Nipo tayari kulumbana (Debate) na yeyote kuhusu chochote

Miongozo ya Udhibiti wa Uzi.

Napendkeza Jukwaa letu la Siasa liendeshwe sawa na Bunge likiwa na kanuni za kuongoza Mijadala mbali na miongozo mikuu ya JF.
Kanuni za Bunge huongoza mijadala enye kuhakikisha utaratibu unafuatiliwa, haki kutolewa ikiwa ni pamoja na mazungumzo yenye kujenga-tia tija.

Kama kanuni za Bunge linavyo maintain Decorum, hapa Jamvini tuwe na utaratibu kama ule. Ikitokea mtafaruku, au majadiliano yakakengeuka kwa hoja isiyo na tija. Uzi ufutwe mara moja.
 
Sio Nature ni MALEZI Nina mfano dhairi Mimi mwenyewe umenitokea,
 
Maish
Kama kichwa cha habari kinavyosema. yeyote yule, anzisha mada yoyote tulianzishe, wakati wowote.

Karibuni sana. Uwanja wa wazi huu, yeyote anaweza kuchangia na kuingilia mada. Hakuna kanuni rasmi isipokuwa kanuni za JF na za dola ziheshimiwe.
Maisha ya ughaibuni ukituliza akili unapata pesa nzuri kuliko Tz,hasa ulaya na marekani na korea kusini tofauti na wengi wa ughaibuni wanavotuongopea tusiende
 
Hayo yote ni maswali ambayo huna majibu yake, siyo mada.

Kabla sijakujibu maswali tusafishe njia, Mimi naanza kwa kukuuliza, umeshawahi kumuuliza mama'ko kuhusu bikra yake ilimtoka vipi?
Jibu swali basi.. usijizungushe...

Je.. ilitolewa kwa Kubakwa?
Je.. BAISKELI ?
Je.. uliparamia JITI likakuchoma?
Je.. je.. je..

Na Je.. aliyekutoa Bikra ndio huyo huyo unae mpaka sasa hivi au alishasepa zake enzi hizo.

Uliskia raha au maumivu kupita kiasi? Hakutumia mate.. mafuta etc?
 
🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…