Nipeni ushauri: Mke wangu ameninunia kwa miezi saba sasa. Navumilia tu hata sijui mwisho wake

Nipeni ushauri: Mke wangu ameninunia kwa miezi saba sasa. Navumilia tu hata sijui mwisho wake

Binafsi nina sheria moja, ikifikia hatua ninahitaji solution halafu mhusika hataki tusuluhishe naachana nae hata kama kosa ni la kwangu, hutaki solution nini kingine unataka?

Cha kufanya nakupandisha cheo, yaan nakupa kitu inaitwa "Both teams to score". Maigizo unayonifanyia nakuwa nakupa double yake, mfano; Umeninunia hutaki kuongea na mimi, mimi pia sitoi neno lolote maana kukuuliza kwangu wewe ndo unapata ushindi kwa kutonijibu. So nisipokuongelesha unapataje ushindi kuwa umenuna hutaki kuongea na mimi?

Hutaki kunipikia, siulizii chakula. Nina mifano mingi sana iliyonikuta, kuna mwanamke ugomvi kidogo tu utasikia usinitumie text wala kunipigia text sitokujibu, basi na mimi hiyo text yake sikuijibu... wiki moja tu akaanza mwenyew et "mbona kimya sana"

No way out, hata huyo mpandishe cheo
 
Sijawahi kuwa mchepuko,ila kama hapewi na mkewe akamlale mamamkwe? Atoke nje awe na mpenz mmoja
Kwa hio aongeze mpenzi mmoja mwingine hapo nje ambae atakua anaenda kumkojolea huko nje huku ndani wakiendelea kununiana yeye anaenda kukojoa na mkewe anaenda kukojolewa nje au sio?
 
Kwa hio aongeze mpenzi mmoja mwingine hapo nje ambae atakua anaenda kumkojolea huko nje huku ndani wakiendelea kununiana yeye anaenda kukojoa na mkewe anaenda kukojolewa nje au sio?
Nikutakie siku njema mkuu
 
Nimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja tumejenga ila mke wangu ameninunia now miez 7 navumilia tu hata sijui mwisho wake.

Anasema hanipendi, upendo umeisha kwangu. Sababu kuna makosa nayarudia mara kwa mara kwamba anaona kama simpendi ,na makosa mengine ya zaman hata kabla hatujaoana .

Nimembembeleza nimejaribu kuitishana vikao na wazee amekubal ila sasa amekubali ilimradi kuwaridhisha wazee, maana baada ya hapo anasema kama tunaishi ili watu waone sawa.

So no sex no talking tunapishana kama mang'ombe. Kuachana nae nahofia mwanangu na mali tulizotafuta kwa pamoja

Nahofia tukiachana kila kitu kitasambaratika na watoto wataanza pata tabu mana mali ndio hadhina ya watoto. am stuck
Elezea hayo makosa unayorudia rudia tujue ana point au hana? Kila wakati unakosa tuambie hayo makosa kwanza, wewe unataka uendeleze mambo Yako yeye aendelee kuvumilia tu hapana
 
Mruhusu aondoke, usiwaze sana kuhusu watoto coz kadri mnavyoishi kihuni ndivyo mnazidi kuharibu saikolojia yao, so ni bora ukamruhusu aondoke.

Swala la mali, ulitafuta ukazipata..utapata zingine.
 
Binafsi nina sheria moja, ikifikia hatua ninahitaji solution halafu mhusika hataki tusuluhishe naachana nae hata kama kosa ni la kwangu, hutaki solution nini kingine unataka?

Cha kufanya nakupandisha cheo, yaan nakupa kitu inaitwa "Both teams to score". Maigizo unayonifanyia nakuwa nakupa double yake, mfano; Umeninunia hutaki kuongea na mimi, mimi pia sitoi neno lolote maana kukuuliza kwangu wewe ndo unapata ushindi kwa kutonijibu. So nisipokuongelesha unapataje ushindi kuwa umenuna hutaki kuongea na mimi?

Hutaki kunipikia, siulizii chakula. Nina mifano mingi sana iliyonikuta, kuna mwanamke ugomvi kidogo tu utasikia usinitumie text wala kunipigia text sitokujibu, basi na mimi hiyo text yake sikuijibu... wiki moja tu akaanza mwenyew et "mbona kimya sana"

No way out, hata huyo mpandishe cheo
interesting umenifungua kitu hapa huwez amin mana nimempa ushindi mara dufu kwa maana hiyo
 
Ndoa ni Either mwanaume aoe (itadumu)
Au mwanaume aoe na kuolewa (atasulubiwa)

Watalaam wa mahusiano wanadokeza usidharau zile red signals za awali kwa mwenza wako kabla ya kuingia ndoani. Sidhan kama hukuziona ila ukazipuuzia
 
Nimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja tumejenga ila mke wangu ameninunia now miez 7 navumilia tu hata sijui mwisho wake.

Anasema hanipendi, upendo umeisha kwangu. Sababu kuna makosa nayarudia mara kwa mara kwamba anaona kama simpendi ,na makosa mengine ya zaman hata kabla hatujaoana .

Nimembembeleza nimejaribu kuitishana vikao na wazee amekubal ila sasa amekubali ilimradi kuwaridhisha wazee, maana baada ya hapo anasema kama tunaishi ili watu waone sawa.

So no sex no talking tunapishana kama mang'ombe. Kuachana nae nahofia mwanangu na mali tulizotafuta kwa pamoja

Nahofia tukiachana kila kitu kitasambaratika na watoto wataanza pata tabu mana mali ndio hadhina ya watoto. am stuck
Unaonekana ww ni mr. Nice guy.
Mwanamke hampendi mwanaume ambaye ana upendo wa dhati, mwema kwake, hana michepuko na hana mambo mengi.
Mwanamke anapenda akili yake iwe inawaza na kukufikiria muda wowote ambapo unampa changamoto na hajui afanye nini😀😀😀
Wanawake wanatakiwa wakikutana waseme wanaume ni mbwa. Huyu mwanamke ungekuwa unampiga matukio angekuwa na upendo sana.
 
Mleta mada hizi ndizo sifa mbalimbali za Wanawake:-
ni 1.Viumbe wenye nguvu kuliko wanaume (Nguvu ya Uvutano,Kuongea,Kumiliki)n.k.

2.Wana roho nzuri sana
3. Wana huruma sana
4. Werevu sana
5.Wastaarabu mno
6. WAKOROFI
7.WANA ROHO MBAYA kuliko kiumbe chochote unachokijua
Sasa unapoishi nae ukiona Anafuraha hata ukimkosea huyo haja kuchukia lakini akinuna zaidi ya wiki Chukua tahadhari kubwa! ukimpiga .
Asilimia kubwa ukimuudhi sana na kama hataki kukusamehe huwaza mambo 2 tu.
1. Kuondoka
2. Kukuondoa.

KUWA MAKINI NA HALI HIYO
 
1.Viumbe wenye nguvu kuliko wanaume (Nguvu ya Uvutano,Kuongea,Kumiliki)n.k.
Kwenye mizagamuo inabidi mwanaume uwe na nguvu mara 2 au 3 yake ili kuweza kumfikisha kunako km nguvu zako ni za kudoweadowea atakupelekesha usisahau pia wana mbinu za kukuua kinguvu yaan kwake unaweza ukawa unawahi kumwaga au hufurahii kumkaza lakini ukienda kwa mwingine unaona una nguvu na unafurahia balaa basi hapo jua kashaziua nguvu zako kwake huna nguvu, ndio maana wanaume tunahimizwa kuchomeka matundu tofauti tofauti mpaka utapolifikia tundu lile linalokupa raha basi lichukue ishi nalo ndani
 
Tafuta suluhisho mapema iwe ni mpatane au uhame hapo ukatafute amani sehemu nyingine hapo uwe unakuja kusalimia familia na kutoa mahitaji.....haya mambo huanza kimzaha mwishowe hukomaa .... binafsi Nina mwaka wa nane Sasa kila mtu alala chumba chake Kwa mambo hayo hayo....Sasa hayazungumziki tena yeye ana jiona ana haki ya kua hivyo na Mimi pia najihisi kuonewa!talaka hataki kutoa Kwa kua tumechuma Mali pamoja....Mimi ni mwanamke kila nikidai talaka anasema sijagombana na wewe!.....haya yasikie tuu omba yasikukute
Duuuh miaka 8 mnaishi kinafiki ndani ya nyumba 1?
Aiseeeh hongera sanaa.
 
Tafuta suluhisho mapema iwe ni mpatane au uhame hapo ukatafute amani sehemu nyingine hapo uwe unakuja kusalimia familia na kutoa mahitaji.....haya mambo huanza kimzaha mwishowe hukomaa .... binafsi Nina mwaka wa nane Sasa kila mtu alala chumba chake Kwa mambo hayo hayo....Sasa hayazungumziki tena yeye ana jiona ana haki ya kua hivyo na Mimi pia najihisi kuonewa!talaka hataki kutoa Kwa kua tumechuma Mali pamoja....Mimi ni mwanamke kila nikidai talaka anasema sijagombana na wewe!.....haya yasikie tuu omba yasikukute
Na nyama hua mnachoma au nyama hua unaenda kuchomea kwa Shaban huko nje sehemu sehemu unakutana lodge anakufumua kadri anavyotaka?
 
Mengine sijui, ila nachoweza kukuhakikishia ni kwamba

1. You can live peacefully after breakup.
2. Watoto watakua vzuri tu after breakup.

Cha kufanya, Mwite mpe ruhusa ya kwenda anapotaka hata kwa miezi 3 huku akijitafakari na kipindi chote hicho usimfuatilie.

Ikipita miezi 3 haja report chochote kwako, Process divorce na endelea na maisha yako.

Miaka 4 ni mingi sana, na mtoto mmoja alie kuzawadia pia si haba, Haina haja ya kumchukia wala kumkazia just terminate the contract and look for other business opportunity
 
Back
Top Bottom