Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 437
- 867
Binafsi nina sheria moja, ikifikia hatua ninahitaji solution halafu mhusika hataki tusuluhishe naachana nae hata kama kosa ni la kwangu, hutaki solution nini kingine unataka?
Cha kufanya nakupandisha cheo, yaan nakupa kitu inaitwa "Both teams to score". Maigizo unayonifanyia nakuwa nakupa double yake, mfano; Umeninunia hutaki kuongea na mimi, mimi pia sitoi neno lolote maana kukuuliza kwangu wewe ndo unapata ushindi kwa kutonijibu. So nisipokuongelesha unapataje ushindi kuwa umenuna hutaki kuongea na mimi?
Hutaki kunipikia, siulizii chakula. Nina mifano mingi sana iliyonikuta, kuna mwanamke ugomvi kidogo tu utasikia usinitumie text wala kunipigia text sitokujibu, basi na mimi hiyo text yake sikuijibu... wiki moja tu akaanza mwenyew et "mbona kimya sana"
No way out, hata huyo mpandishe cheo