Nipo tayari kuja kulaumiwa na watoto wangu lakini si kuchukua simu na kumpigia mama yao

Naweza kusema nilijichanganya Sana kwa huyu mwanamke

Ni mwanamke ambaye nimefunga nae ndoa na tuna watoto watatu
Kutokana na mwenzangu kuwa mwajiriwa tumekua tukiishi mbalimbali japo sio Sana

Kwa miaka mingi nimeonesha Hali ya kumpenda lakini baadae tukaanza kuingia kwenye migogoro ambayo ilisababishwa na yeye kuchepuka waziwazi

Ilifika kipindi akanitamkia amepata mwanaume mwingine nimwache aendelee nae, kwa kweli niliumia Sana kwa kauli zake ukizingatia ni mke wa ndoa na nimetoka nae mbali

Nikapiga moyo konde nikampotezea but ndoa hatujavunja Bado Ila mawasiliano Kati yetu hakuna zaidi ya miezi minne

Siku za nyuma nilikua naongea na watoto wangu kupitia simu ya mama yao, lakini kwa situation iliyotokea na Hali yetu ya mahusiano ilivyo mbaya Kati yangu na mama yao,moyo wangu unakua mgumu Sana kuinua simu kumpigia mama yao ili niweze kuongea na watoto wangu

Kiukweli nimetokea kumchukia Sana huyu mwanamke Hadi kupiga simu yake niongee na watoto wangu Nashindwa.

Nipo tayari kwa Sasa nilaumiwe na watoto wangu kwa kutowasiliana nao na sina njia mbadala ya kuwasiliana nao na siwezi kuanza kumpigia mama yao ambaye tumechuniana zaidi ya miezi minne Sasa.

Ushauri wenu tafadhali, najiskia vibaya kutowasiliana na wanangu Bora wangekuwa wakubwa ningeenda kuwachukua kibabe.

Pigaaa chiniiiii huyo mwanamke, lea watoto wako basi, achana na ndoa, narudia sbb kashakuwa na mchepuko, hapo hakuna ndoa, fukuzaa
 
N
Ndoa ni nini Kwa tafsiri ya leo!!?zaidi ya sherehe na kuvaa shela plus suti!!?

Ndoa ni maisha ya kila siku bila hayo yanayohangaikiwa!
Unakuta mtu anaishi ndoa halafu anadai hajafunga ndoa wakatinwanazaa wanalea na mambo mengine huku Wana kisirani kwamba hawajaolewa!!

Sionkwamba hawajaolewa Bali wanataka fimbo ya kisheria iitwayo cheti ili apate Cha kujivunia na Kujidaia mbele ya mwenza wake!!hapo ndipo mtego ulipo!!

Binafsi nipo tayari kuishi ndoa na sio kufunga ndoa!!
 
Naweza kusema nilijichanganya Sana kwa huyu mwanamke

Ni mwanamke ambaye nimefunga nae ndoa na tuna watoto watatu
Kutokana na mwenzangu kuwa mwajiriwa tumekua tukiishi mbalimbali japo sio Sana

Kwa miaka mingi nimeonesha Hali ya kumpenda lakini baadae tukaanza kuingia kwenye migogoro ambayo ilisababishwa na yeye kuchepuka waziwazi

Ilifika kipindi akanitamkia amepata mwanaume mwingine nimwache aendelee nae, kwa kweli niliumia Sana kwa kauli zake ukizingatia ni mke wa ndoa na nimetoka nae mbali

Nikapiga moyo konde nikampotezea but ndoa hatujavunja Bado Ila mawasiliano Kati yetu hakuna zaidi ya miezi minne

Siku za nyuma nilikua naongea na watoto wangu kupitia simu ya mama yao, lakini kwa situation iliyotokea na Hali yetu ya mahusiano ilivyo mbaya Kati yangu na mama yao,moyo wangu unakua mgumu Sana kuinua simu kumpigia mama yao ili niweze kuongea na watoto wangu

Kiukweli nimetokea kumchukia Sana huyu mwanamke Hadi kupiga simu yake niongee na watoto wangu Nashindwa.

Nipo tayari kwa Sasa nilaumiwe na watoto wangu kwa kutowasiliana nao na sina njia mbadala ya kuwasiliana nao na siwezi kuanza kumpigia mama yao ambaye tumechuniana zaidi ya miezi minne Sasa.

Ushauri wenu tafadhali, najiskia vibaya kutowasiliana na wanangu Bora wangekuwa wakubwa ningeenda kuwachukua kibabe.
Kama wanasoma nenda shule mtafute mwalimu mzuri wa kike uwe unampa ya vocha unapiga unaongea na wanao
 
Jamaa kumfuta amesha mfuta ila anacho taka kujenga bond na watoto zake.
Uko sahihi mkuu mwanamke sina time nae Tena ndo maana nimemlia buyu tunaelekea mwezi wa 5 Sasa no communication nimefuta Hadi namba yake anayotumia WhatsApp sitaki hata kuona status zake
 
Usipige simu mpaka utakapomtoa moyoni kabsa. Now ukipiga utaanza upya. Kaza kaza kaza fikisha hata mwaka then tafuta mwanamke mwingine.

Pili kama mmeachana vunja hiyo ndoa kabsa anza mchakato wa talaka.
Mleta mada ishi hapa.
 
Mkuu niliwahi kumchapa mkewangu mchaga makofi kwa ujinga wake kama huo akanipeleka polisi nikatoa pesa nikaachiwa tulivyorudi home nikampa talaka ya maandishi kesi ikahamia kwa wakwe nikaenda na huko nikawapa talaka na wao wote nikawaaambia nisiwaone milele na milele tukapotezeana kama miezi mitatu wakajitafakari huko siku ya siku wakamleta mtoto wao na msamaha wa maandishi juu mpaka leo heshima na adabu humu ndani sometimes mwanaume lazima uact violence japo ni hatari but hurudisha kiti chako kwenye nafasi yake.
Nakazia.
 
Inakera sana,kutia hasira na kuvunja moyo kwa kiasi kikubwa, angalia hadi ndoa imefungwa lakini hayo yanatokea bora ingekuwa sogea tuishi,cha kufanya kaza moyo jifanye mjinga ila huyo mama sio wa kusamehe.

Ni hasara kubwa mno hiyo basi tu.
 
Naweza kusema nilijichanganya Sana kwa huyu mwanamke

Ni mwanamke ambaye nimefunga nae ndoa na tuna watoto watatu
Kutokana na mwenzangu kuwa mwajiriwa tumekua tukiishi mbalimbali japo sio Sana

Kwa miaka mingi nimeonesha Hali ya kumpenda lakini baadae tukaanza kuingia kwenye migogoro ambayo ilisababishwa na yeye kuchepuka waziwazi

Ilifika kipindi akanitamkia amepata mwanaume mwingine nimwache aendelee nae, kwa kweli niliumia Sana kwa kauli zake ukizingatia ni mke wa ndoa na nimetoka nae mbali

Nikapiga moyo konde nikampotezea but ndoa hatujavunja Bado Ila mawasiliano Kati yetu hakuna zaidi ya miezi minne

Siku za nyuma nilikua naongea na watoto wangu kupitia simu ya mama yao, lakini kwa situation iliyotokea na Hali yetu ya mahusiano ilivyo mbaya Kati yangu na mama yao,moyo wangu unakua mgumu Sana kuinua simu kumpigia mama yao ili niweze kuongea na watoto wangu

Kiukweli nimetokea kumchukia Sana huyu mwanamke Hadi kupiga simu yake niongee na watoto wangu Nashindwa.

Nipo tayari kwa Sasa nilaumiwe na watoto wangu kwa kutowasiliana nao na sina njia mbadala ya kuwasiliana nao na siwezi kuanza kumpigia mama yao ambaye tumechuniana zaidi ya miezi minne Sasa.

Ushauri wenu tafadhali, najiskia vibaya kutowasiliana na wanangu Bora wangekuwa wakubwa ningeenda kuwachukua kibabe.
Hahaha
 
Wanawake ni Janga....pole sana bro, hivi imagine Hawa wanawake wanavyolilia ndoa na leo kwa urahisi anakuambia "niache niendelee na mwanaume mwingine", seriously??

Why wasichomwe na gunia kadhaa za mkaa ama kupigwa shaba kabisa? Aisee, Nina sumu sana na Hawa viumbe.
msihukumu sana.
Mwamba hajataja walichovurugana.

mwanamke hadi akutamkie neno hilo ujue umeharibu sana.

nina wasiwasi huyu mwamba kuwa ni malaya kupindukia na mkewe amemnasa.
 
Back
Top Bottom