Nipeni Urais wa Tanzania muone namna gani CCM wametuchelewesha!

Unaomba Urais apewe tapeli la JF? Kweli?
 
Hatukupi, hakuna sehemu uliyosema utawasaidia vipi wananchi wawe na kipato kizuri na uwakika wa kupata chakula na huduma nzuri za afya, ili upate nguvu kazi za kufanya hayo yote kwa kuwatumia hao wananchi???
 
Kichwa Cha Thread Oops
Muulize Wankyo Ramadhan Nyegese
Alisema Naomba Rais SSH Alipe Nafasi Ya IJP Kwa Muda Mfupi Ninyooshee Nchi Halafu Ampe Cheo Mtu Mwingine

Tanzania Nzima Inajua Kilichompata Mpaka Kesho Anasikiliza Cheo Bombani Tu, Alipata Msukosuko Ndani Ya Geshi Hana Hamu
Nyota Zimekuwa Nzito Mabegani Mwake
 
Hatukupi, hakuna sehemu uliyosema utawasaidia vipi wananchi wawe na kipato kizuri na uwakika wa kupata chakula na huduma nzuri za afya, ili upate nguvu kazi za kufanya hayo yote kwa kuwatumia hao wananchi???
Kwa akili zako hayo yote unadhani hayatainua kipato cha mwananchi? Au sera zimeenda sana shule maana mmezoea kupewa sera za kudanganywa danganywa na maneno mepesi mepesi tu!
 
Kwa akili zako hayo yote unadhani hayatainua kipato cha mwananchi? Au sera zimeenda sana shule maana mmezoea kupewa sera za kudanganywa danganywa na maneno mepesi mepesi tu!
Kwahiyo watakula hayo majengo?? Wewe hata balozi wa nyumba kumi hatukupi, uvivu tu wa kulima..!
 
Nani kakwambia nahitaji kufanya hayo yote kwa fedha za Serikali?

Au huelewi maana ya PPP anayohubiri kila siku Kafulila?
 
Hujui dunia, mpaka apo ,umeisha kuwa kama jiwe,
 
Kwahiyo watakula hayo majengo?? Wewe hata balozi wa nyumba kumi hatukupi, uvivu tu wa kulima..!
Mmezoeshwa vitu vyepesi sana ndo mana mambo makubwa namna hii huwezi kuyaelewa.

Ni tatizo la ufahamu na upeo tu!
 
Hujui dunia, mpaka apo ,umeisha kuwa kama jiwe,
Nilivyozunguka Duniani haya ndo mambo ya muhimu niliyojifunza yaliyozifanya nchi tulizokuwa nazo sawa kiuchumi miaka ya 60 kutuzidi kwa kasi ya radi hadi saivi zinatupa misaada
 
Pesa ya kuendeshea hayo mambo Yote utaitolea wapi au utataifisha RASILIMALI ZA NCHI nijibu hapo ukijibu nitapata mwanga
 
Mmezoeshwa vitu vyepesi sana ndo mana mambo makubwa namna hii huwezi kuyaelewa.

Ni tatizo la ufahamu na upeo tu!
Uongozi sio karama yako ndio nyie mtaishia kuvamia makamu wenu usiku na pajama 😹
 
Cha msingi muda ukifika msitoe tu fomu ya mgombea mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…