Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana,kama uliweza kuwa single miaka minne nadhani hili litapita , umeshajua mahusiano ni majanga.nadhani ile minne ulikuwa na amani sana,msongo wa mawazo ulikuwa free.Kaniacha rasmi leo
Dondosha screen shot hiyo tumalize mchezoAsante Mkuu
Nakupenda, tunaweza kuchat?Ukiona hivo jua mahusiano yake mengine yanafanya vizuri.
Halafu hakupendi, kuchat na mtu usiyempenda haina raha kabisa, ni kero na ni usumbufu.
Basi rudi huko,usubiri wakati wa Mungu kukupa aliye sahihi.Niliishi Vyema sana
Tupia hizo meseji,tujue ni wa aina gani?Nimetumiwa ujumbe Wa kuachwa leo nitaweka screenshot
Kaamua kutafakari maisha yake, sasa na wewe tafakari maisha yako. Sidhani kama umemkosea jambo,angekueleza. Ni namna tu ameamua kuyafanya maisha yake kuwa rahisi kwa namna yeye ametaka.vivyo hivyo nawewe ufanye maisha yako kuwa rahisi kwa namna vile ipasavyo kwa kumuacha aende.Ujumbe niloukuta whatsap leo ndo huo Wakuu,Bado sijamjibu ingekua Vyema ningepata Ushauri pia kuhusiana na jumbe zake hiziView attachment 1840542
Piga down mzee hapo hata usipotafta mwanasayansi aje achunguze huyo dem kawaje, nakushauri piga down faster ungana na mimi kutibu majerahaUjumbe niloukuta whatsap leo ndo huo Wakuu,Bado sijamjibu ingekua Vyema ningepata Ushauri pia kuhusiana na jumbe zake hiziView attachment 1840542
Baki na 50 zako usimjibu chochote kula kimya, huu ndio muda unaotakiwa kuonyesha ukomavu wako. Kwa kufanya hivyo kuna maswali utakua umemuachia na ataendelea kujiuliza bila majibu. Najua inauma ila kwa mazingira yaliyopo chaguo lililo bora kwa sasa ni kumuacha aende kimya kimya kinyume na hapo ni kujitakia strees zisizo na faida.Ujumbe niloukuta whatsap leo ndo huo Wakuu,Bado sijamjibu ingekua Vyema ningepata Ushauri pia kuhusiana na jumbe zake hiziView attachment 1840542
Sawa MkuuKaamua kutafakari maisha yake, sasa na wewe tafakari maisha yako. Sidhani kama umemkosea jambo,angekueleza. Ni namna tu ameamua kuyafanya maisha yake kuwa rahisi kwa namna yeye ametaka.vivyo hivyo nawewe ufanye maisha yako kuwa rahisi kwa namna vile ipasavyo kwa kumuacha aende.
Namna yoyote ya kujilaumu au kufanya mahusiano yaendelee utafanya maisha yako ya furaha kuwa magumu.
Mimi naona ili upate amani,usithubutu kumjibu.fanya kama hujaona kitu.atajua ujumbe umefika atakapoona humtafuti tena.
Nakuomba uachane nae...
Sawa MkuuBaki na 50 zako usimjibu chochote kula kimya, huu ndio muda unaotakiwa kuonyesha ukomavu wako. Kwa kufanya hivyo kuna maswali utakua umemuachia na ataendelea kujiuliza bila majibu. Najua inauma ila kwa mazingira yaliyopo chaguo lililo bora kwa sasa ni kumuacha aende kimya kimya kinyume na hapo ni kujitakia strees zisizo na faida.
Inaonesha una cancer ya ubongo dogoHabarini Za wakati Huu Mabibi na Mabwana.
Takribani miezi mitatu sasa nimekuwa na mahusiano na binti flani, nimekuwa nje ya mahusiano kwa muda wa miaka minne, wakati huo nikiwa najiweka sawa kwenye mambo mengine. Hivyo nilibahatika Kumpata Binti miezi mitatu iliyopita na mahusiano yetu kiujumla yalionesha Upendo uliopo si kwangu na hata na kwake pia.
Takribani mwezi Umepita kuna Tabia ilitokea kwa huyu Binti ndani ya muda wa Siku Kama tatu nilikuwa natimiza majukumu yangu katika mahusiano kama kumjulia khali Asubuhi na pia kumtakia Usiku Mwema na kujua ni Siku yake imeishaje lakini ndani ya siku kama tatu niliyatimiza haya ila hakunijibu Simu zangu. Siku Ya nne nilimpigia simu nikaongea nae akadai kwamba alikua anaumwa, nikamweleza angenipa taarifa ila kutokujibu wala Kupokea simu zangu si jambo jema. Tuliongea hayo yakaisha.
Tatizo lingine limejitokeza leo ni Takribani siku ya nne Nimejaribu kumpigia simu hapokei, namtumia sms anazipata lakini hajibu na whatsap pia namtumia na anazisoma na anaweka mpaka sTatus ila hanijibu.
Hivyo nilikua naomba Ushauri, nichukue hatua gani katika hili Suala.
Ukweli unaouma🤣Ukiona hivo jua mahusiano yake mengine yanafanya vizuri.
Halafu hakupendi, kuchat na mtu usiyempenda haina raha kabisa, ni kero na ni usumbufu.
Mjibu "k" usiongeze hata O.Ujumbe niloukuta whatsap leo ndo huo Wakuu,Bado sijamjibu ingekua Vyema ningepata Ushauri pia kuhusiana na jumbe zake hiziView attachment 1840542