Nipo tayari kumuoa ila yeye hayupo tayari, mnanishauri nini?

Huyo mwanamke ana akilli. Wewe huna. Kama unaamini ANASHONA CHEREHANI. sijui anaishonaje. Basi una tatizo. Halafu hayupo tayari umuoe wewe unataka upewe ushauri. Kuna ushauri wowote hapo unahitajika? NYIE MADOGO NDO MWISHONI HUWA MNAOLEWA NYIE. MTU HAKUTAKI ACHANA NAYE FANYA MAMBO MENGINE.
 
Anashona nini Mkuu
 
Mkuu umeongea point kabisa, Hivi mwanaume uliye rijali unaanzaje kumbembeleza mwanamke ili umuoe, mimi binafsi nashangaa kwa sababu kuna dada aliwahi kuning'ang'ania toka mwaka 2019 mpka 2023 akijua nitamuoa lakin mm sikuwa na huo mpango hata kidogo... Mwanaume lazima ujue mipaka yako!! πŸ‘ŠπŸ‘Š
 
Madogo sijui wanakwama wapi. Mtu hakutaki unambembeleza? We una tatizo la akili. Na anakudharau. Unabembelezaje ndoa? Halafu ukimuoa iweje ikiwa atakubali? Uwe mtumwa wake. Huu ni upuuzi. Huyu dogo angekuwa karibu ningemwasha vibao sababu ni mpumbavu.
 
Yaani anastahili vibao tu na sio ushauri... Hii dunia toka iumbwe haijawahi kuwa na uhaba wa wanawake wa kuoa lakini wanaume kila siku wanakuwa wachache wengine wanakuwa mashoga n.k...kwa hyo hat bila kuumiza kichwa ni lazima utapata mwanamke wa kuoa haijalish una maisha gani!
 
Boss point sio kubembelezwa kuoa suala uyo mwanamke ni anavigezo sasa unabembelezwa na gumegume mimi nazungumzi Mwanamke hapa sio gumegume ambalo linatafuta kwa kufia
 
9 years age difference ni kubwa sana........ Age difference isiwe above 6 years
Si kubwa kabisa, pia ndio maana nimeandika pale juu mimi 29 umri namba ila sina tofauti kabisa kimuonekano na mwenye miaka 24 mpaka muda mwengine initiatives hasira dogo tu wa 27 anakitwa dogo.

Nje ya mada kuna sehemu nilifanya kazi kuna scenario ilitokea Mlinzi akaanita "huyu dogo" nilimaindi ilikaa moyoni natafuta Angle nimchane aache ufala, alafu baadae yule mlinzi anapiga stori kwenye stori anawaambia Ana umri wa 24 mimi apo nina 29 Fala nimempita 5 ananiita dogo.

I short huyo huyu mwanamke atazeeka mimk bado naonekana kama nina 28.
 
Jibu swali, anashona nini??
Kama hata hujui maana ya kushona ni wazi huyo binti ana akili ndo maana hataki kuolewa na kilaza. Unashonaje cherehani? Unatumia mashine na uzi gani? Mpaka hapo hujaweza kuelewa? Huyo bint ana umri mdogo ila ana akili sana. Hataki kuolewa na kubwa jinga au kubwa kilaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…