Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Kichwa kikimuuma mtu ni alarm kwamba kwenye mwili hakuko Sawa, mwanamke akikataa ndoa ni ishara Mungu ana kupenda amekupa uepuke. Ukingangania yatakayo kukuta utajuta sana alafu tayari ushaaribu mambo yako.Mabinti wengi wa umri huo hawajitambui bado wanahitaji kubadili na kuonja mapigo mbali mbali, ya warefu, wafupi, wanane, wembamba nk.
Naomba hela nkasuke mchumba kesho jioni tuonane sasa tuyajenge, tuanze kupendana rasmi.Nishamuacha hii saa 1:00 kwaajiri yako
Naona usha piga u turn hapa hapa.Nishamuacha hii saa 1:00 kwaajiri yako
My plan is more about kuoa si kumuoa yeye, just kwasababu yeye ndio nipo nae na hili kutimiza plan inabidi awepo wa kuolewa.Vijana wa sikuhizi najaribu kuimagine how their brains works. Mtu anakuhangaisha y umbembeleze kama yai? Au bila yeye huwezi ishi? Bro wanawake ni wengi wazuri na wanahitaji watu seriously wakuishi nao fanya good choice achana na masista du a.k.a wanawake wa mjini
Tafuta mwanamke mke wa kawaida ambaye anaakili ya maisha msukume gurudumu. Usidanganyike na uzuri wa njeMy plan is more about kuoa si kumuoa yeye, just kwasababu yeye ndio nipo nae na hili kutimiza plan inabidi awepo wa kuolewa.
Wengine wapo ila iyo michakato inanichosha kuanza kukimbizana upya nahitaji kuwa bize na maisha.
Lakini tunanashaurianaga kuoa bikra Leo tena tunaambiana tuwafate wa juu maisha yanachachanganyaKi
Kichwa kikimuuma mtu ni alarm kwamba kwenye mwili hakuko Sawa, mwanamke akikataa ndoa ni ishara Mungu ana kupenda amekupa uepuke. Ukingangania yatakayo kukuta utajuta sana alafu tayari ushaaribu mambo yako.Mabinti wengi wa umri huo hawajitambui bado wanahitaji kubadili na kuonja mapigo mbali mbali, ya warefu, wafupi, wanane, wembamba nk.
Hapa sasa ushapata nadhani tufunge mjadala wako afsa.Account Number please
Huyi ni wakawaida kilakitu hata form four ajamaliza sikukurupuka kwa bahati mbaya pale mtaani uliuliza wamama mwanamke gani anafaa wanaweza kukutajia huyu katulia hana mashogashogaTafuta mwanamke mke wa kawaida ambaye anaakili ya maisha msukume gurudumu. Usidanganyike na uzuri wa nje
Mwenye maamuzi ni wewe mkuu ila usikurupukeHuyi ni wakawaida kilakitu hata form four ajamaliza sikukurupuka kwa bahati mbaya pale mtaani uliuliza wamama mwanamke gani anafaa wanaweza kukutajia huyu katulia hana mashogashoga
Unaulizq ifanyeje. Mpe ujauzitoWadau Saluti
Nipo na huyu mwanamke yeye ana kama miaka 20 hivi anasifa zote za kuwa Wife Materials, yeye anashona cherehani mbali na kushona hanaga harakati nyengine yaani katulia 100%...
Huenda kazi unayoifanya haimvutii au haumtimizii mahitaji yake.Fleet Tracking Officer
Sio omba omba kabisa ila hua pesa nampa mwenyewe ndogo ndogo yaani ukimpa 7000 hadi anashangaa ficial expression mbona unampka mihela mingi.Huenda kazi unayoifanya haimvutii au haumtimizii mahitaji yake.
Em weka picha yake hapa nkutabirie sasahiv utanishukuru.Sio omba omba kabisa ila hua pesa nampa mwenyewe ndogo ndogo yaani ukimpa 7000 hadi anashangaa ficial expression mbona unampka mihela mingi.
Yaani ukimnunulia kijuisi cha jero na firigisi ya 800 ukamuwekea na hela 2000 hilo bonge la zawadi.
Ukimpa 15000 cash hio itakuwa mada kabisa mkichati lazima akuulize pesa hizi zote umenipa
Haha nawekaje picha mzee, ni kama unazuri Basic mweupe, modo hivi ila ana utoto gunia niliamua kwendanae hivyohivyo sasa hili nalo sijui katika utoto akipata mimba atakua kwa lazima sijui.Em weka picha yake hapa nkutabirie sasahiv utanishukuru.
Sisi hatuna cha kukushauri zaidi ya kwamba USIOE KISA UMRI UMEENDA, KATAA NDOA NDUGU YANGU.Wadau Saluti
Nipo na huyu mwanamke yeye ana kama miaka 20 hivi anasifa zote za kuwa Wife Materials, yeye anashona cherehani mbali na kushona hanaga harakati nyengine yaani katulia 100%
Mimi naona umri umeenda na sio wakati wa kuwa na mahusiano yasio rasmi hivyo nataka kuoa ila nikimwambia nia yangu nikajitambulishe kwao hataki sijui utoto sijui nini. Bado naendelea nae ila namchulia mtu asiye serious kwasasa natafuta mwanamke mwengine aliye serious niende nae huyu nimbwage.
Hapa munanishauri vipi wadau
Kiufupi kama anaweza akatae ndoa.Pole, usioe kwasababu ya umri unaona umeenda. Utakuja kujuta, pia usimlazimishe kama hataki kuolewa nawewe. Heri nusu shari, kuliko shari kamili...