Nipo tayari kuja kulaumiwa na watoto wangu lakini si kuchukua simu na kumpigia mama yao

Naweza kusema nilijichanganya Sana kwa huyu mwanamke

Ni mwanamke ambaye nimefunga nae ndoa na tuna watoto watatu
Kutokana na mwenzangu kuwa mwajiriwa tumekua tukiishi mbalimbali japo sio Sana

Kwa miaka mingi nimeonesha Hali ya kumpenda lakini baadae tukaanza kuingia kwenye migogoro ambayo ilisababishwa na yeye kuchepuka waziwazi

Ilifika kipindi akanitamkia amepata mwanaume mwingine nimwache aendelee nae, kwa kweli niliumia Sana kwa kauli zake ukizingatia ni mke wa ndoa na nimetoka nae mbali

Nikapiga moyo konde nikampotezea but ndoa hatujavunja Bado Ila mawasiliano Kati yetu hakuna zaidi ya miezi minne

Siku za nyuma nilikua naongea na watoto wangu kupitia simu ya mama yao, lakini kwa situation iliyotokea na Hali yetu ya mahusiano ilivyo mbaya Kati yangu na mama yao,moyo wangu unakua mgumu Sana kuinua simu kumpigia mama yao ili niweze kuongea na watoto wangu

Kiukweli nimetokea kumchukia Sana huyu mwanamke Hadi kupiga simu yake niongee na watoto wangu Nashindwa.

Nipo tayari kwa Sasa nilaumiwe na watoto wangu kwa kutowasiliana nao na sina njia mbadala ya kuwasiliana nao na siwezi kuanza kumpigia mama yao ambaye tumechuniana zaidi ya miezi minne Sasa.

Ushauri wenu tafadhali, najiskia vibaya kutowasiliana na wanangu Bora wangekuwa wakubwa ningeenda kuwachukua kibabe.
Hiyo yote inatokea ni kwasababu bado unampenda, jaribu kumfuta moyoni na uone kwamba humuhitaji tena.
 
Pole kaka, ila usihangaike maana umeshafanya part yako. Huwa wanarudi wakiwa wamechoka sana or ikiwa too late ww uko kwingine

Watoto wataujua ukweli , maana watakutafuta. Lakin kama una ndugu yuko mkoa mmoja basi yeye awe anaenda kule kutizama hali ya watoto, ndio awe link yako na watoto
Si lazima kupitia mama yao
 
Tafuta njia ya kuwasiliana na hao watoto.. kiukweli kuna kitu watoto huwa wanakosa pale Baba na mama wanapotengana na kuamua kutokuwa na mawasiliano kabisa.
Inaumiza sana ukifikiria kuhusu watoto, lakini ukiona mtu anafanya haya ujue kweli pande moja hapa imezingua balaa na ndio hivo watoto wataumia tu kisa mjinga mmoja hapa😮‍💨
 
Usipige simu mpaka utakapomtoa moyoni kabsa. Now ukipiga utaanza upya. Kaza kaza kaza fikisha hata mwaka then tafuta mwanamke mwingine.

Pili kama mmeachana vunja hiyo ndoa kabsa anza mchakato wa talaka.
 
🎶Ooh mapenzi kilioo, nenda waulize wenzio ni mdudu wa sikio akikung'ata husikii la yeyote 🎶
 
Mkuu niliwahi kumchapa mkewangu mchaga makofi kwa ujinga wake kama huo akanipeleka polisi nikatoa pesa nikaachiwa tulivyorudi home nikampa talaka ya maandishi kesi ikahamia kwa wakwe nikaenda na huko nikawapa talaka na wao wote nikawaaambia nisiwaone milele na milele tukapotezeana kama miezi mitatu wakajitafakari huko siku ya siku wakamleta mtoto wao na msamaha wa maandishi juu mpaka leo heshima na adabu humu ndani sometimes mwanaume lazima uact violence japo ni hatari but hurudisha kiti chako kwenye nafasi yake.
 
Naweza kusema nilijichanganya Sana kwa huyu mwanamke

Ni mwanamke ambaye nimefunga nae ndoa na tuna watoto watatu
Kutokana na mwenzangu kuwa mwajiriwa tumekua tukiishi mbalimbali japo sio Sana

Kwa miaka mingi nimeonesha Hali ya kumpenda lakini baadae tukaanza kuingia kwenye migogoro ambayo ilisababishwa na yeye kuchepuka waziwazi

Ilifika kipindi akanitamkia amepata mwanaume mwingine nimwache aendelee nae, kwa kweli niliumia Sana kwa kauli zake ukizingatia ni mke wa ndoa na nimetoka nae mbali

Nikapiga moyo konde nikampotezea but ndoa hatujavunja Bado Ila mawasiliano Kati yetu hakuna zaidi ya miezi minne

Siku za nyuma nilikua naongea na watoto wangu kupitia simu ya mama yao, lakini kwa situation iliyotokea na Hali yetu ya mahusiano ilivyo mbaya Kati yangu na mama yao,moyo wangu unakua mgumu Sana kuinua simu kumpigia mama yao ili niweze kuongea na watoto wangu

Kiukweli nimetokea kumchukia Sana huyu mwanamke Hadi kupiga simu yake niongee na watoto wangu Nashindwa.

Nipo tayari kwa Sasa nilaumiwe na watoto wangu kwa kutowasiliana nao na sina njia mbadala ya kuwasiliana nao na siwezi kuanza kumpigia mama yao ambaye tumechuniana zaidi ya miezi minne Sasa.

Ushauri wenu tafadhali, najiskia vibaya kutowasiliana na wanangu Bora wangekuwa wakubwa ningeenda kuwachukua kibabe.
Pole sana.Nenda Ustawi au mshutaki umkane useme huna Imani nae juu ya malezi ya wanao ili uchukue wanao na hadithi ya maangaiko iishie hapo.Maana atakutesa sana kwa kuwa anajua ana wanao atawatumia kama fimbo na hautakaa huwasahau wanao utateseka,pambana uwachukue
 
Tafuta mwanasheria atakusaidia utaweza kuwasiliana na watoto wako. Hapo ni kununua simu ya watoto upate direct contact nao,
Au tumia namba ya mwalimu huko shuleni kwao mueleze mwalimu ukweli na ikibidi unampa mwalimu hela kidogo ya vocha unaweza kuwasiliana nao
 
Naweza kusema nilijichanganya Sana kwa huyu mwanamke

Ni mwanamke ambaye nimefunga nae ndoa na tuna watoto watatu
Kutokana na mwenzangu kuwa mwajiriwa tumekua tukiishi mbalimbali japo sio Sana

Kwa miaka mingi nimeonesha Hali ya kumpenda lakini baadae tukaanza kuingia kwenye migogoro ambayo ilisababishwa na yeye kuchepuka waziwazi

Ilifika kipindi akanitamkia amepata mwanaume mwingine nimwache aendelee nae, kwa kweli niliumia Sana kwa kauli zake ukizingatia ni mke wa ndoa na nimetoka nae mbali

Nikapiga moyo konde nikampotezea but ndoa hatujavunja Bado Ila mawasiliano Kati yetu hakuna zaidi ya miezi minne

Siku za nyuma nilikua naongea na watoto wangu kupitia simu ya mama yao, lakini kwa situation iliyotokea na Hali yetu ya mahusiano ilivyo mbaya Kati yangu na mama yao,moyo wangu unakua mgumu Sana kuinua simu kumpigia mama yao ili niweze kuongea na watoto wangu

Kiukweli nimetokea kumchukia Sana huyu mwanamke Hadi kupiga simu yake niongee na watoto wangu Nashindwa.

Nipo tayari kwa Sasa nilaumiwe na watoto wangu kwa kutowasiliana nao na sina njia mbadala ya kuwasiliana nao na siwezi kuanza kumpigia mama yao ambaye tumechuniana zaidi ya miezi minne Sasa.

Ushauri wenu tafadhali, najiskia vibaya kutowasiliana na wanangu Bora wangekuwa wakubwa ningeenda kuwachukua kibabe.

Tumepita hapo, usinyanyue simu, kaa kimya milele, two things : Mungu na Pesa ndo vitu ambavyo kamwe haviwezi kukusaliti!
 
Back
Top Bottom