Nipo mwambao wa Ziwa Tanganyika, uliza chochote kuhusu Kigoma utajibiwa

Watoto wa Juma Njemba bado wanaliendeleza libeneke la marehem baba yao?
 
Mkuu nataka nioe mwanamke wa kiha, vp unanishauri vp hasa tabia zao na mila za uko kwa ujumla? Mimi natoka mbali kidogo na uko,
 
chumba bei gani apo mwitongo hoteli?
 
Kutoka Kg mpaka kizenga nauli ni bei gani, nahitaji kwenda kuchukua machungwa nikauze kg mjini je yatanipa faida?
 
Hivi kuna sehemu inaitwa Kiparamsenge iko wapi?
😂 nikapalamsenga mkuu wengine hupindisha nakuweka nge mwisho badala ya nga,wenyeji wanapaita "kapala" hawapendi kabisa kumalizia🤣
Hii ipo katavi mwambao wa ziwa tanganyika nikaribu na karema na ikola
 
nimesafiri mikoa mbalimbali tanzania bara na visiwani ila kigoma bado na ndio mkoa ambao sijawahi kutamani kutembelea.

mleta mada nishawishi. ni kitu gani kinavutia kutembelea huko?.

kuna wanawake warembo kama niliowahi kukutananao katika mikoa mingine?. kuna lodge na hotel za maana?. vipi gharama zake?.
vipi kuhusu vyakula?...vipi kuhusu maeneo ya kula bata na kurefresh mind, yapo?.

please usiniambie habari za kutembelea makazi ya sokwe na vivutio vya asili. hayo mambo na mimi tofauti kabisa, yanawafaa wazungu.
 
Si kweli, Wala wamanyema hawawezi kujifanya ni Wakongo labda huyo mmanyema awe ni mtu aliyewahi kuishi Congo na anakifahamu Kicongo. Kuhusu Khalifa Hamisi bado sijapata mtririko wa nasaba yake ilivyo.
Shukrani kwa ufafanuzi mwanangu. Je unaweza kutupa asili ya jina Kigoma pia kabila la waha?
 
mkuu ,nilisikia eti al masih ad dajjal atatua uko siku za mwisho ,hii imekaaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…