kilimo
2. Viwanda Vidogovidogo hasa vya kuchakata na kusindika chakula na malighafi za mazao.
3. Miundombinu ya Maji kila Nyumba nchi nzima.
4. Miundombinu ya Nishati ya Umeme kila Nyumba nchi nzima.
5. Barabara Bora nchi nzima.

6. Elimu kwa vitendo kwa vijana
7. Uvamizi Kwa nchi nyingine ili kuuza bidhaa zetu kwenye nchi hizo na Kusaidia vijana wetu.

8. Kurasmisha Kazi ambazo sio rasmi na kuwaweka watu wote kwenye mfumo wa ulipaji Kodi.

9. Kuboresha Sera na Sheria za kikodi ili walipaji wawe wengi. Kodi ndogo walipaji wengi.

10. Kuweka mazingira mazuri ya utalii.
 
Hizo njia ndefu ndo kila siku zimetufanya kuwa hapa tulipo na badala yake maataifa yaliyoweka vipaumbele kwenye masuala kadhaa saivi yametuzidi hadi tunajiuliza kila siku tatizo nini?


Hvyo vipaumbele nilivyoweka hapo maximum ni 10 to 15 years Tanzania tunalinganishwa na South Korea kiuchumi
 
Mpaka hapo umeshafeli yaani uanze kutawanya taasisi za Umma Kila Mkoa ,wewe utakuwa hazikutoshi.

Mji Mkuu ni Dom na ni uamzi sahihi kabisa.

Harafu hatuhitaji Kiongozi wa kuanza upya Kila siku,tuna Dira hiyo ndio ya kufanyia kazi.
 
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan anatekeleza ilaninya CCM ya 2020-2025. Tumuunge mkono.
 
Sahihi kabisa.
Mtu anakuna anaanza hadithi za kujenga Jenga. Badala kwanza kucontrol Expenditure. Hii nchi Hela inazo nyingi ila misururu ya matumizi isiyo na kichwa Wala miguu ndio inatuleta kwenye Vicious Cycle ya umasikini
 
Mkuu, mpaka sasa umeshafanya nini na wapi tuje tuangalie tujiridhishe kuwa wewe ni mtu wa vitendo na siyo porojo tu kama tundu lisu.
Isije ikawa unataka kutuuzia mbuzi kwenye gunia, kama wanasiasa wengi walivyo
 
Mpaka hapo umeshafeli yaani uanze kutawanya taasisi za Umma Kila Mkoa ,wewe utakuwa hazikutoshi.

Mji Mkuu ni Dom na ni uamzi sahihi kabisa.

Harafu hatuhitaji Kiongozi wa kuanza upya Kila siku,tuna Dira hiyo ndio ya kufanyia kazi.
Mji Mkuu hautaondoka Dodoma. Ila yatakuwa makazi ya Serikali yaani Ikulu, Wizara, Bunge, Mahakama na Benki Kuu tu.

Ni ushamba na kukosa maarifa kujaza mataasisi yote Dodoma. Mfano nikikuuliza kulikuwa na haja gani ya Makao Makuu ya TBC kutolewa DSM utaweza kunipa jibu? Au makao makuu ya TCRA ?

Taasisi zote zitasambazwa mikoani. Hata Marekani Makao Makuu ya CIA yapo Langley State of Virginia na sio Washington DC.

Hujawahi jiuliza what if Bomu likapigwa Dodoma ambapo tunajaza maofisi ya Serikali na Taasisi zake zote kutakuwa na impact gani kwa taifa? Huoni hapo tutalazimika kuanza upya kabisa kama taifa?

Unadhani walioweka makao makuu ya Atomic Arusha, Makao Makuu ya TAWA Morogoro walikuwa vichaa hadi mnataka kujaza mataasisi yote hapo Dodoma?
 
Sahihi kabisa.
Mtu anakuna anaanza hadithi za kujenga Jenga. Badala kwanza kucontrol Expenditure. Hii nchi Hela inazo nyingi ila misururu ya matumizi isiyo na kichwa Wala miguu ndio inatuleta kwenye Vicious Cycle ya umasikini

Tatizo watu wengi wanatatua matatizo ambayo sio ya msingi kwa wananchi
 
Basi wasingeijenga vile kuwa sehemu ya utalii na leisure!

Unatumia kile ulichobarikiwa kujenga na Kupata vile ambacho hauna.

Tanzania bado hatujafika uchumi wa kujenga Majengo kama ya Dubai. Haya yaliopo tuu hakuna wakaaji.

Haya masoko ya Kisiasa yaliyojengwa Kwa mamilioni ya pesa unajua yanaingiza faida Kiasi gani?

Nenda Soko la Morogoro Mjini, pale, njoo hapa Magomeni, nenda pale Tandale,

Boresha kwa kiwango kikubwa maeneo yanayogusa watu wengi kwa wakati Mmoja, ili kuboresha maisha yao.

Hiyo itakusaidia kuinua uchumi wa nchi na kujenga miundombinu kama ya Dubai.

Mradi wa Bwawa la umeme ✅
Mradi wa SGR ✅
ATCL ✅½

Huwezi tumia mabilioni ya pesa kuanzisha mradi utakaotumia mabilioni Mengi ya pesa kuuendesha wakati Watumiaji WA huo mradi ni 5%
 
Kabisa CCM ni dudu baya sana!
 
Chukua urais wa Tanzania tuone utakavyotuwahisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…