Nipeni ushauri: Mke wangu ameninunia kwa miezi saba sasa. Navumilia tu hata sijui mwisho wake

Ushauri bora kabisa, nakubaliana na wewe.
 
Tyre ya gari lako ikiwa inapoteza upepo kila siku na huoni unapotokea suluhu ni kutafuta nyingine isije siku ikakupasukia
 
Huu uzi una majibu yote.
 
Kuna kitu hapa umeficha hakipo sawa. Mwanamke kufika hiyo stage umefanya jambo baya ambalo wewe mwenyewe uwezi kuliweka hapa. Jua tu mwanamke ni tofauti na mwanaume akisema hivo ujue anasema kweli kwaiyo kama unampenda na umemkosea kweli muombe msamaha taratibu. Na hadi hapo huyo msichana ni mtu huru pengine anafanya kazi kwaiyo anaweza move forward bila wewe.
 
Duh watu muna uzungu mwingi! Yaani kala gundi miezi saba na bado upate nguvu ya kumtoa mahali ili akayaseme ya moyoni.
Binaadamu tunayofautiana pa kubwa asee.
 
Umesema ndani mnapishana tu Kama Mang'ombe I'm trying to remind you "Hata Mang'ombe huwa hayapishani bila kusex so nyie ni zaidi ya Mang'ombe". Mwache Huyo Binti.
 
😁😁kapumbavu!
 
Umesema ndani mnapishana tu Kama Mang'ombe I'm trying to remind you "Hata Mang'ombe huwa hayapishani bila kusex so nyie ni zaidi ya Mang'ombe". Mwache Huyo Binti.
Hili jamaa litakuwa limemwumiza sana! Na ukweli ni kwamba hawa wanawake hata kutoka nje ya ndoa chanzo huwa ni sisi wanaume mandezi! Unamwumiza miaka yote amekuvumilia tu mwisho wa siku anakata tamaa! Hili jamaa lingeyasema yote hayo linayoyaficha watu mngelia hapa kwa kumhurumia huyo binti!
 
Natamani kujua umemkosea nini mkeo mr fish. Maana sio kila binadamu kaumbwa imara, wakati mkeo anakuonya, ulitakiwa kujua kuwa yeye sio mvumilivu na Wala hawezi samehe. Kwanini ulikua unamkomoa kwa makosa?? Sio kila MWANAMKE anaweza vumilia ujinga aloo.
 
Umesema ndani mnapishana tu Kama Mang'ombe I'm trying to remind you "Hata Mang'ombe huwa hayapishani bila kusex so nyie ni zaidi ya Mang'ombe". Mwache Huyo Binti.
Sipati picha jinsi hilo bull na hilo cow yanavyopishana hapo ndani! Najaribu kuwaza sipati picha!
 
Huo ndio udhaifu.
Mimi mke akininunia wiki moja tu hata kama tuna watoto 8 namwacha chap.
Wanaume wenzangu mnakwama wapi?
Hizo fursa za kununiwa miezi 7 mnazichezea sana vijana.
Ningemwacha kikatili asingepata amani mpaka umauti wake
 
Ulimkosea nini mkuu
 
Atakuwa na mwanamume mwingine,siku mwambie aende kwao mwandalie nauli .akifika tuu mjulishe baba mkwe mtoto wako nimenleta mjaribu kukaa nae ajirekebishe tabia asirudi .uwe unatumia matunzo huko huko.tunza ka kumbu kumbu za miamala.
 
Mtoto mmoja, nyumba moja. Gawaneni tuu amani ni bora kuliko mali.
Yesu alisema uhai wa mtu hautegemei wingi wa mali alizonazo. Baadae tunakufa tafuta uishi kwa furaha sasa miezi 7 umenuna ukifa utafidia wapi?
Tafuta papuchi nyingine maisha yaendelee.
 
Usijinyenyekeshe kwa mwanamke hata kama makosa ni yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…