Pia ulichoandika inahitaji akili ndogo sana kuelewa kuwa kama target ya mke ni kuandika jina la mtoto bc likiandikwa jina la mke n rahisi kubadili na kuandika la mtoto ake.Wakiandika jina la mkewe inamaana hata watoto akaye wazaa na mwanamke huyo wana haki juu ya kiwanja hicho na vitavyo kuwemo, lakini akiandika jina la mtoto itakuwa mali binafisi ya huyo mtoto na watoto watakao zaliwa badae hawatakuwa na haku yeyote juu ya hicho kiwanja na vilivyomo maana watoto huwa hawarithi kwa kaka zao bali hurithi kwa wazazi wao.
Mbona hili ninahitaji akili ndogo kulijua?
K yake tamu boss afu dushe analimungunya kama kibogoyo😁Nimeishia hapo uliposema umeoa single mother 😂 mana hakuna haja ya kuendelea kusoma.
Mm nshapitia hayo maisha ya single mother, niseme tuu kwa kijana anayejitafuta jiepushe kuwa na single mother.
Kwani kipindi wananunua makubaliano yalikuwa ni hayo?Sasa laki mbili ni ya kuhesabu kama mwanaume? Tafuta hela kwanza ungekuwa na hela hicho kiwanja ungeacha akaandika jina la mtoto wa kambo afu mkanunua kingine mkajenga yaani mkaanza upya huku yule mtoto wa kumlea yuko na chake mapema mwanamke asije kuwa na lawama ndani
Pesa nyingi kivipi wakati jamaa amebargain pale kutoka milioni 2 mpaka laki 9? Yeye jamaa ndio ametafuta kiwanja, hapo ngoma inarudi fifty fifty.Ni sahihi kwasababu yeye ndo alitoa wazo na ametoa pesa nyingi kukuzidi
Narudia tena, ww Hujitambui.Je tukiachana huoni kwamba mm napoteza mali zangu 0(laki mbili
Yaani kwa ushauri tu kama angekuwa na hela, ila pia naye kama mwanaume haoni anatakiwa kufanya kikubwa zaidi ya hiyo laki mbili? Yaani mwanaume akiwa hana hela na mawazo yanakuwa duni sanaKwani kipindi wananunua makubaliano yalikuwa ni hayo?
Ww kweli kiaziK yake tamu boss afu dushe analimungunya kama kibogoyo😁
Wanaume tunapitia mengi boss 😁😁😂😂😂Yatimbe tu chief ww ndio umekamata mpini we Anza kazi yakufikirusha ubongo
Mwenyewe unamsifu hapa kwamba anakupa vizuri.... Sasa kama hiyo laki 2 inakuuma mwambie mwenyewe nadhani atakurudishiaKwahiyo laki mbili unaiona mdogo😡
Idea nzur unamaanisha niondoe dwmokrasia kwenye maamuziBonge ya red flag kaka, wekw kwa jina lako halaf full stop no maelezo
What if ingekuwa kinyume chake? Mume 7 na mke 2, then endapo jamaa angekuwa na mtoto nje ya ndoa angekuwa poa kuandika jina la huyo mtoto pekee?Kwa laki mbili aliyotoa tena mwanaume yeye akubali kuwa shahidi tu katika ununuzi, la sivyo amuongezee pesa mwanamke afu waandike majina yao wote......(huyo mwanamke ni mchaga)
Apo safi kaka wanaume wenye kujitambua bado tupoPesa nyingi kivipi wakati jamaa amebargain pale kutoka milioni 2 mpaka laki 9? Yeye jamaa ndio ametafuta kiwanja, hapo ngoma inarudi fifty fifty.
Ila swali lako kuhusu wewe usalama wako (kwenye mali), mwambie muandike majina yenu wote wawili, na akikataa basi mwambie aandike jina lake tu na sio jina la mtoto wake.
Je kama makubaliano yalikuwa ni tununue kiwanja kwa ajili ya kujenga nyumba ya familia unaona wazo la kuandika jina la mtoto tena wa kambo ni sahihi?Yaani kwa ushauri tu kama angekuwa na hela, ila pia naye kama mwanaume haoni anatakiwa kufanya kikubwa zaidi ya hiyo laki mbili? Yaani mwanaume akiwa hana hela na mawazo yanakuwa duni sana
Kweli kuwa uyaone. Mjini huku hiyo hela hata chupa ya Hennesy hupatiMikoani kuna mpaka viwanja vya laki 2 ww unasemea laki 9?
Akiandika jina lake, kisheria wewe utaendelea kutambulika na ikitokea mmezinguana utastahili kudai mgawanyo kwa kile ulichochangia, wakati likiwa jina la mtoto maana yake hiyo sio mali yenu kabisa bali ya mtoto.Apo safi kaka wanaume wenye kujitambua bado tupo
Ndiyo maana nasema hivi, amuongezee pesa kama anataka iwe sawa kwa sawa ijulikane wamenunua wote, bila hivyo utakuwa mgogoro usioishaWhat if ingekuwa kinyume chake? Mume 7 na mke 2, then endapo jamaa angekuwa na mtoto nje ya ndoa angekuwa poa kuandika jina la huyo mtoto pekee?
Unataka jamaa aongeze pesa kwanini? Swali langu je mwanaume ndo angekuwa ametoa 7, je mwanamke naye angetakiwa kuongezewa pesa?Ndiyo maana nasema hivi, amuongezee pesa kama anataka iwe sawa kwa sawa ijulikane wamenunua wote, bila hivyo utakuwa mgogoro usioisha
Umechangia laki 2 halafu unataka uandikwe wewe? Tafuta hela, nunua kiwanja uandike jina lako. Hiyo laki 2 umemsaidia anunue kiwanja chake.Nimeoa mwanamke msimbe wenzetu wanaita single mothers
Penzi ni tamu tu anaikatikia inavyotakiwa bila tabu kabisa 😋
Sasa changamoto imejitokeza wakubwa wangu
Huyu dada ana mtoto mmoja wa kiume mdogo tu around 7 ivi
Alinishauri tutafute kiwanja kweli buana uku na kule nikavutia waya madalali kadhaa kutafuta kijishamba bei ya kupoa km mnavyojua tena akili kichwani hawa watu wanajua kuchezea mifumo ya wanaume kufikiri lzm utembee km kobe full kuviziana😡
Basi buana siku ya siku nikapata chimbo mwanagati
Dalali akaanza milion mbili lkn nikashuka naye mpaka laki tisa
Narudi kwa baby nikampa feedback Yee akaweka boksi saba mimi nikaweka boksi mbili
Tukaafanya malipo fresh ikabki hatua ya kufuatilia hati miliki ila hapa ndio alinipandisha kisukari gafla buana
Hapo nilikuwa kwenye hatua ya kula tamu dushe likasinyaa gafla
Anashauri kiwanja kiandikwe jina la mtoto wake
Je nimfanyaje?
Kwa wale watu wa kubet watanielewa nikisema nimeanzisha familia na handcup
Je nikubali kiwanja kiandikwe jina la toto lake? Vipi usalama wangu kwa huyu dada
Ushaurini wenu wanandoa😭😭
Uyo ni mbishi yaani haambiliki ila ananifurahisha kwenye kupeana utamu tu😋Mshauri muandike majina yenu nyie wawili