Nipo tayari kuja kulaumiwa na watoto wangu lakini si kuchukua simu na kumpigia mama yao

Nipo tayari kuja kulaumiwa na watoto wangu lakini si kuchukua simu na kumpigia mama yao

Fanya njia uongee na wanao...mwambie mkeo humtaki lakini ungependa kuwa part ya wanao. Akikataa mfikishe kwenye vyombo vya sheria. Watoto wanahitaji mapenzi ya baba na mama...Umbali/utengano na mkeo sio sababu ya kuwwaathiri watoto kisaikolojia..you can still play your part
Umesema kweli,na hili linanishangaza sana kwa wanawake inakuaje mkiachana mnajenga uhasama!?yani inakuwa kama kuna bifu kuubwa,wanawake wabadilike mkishakubaliana kuachana mawasiliano na ushirikiano wa kulea watoto ni muhimu ila sijui wanawake huwa wanaumia sana au nini chanzo cha kujenga uhasama na choking!! Kwasisi Wanaume sio Big deal sana tukiachana hakuna vita.
 
Mkuu niliwahi kumchapa mkewangu mchaga makofi kwa ujinga wake kama huo akanipeleka polisi nikatoa pesa nikaachiwa tulivyorudi home nikampa talaka ya maandishi kesi ikahamia kwa wakwe nikaenda na huko nikawapa talaka na wao wote nikawaaambia nisiwaone milele na milele tukapotezeana kama miezi mitatu wakajitafakari huko siku ya siku wakamleta mtoto wao na msamaha wa maandishi juu mpaka leo heshima na adabu humu ndani sometimes mwanaume lazima uact violence japo ni hatari but hurudisha kiti chako kwenye nafasi yake.
Safi sana. ,ulipitia ninayopitia sasa
 
Kabla ya kufanya maamuzi hayo, hipange na kisha angalia kama unaweza ukawachukua watoto wako ili uwape malezi unayo ona wewe yanafaa.
Ukifanikiwa hilo, basi unaweza ukaendelea na msimamo wa kumkatia behewa huyo mwanamama.
 
Si ulisema uoe mwajiriwa aliyesoma msaidiene maisha? Kiko wapi sasa
Wasomi Huwa hawaolewi!tunaishi nao kirafiki TU Hadi pale mambo yakivurugika kila mmoja anashika lake!!Ni makosa makubwa sana kufunga ndoa na dem msomi Tena mwenye ajira na mshahara!!usithubutu!!

Halafu jamaa ilimtokea TU coz maisha hayana kanuni maalum kabisa!!

Pesa ikishikwa na ke inaleta tatizo kubwa sana!!

Jamaa anyuti lakini wale watoto watajzwa sumu tosha kwahiyo azae tena!!
 
Mkuu niliwahi kumchapa mkewangu mchaga makofi kwa ujinga wake kama huo akanipeleka polisi nikatoa pesa nikaachiwa tulivyorudi home nikampa talaka ya maandishi kesi ikahamia kwa wakwe nikaenda na huko nikawapa talaka na wao wote nikawaaambia nisiwaone milele na milele tukapotezeana kama miezi mitatu wakajitafakari huko siku ya siku wakamleta mtoto wao na msamaha wa maandishi juu mpaka leo heshima na adabu humu ndani sometimes mwanaume lazima uact violence japo ni hatari but hurudisha kiti chako kwenye nafasi yake.
Ulikosea kurudisha ndani huyo mwanamke baada ya kumpa talaka!!hawaachilii hao viumbe!!IPO siku !bora kufanya mahusiano dormant kabisa lakini sio kutoa talaka ya kibabe halafu ukarudisha matatizo ndani tena!!

Wanajipanga hao na watakupata !

Hakuna mwanamke anaesahau kofi hata kama umpe mapesa kiasi Gani ye atakumbuka ubaya wako mmoja!!!

Pole in advance!
 
Kipindi Cha likizo walikuja kwangu na Dada wa kazi nikamnunulia simu waliporudi kwa mama yao nikawa nawasiliana kupitia ile simu ya Dada wa kazi Ila baada ya muda alinyang'anywa so sikuwa nampata Tena hewani Hadi leo takribani miezi 5 sasa
Jaribu kuwanunulia zile simu za mezani.

Mpe taarifa msimamizi wenu wa ndoa au mzee mwenye busara ili ajue umenunua simu kwa ajili ya nini.

Na hii nayo akificha, bas huna budi kwenda mbele ustaw wa jamii kudai haki ya kuwasiliana na wanao.
 
Wasomi Huwa hawaolewi!tunaishi nao kirafiki TU Hadi pale mambo yakivurugika kila mmoja anashika lake!!Ni makosa makubwa sana kufunga ndoa na dem msomi Tena mwenye ajira na mshahara!!usithubutu!!

Halafu jamaa ilimtokea TU coz maisha hayana kanuni maalum kabisa!!

Pesa ikishikwa na ke inaleta tatizo kubwa sana!!

Jamaa anyuti lakini wale watoto watajzwa sumu tosha kwahiyo azae tena!!
Daah
 
Pia unaweza kusafiri kwenda kuwasalimia huko mkoani kwao ila unaenda kuwaona shuleni au unamuomba mwalimu anakupa unatoka nao out wakiwa shule unawapa lunch kisha unawarudisha shuleni.

Usiwachukue hao watoto waache tu kwa mama yao ni bora zaidi kwa malezi na makuzi yao. Mama hawezi kuwanyanyasa watoto wake lakini wewe ukiwachukua mwisho wa siku utaoa tena na mama wa kambo sio wazuri watakutesea tu wanao
 
Naweza kusema nilijichanganya Sana kwa huyu mwanamke

Ni mwanamke ambaye nimefunga nae ndoa na tuna watoto watatu
Kutokana na mwenzangu kuwa mwajiriwa tumekua tukiishi mbalimbali japo sio Sana

Kwa miaka mingi nimeonesha Hali ya kumpenda lakini baadae tukaanza kuingia kwenye migogoro ambayo ilisababishwa na yeye kuchepuka waziwazi

Ilifika kipindi akanitamkia amepata mwanaume mwingine nimwache aendelee nae, kwa kweli niliumia Sana kwa kauli zake ukizingatia ni mke wa ndoa na nimetoka nae mbali


Nikapiga moyo konde nikampotezea but ndoa hatujavunja Bado Ila mawasiliano Kati yetu hakuna zaidi ya miezi minne

Siku za nyuma nilikua naongea na watoto wangu kupitia simu ya mama yao, lakini kwa situation iliyotokea na Hali yetu ya mahusiano ilivyo mbaya Kati yangu na mama yao,moyo wangu unakua mgumu Sana kuinua simu kumpigia mama yao ili niweze kuongea na watoto wangu

Kiukweli nimetokea kumchukia Sana huyu mwanamke Hadi kupiga simu yake niongee na watoto wangu Nashindwa.

Nipo tayari kwa Sasa nilaumiwe na watoto wangu kwa kutowasiliana nao na sina njia mbadala ya kuwasiliana nao na siwezi kuanza kumpigia mama yao ambaye tumechuniana zaidi ya miezi minne Sasa.

Ushauri wenu tafadhali, najiskia vibaya kutowasiliana na wanangu Bora wangekuwa wakubwa ningeenda kuwachukua kibabe.
Ushauri wangu, muachane kisheria ili uwe on safe side. Asije kuletea zengwe baadae.
 
Unawaza watoto tu ,we angalia nafsi yako hao watoto wana malengo hao binafsi kama binadamu wengine...Ukishazaa mnaanzisha migogoro kwa vile mnajua watoto ni mitaji ya baadaye.
 
Unawaza watoto tu ,we angalia nafsi yako hao watoto wana malengo hao binafsi kama binadamu wengine...Ukishazaa mnaanzisha migogoro kwa vile mnajua watoto ni mitaji ya baadaye.
😀😀😀nimecheka sana
 
Naumia sana kila nikiona watoto wanateseka kisa migogoro ya wazazi.
😭😭😢😢
Wazazi ni wabinafsi tena wapumbavu wakubwa ,kila mtu anazawa kuja kusaidia ila sio kuwajenga watoto.
 
😀😀😀nimecheka sana
Wapumbavu hawa ,unakuta watu wakubwa ila wanajua watapata wenza Wengine ila hao watoto watapata tena malezi ya wazazi wao ?

Wazazi kuanzia Single na single fathy kama sio kwa wenza wao kufariki basi ni matapeli ,hapa atakuambia mke ana matatizo ila hata yeye ana matatizo.
 
?

Ilifika kipindi akanitamkia amepata mwanaume mwingine nimwache aendelee nae, kwa kweli niliumia Sana kwa kauli zake ukizingatia ni mke wa ndoa na nimetoka nae mbali
Duh pole sana hata kwa mwanamke kutamkiwa hivi ni balaa aisee

Nikapiga moyo konde nikampotezea but ndoa hatujavunja Bado Ila mawasiliano Kati yetu hakuna zaidi ya miezi minne
Hadi dakika hii chako chore chake.. God forbid ila ikitokea chochote yeye ndie next of kin.. Labda uamue mengine.. La sivyo ni mkeo mpo pamoja na mnatambulika kama wana ndoa. Na huyo wake atafaidi yako bure bure..
 
Kipindi Cha likizo walikuja kwangu na Dada wa kazi nikamnunulia simu waliporudi kwa mama yao nikawa nawasiliana kupitia ile simu ya Dada wa kazi Ila baada ya muda alinyang'anywa so sikuwa nampata Tena hewani Hadi leo takribani miezi 5 sasa
Hao ndio wanawake na hasa wenye kipato,anatumia watoto kama fimbo ya kukuchapia wakati yeye ana maisha yake. Omba Mungu asiwe anawajaza maneno ya chuki juu yako.
 
Back
Top Bottom