Nipo Mashakani, sidhani kama bado napendwa

Nipo Mashakani, sidhani kama bado napendwa

Mkuu 4years zimekufanya umekua dhaifu kuchanganua swala dogo kama Hili ..Achana na huyo kiande ...ongeza focus kwenye kutafuta hela na kulinda afya ..kwa faida ya baadaye
Asante Mkuu
 
Kaniacha rasmi leo
Pole sana,kama uliweza kuwa single miaka minne nadhani hili litapita , umeshajua mahusiano ni majanga.nadhani ile minne ulikuwa na amani sana,msongo wa mawazo ulikuwa free.
 
Mabinti wa kibongo iz very different na mabinti wa kiarabu, wazungu n.k ..

Mabinti wa kibongo Wengiwao wanakupendea hela, siku ukiishiwa hela anakununia na anakupiga chini anatafuta mwenye hela amuowe hata kama ni mlevi, bangi na mchepukaji ye wala hajali 🤣🤣, likisanuka lakusanuka hukoo alikokwenda anakukumbuka na kutamani kurudi, majuto juu babaa 😂😂😂 atakua she's too late. Wachache mno wanatokea kukulove kwa dhati hata kama uwezo wa pesa ni mdogo.
 
Pole sana,kama uliweza kuwa single miaka minne nadhani hili litapita , umeshajua mahusiano ni majanga.nadhani ile minne ulikuwa na amani sana,msongo wa mawazo ulikuwa free.
Niliishi Vyema sana
 
Dondosha screen shot hiyo tumalize mchezo
Nitaweka Mkuu,nitaitaji pia maoni Yenu kulingana na sababu aliyotoa maana hata sijaelewa na pia mtanipa ushauri nimjibu vp maana bado sijamjibu.
 
Hiyo na mimi imenitokea aisee, miezi mitatu nilianzisha mahusiano na dem flani hiv na nimewahi kumla mara kadhaa hiv ila misukosuko imeanza tokea aende mbali nikawa na wasi wasi nikaanza kumtumia txt nyingi inaonesha anazipokea lkn hazijibu, mwezi wa 5 nilipata ajali nilipokuwa hosptl nimelazwa nikamfahamisha ila hakustuka akanambia na yeye mama yake kapata ajali nikampa pole akanambia atakuja mtaa huu kumuangalia mama yake lakini hatokuja kwangu, nikamuuliza "kwa hiyo hutokujaga hom?!" Ilo swali lilimuuzi akanambia napenda sana kulalamika, iv sasa wazee ninapo waadisia nipo single...majuzi nilimtext nikamdanganya kuwa nimeambiwa kaolewa na yeye akajibu ni kweli. Mpaka sasa bado nauguza kidonda[emoji22][emoji22][emoji22]

Ila pole mdau hauko peke yako tupo wengi tuliofanyiwa hivyo lkn nakushauri mpige down faster kabla hujaona matokeo hiyo ni dalili ya kuachwa....usizubae utajikuta unaumiza moyo wako bure, acha na huyo mjinga mara moja
 
Ujumbe niloukuta whatsap leo ndo huo Wakuu,Bado sijamjibu ingekua Vyema ningepata Ushauri pia kuhusiana na jumbe zake hiziView attachment 1840542
Kaamua kutafakari maisha yake, sasa na wewe tafakari maisha yako. Sidhani kama umemkosea jambo,angekueleza. Ni namna tu ameamua kuyafanya maisha yake kuwa rahisi kwa namna yeye ametaka.vivyo hivyo nawewe ufanye maisha yako kuwa rahisi kwa namna vile ipasavyo kwa kumuacha aende.

Namna yoyote ya kujilaumu au kufanya mahusiano yaendelee utafanya maisha yako ya furaha kuwa magumu.

Mimi naona ili upate amani,usithubutu kumjibu.fanya kama hujaona kitu.atajua ujumbe umefika atakapoona humtafuti tena.

Nakuomba uachane nae...
 
Ujumbe niloukuta whatsap leo ndo huo Wakuu,Bado sijamjibu ingekua Vyema ningepata Ushauri pia kuhusiana na jumbe zake hiziView attachment 1840542
Baki na 50 zako usimjibu chochote kula kimya, huu ndio muda unaotakiwa kuonyesha ukomavu wako. Kwa kufanya hivyo kuna maswali utakua umemuachia na ataendelea kujiuliza bila majibu. Najua inauma ila kwa mazingira yaliyopo chaguo lililo bora kwa sasa ni kumuacha aende kimya kimya kinyume na hapo ni kujitakia strees zisizo na faida.
 
Kaamua kutafakari maisha yake, sasa na wewe tafakari maisha yako. Sidhani kama umemkosea jambo,angekueleza. Ni namna tu ameamua kuyafanya maisha yake kuwa rahisi kwa namna yeye ametaka.vivyo hivyo nawewe ufanye maisha yako kuwa rahisi kwa namna vile ipasavyo kwa kumuacha aende.

Namna yoyote ya kujilaumu au kufanya mahusiano yaendelee utafanya maisha yako ya furaha kuwa magumu.

Mimi naona ili upate amani,usithubutu kumjibu.fanya kama hujaona kitu.atajua ujumbe umefika atakapoona humtafuti tena.

Nakuomba uachane nae...
Sawa Mkuu
 
Baki na 50 zako usimjibu chochote kula kimya, huu ndio muda unaotakiwa kuonyesha ukomavu wako. Kwa kufanya hivyo kuna maswali utakua umemuachia na ataendelea kujiuliza bila majibu. Najua inauma ila kwa mazingira yaliyopo chaguo lililo bora kwa sasa ni kumuacha aende kimya kimya kinyume na hapo ni kujitakia strees zisizo na faida.
Sawa Mkuu
 
Habarini Za wakati Huu Mabibi na Mabwana.

Takribani miezi mitatu sasa nimekuwa na mahusiano na binti flani, nimekuwa nje ya mahusiano kwa muda wa miaka minne, wakati huo nikiwa najiweka sawa kwenye mambo mengine. Hivyo nilibahatika Kumpata Binti miezi mitatu iliyopita na mahusiano yetu kiujumla yalionesha Upendo uliopo si kwangu na hata na kwake pia.

Takribani mwezi Umepita kuna Tabia ilitokea kwa huyu Binti ndani ya muda wa Siku Kama tatu nilikuwa natimiza majukumu yangu katika mahusiano kama kumjulia khali Asubuhi na pia kumtakia Usiku Mwema na kujua ni Siku yake imeishaje lakini ndani ya siku kama tatu niliyatimiza haya ila hakunijibu Simu zangu. Siku Ya nne nilimpigia simu nikaongea nae akadai kwamba alikua anaumwa, nikamweleza angenipa taarifa ila kutokujibu wala Kupokea simu zangu si jambo jema. Tuliongea hayo yakaisha.

Tatizo lingine limejitokeza leo ni Takribani siku ya nne Nimejaribu kumpigia simu hapokei, namtumia sms anazipata lakini hajibu na whatsap pia namtumia na anazisoma na anaweka mpaka sTatus ila hanijibu.

Hivyo nilikua naomba Ushauri, nichukue hatua gani katika hili Suala.
Inaonesha una cancer ya ubongo dogo
 
Back
Top Bottom