Nipigwe 'ban' ya mwezi iwapo Yanga atavuka hatua ya makundi

Uziwako umetunzwa subiri gemu ya dar na Mungu akipenda tutashinda Ili upatiwe haki Yako.
 
 
Ushindi wa jana wa yanga makolo wanaumia sanA
 
Naona haka kamtindo kanashika kasi
 
Nakukumbusha kuwa bado ninafuatilia ahadi yako hii; zimebaki siku saba tu ule ban
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…