Kama ndo ivi sijui kama watawalipa Kwa wakati...Wilaya ya ubungo nasikia wamepunguza malipo kutoka 30000 Hadi 15000 kwa siku. Na pia wamepeleka watu ambao mitaa hawaijui vizuri wenyeviti wa mitaa wamecomplain hili suala!!
400 afu wanaita watu 5000[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa wanahitaji watu wangap mbona wameita wengi sana kwenye interview
ilikuwa oral kwa moroKIVIPI SI KUANDIKA TU. AU NI ORAL
na maswali unaweza ukataja mawili ma3ilikuwa oral kwa moro
maswali ni yapi wanaulizailikuwa oral kwa moro
maswali ata ayaelewek ni tofaut tofaut mwngne anaulizwa no yko ngap ? , mwingne jina la mkuu wa wilaya , maswali ya kawaida tumaswali ni yapi wanauliza
na huwa wanatuma msg kukujulisha usahili au una subiria tangazo kwenye site.maswali ata ayaelewek ni tofaut tofaut mwngne anaulizwa no yko ngap ? , mwingne jina la mkuu wa wilaya , maswali ya kawaida tu
KweliWenye maswali waweke ili kusaidia wengine ambao hawajaitwa Bado
Wengine tumeulizwa umri wako ,unafanya kazi ganiWenye maswali waweke ili kusaidia wengine ambao hawajaitwa Bado
Umeitwa na wewe kiongozi ?Kweli
mkoa gani wewe.Wengine tumeulizwa umri wako ,unafanya kazi gani
Embu tuone vyeti vyako ( original certificate ya kuzaliwa na form 4)
Embu tuone simu yako walikuwa wanaangalia android version ngapi
Basiii hakuna cha mtihani wala kuandika
Simiyumkoa gani wewe.
mi mwenyewe natamani kujua hilo. maana sisi wengine tokea tuombe huku Manispaa ya Mpanda hatujui nini kinaendeleana huwa wanatuma msg kukujulisha usahili au una subiria tangazo kwenye site.
maana dar walikuwa wanatuma ila sijajua mikoa mingine.
sisi tunasubiria Katavi (Mpanda) hukuSimiyu
Kanda ya ziwa wamechelewa sanasisi tunasubiria Katavi (Mpanda) huku