Nipo tayari kuja kulaumiwa na watoto wangu lakini si kuchukua simu na kumpigia mama yao

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,727
Reaction score
8,785
Naweza kusema nilijichanganya Sana kwa huyu mwanamke

Ni mwanamke ambaye nimefunga nae ndoa na tuna watoto watatu
Kutokana na mwenzangu kuwa mwajiriwa tumekua tukiishi mbalimbali japo sio Sana

Kwa miaka mingi nimeonesha Hali ya kumpenda lakini baadae tukaanza kuingia kwenye migogoro ambayo ilisababishwa na yeye kuchepuka waziwazi

Ilifika kipindi akanitamkia amepata mwanaume mwingine nimwache aendelee nae, kwa kweli niliumia Sana kwa kauli zake ukizingatia ni mke wa ndoa na nimetoka nae mbali

Nikapiga moyo konde nikampotezea but ndoa hatujavunja Bado Ila mawasiliano Kati yetu hakuna zaidi ya miezi minne

Siku za nyuma nilikua naongea na watoto wangu kupitia simu ya mama yao, lakini kwa situation iliyotokea na Hali yetu ya mahusiano ilivyo mbaya Kati yangu na mama yao,moyo wangu unakua mgumu Sana kuinua simu kumpigia mama yao ili niweze kuongea na watoto wangu

Kiukweli nimetokea kumchukia Sana huyu mwanamke Hadi kupiga simu yake niongee na watoto wangu Nashindwa.

Nipo tayari kwa Sasa nilaumiwe na watoto wangu kwa kutowasiliana nao na sina njia mbadala ya kuwasiliana nao na siwezi kuanza kumpigia mama yao ambaye tumechuniana zaidi ya miezi minne Sasa.

Ushauri wenu tafadhali, najiskia vibaya kutowasiliana na wanangu Bora wangekuwa wakubwa ningeenda kuwachukua kibabe.
 
Si ulisema uoe mwajiriwa aliyesoma msaidiene maisha? Kiko wapi sasa
 
Tafuta njia ya kuwasiliana na hao watoto.. kiukweli kuna kitu watoto huwa wanakosa pale Baba na mama wanapotengana na kuamua kutokuwa na mawasiliano kabisa.
Kipindi Cha likizo walikuja kwangu na Dada wa kazi nikamnunulia simu waliporudi kwa mama yao nikawa nawasiliana kupitia ile simu ya Dada wa kazi Ila baada ya muda alinyang'anywa so sikuwa nampata Tena hewani Hadi leo takribani miezi 5 sasa
 
Hayo ndio maamuzi ya kiume
Kaa kimya
Kula buyu
Ipo siku atakutafuta baada ya kuchokwa na mpenzi aliye nae
Subiri maana muda ni mwalimu mzuri
Yah uamuz mzuri sio tu kukaa kimya, bali aendelee na maisha yake.
Na lingine kubwa ni kwamba ASISUBIRI KUTAFUTWa na huyo mama. Haitatokea so yeye wala asiwaze hilo kabisaaa
 
Fanya njia uongee na wanao...mwambie mkeo humtaki lakini ungependa kuwa part ya wanao. Akikataa mfikishe kwenye vyombo vya sheria. Watoto wanahitaji mapenzi ya baba na mama...Umbali/utengano na mkeo sio sababu ya kuwwaathiri watoto kisaikolojia..you can still play your part
 
Wanawake ni Janga....pole sana bro, hivi imagine Hawa wanawake wanavyolilia ndoa na leo kwa urahisi anakuambia "niache niendelee na mwanaume mwingine", seriously??

Why wasichomwe na gunia kadhaa za mkaa ama kupigwa shaba kabisa? Aisee, Nina sumu sana na Hawa viumbe.
 
Naweza kusema nilijichanganya Sana kwa huyu mwanamke

Ni mwanamke ambaye nimefunga nae ndoa na tuna watoto watatu
Kutokana na mwenzangu kuwa mwajiriwa tumekua tukiishi mbalimbali japo sio Sana

Kwa miaka mingi nimeonesha Hali ya kumpenda lakini baadae tukaanza kuingia kwenye migogoro ambayo ilisababishwa na yeye kuchepuka waziwazi

Ilifika kipindi akanitamkia amepata mwanaume mwingine nimwache aendelee nae, kwa kweli niliumia Sana kwa kauli zake ukizingatia ni mke wa ndoa na nimetoka nae mbali

Nikapiga moyo konde nikampotezea but ndoa hatujavunja Bado Ila mawasiliano Kati yetu hakuna zaidi ya miezi minne

Siku za nyuma nilikua naongea na watoto wangu kupitia simu ya mama yao, lakini kwa situation iliyotokea na Hali yetu ya mahusiano ilivyo mbaya Kati yangu na mama yao,moyo wangu unakua mgumu Sana kuinua simu kumpigia mama yao ili niweze kuongea na watoto wangu

Kiukweli nimetokea kumchukia Sana huyu mwanamke Hadi kupiga simu yake niongee na watoto wangu Nashindwa.

Nipo tayari kwa Sasa nilaumiwe na watoto wangu kwa kutowasiliana nao na sina njia mbadala ya kuwasiliana nao na siwezi kuanza kumpigia mama yao ambaye tumechuniana zaidi ya miezi minne Sasa.

Ushauri wenu tafadhali, najiskia vibaya kutowasiliana na wanangu Bora wangekuwa wakubwa ningeenda kuwachukua kibabe.
Pole sana mkuu. I am speechless ...
 
Back
Top Bottom