Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
Wapi katika Biblia tunaweza kuona wanafunzi au watu waliobatizwa kwa jina la Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu kama ilivyoandikwa katika Mathayo 28:19?
Sasa tuchambue kwa ushahidi wa maandiko:
1. Amri ya Yesu mwenyewe – Mathayo 28:19
“Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu.”
Hapa Yesu mwenyewe anatoa agizo kwa mitume wake kabla ya kupaa mbinguni. Hii ndiyo amri kuu ya ubatizo, na inatajwa kwa jina la Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu.
2. Utekelezaji wa agizo – Matendo ya Mitume
Watu wengi walibatizwa katika kitabu cha Matendo ya Mitume, lakini kwa jina la Yesu Kristo:
a) Matendo 2:38 – Siku ya Pentekoste
“Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina la Yesu Kristo…”
b) Matendo 8:16– Watu wa Samaria
“…kwa maana alikuwa hajamshukia hata mmoja wao ila walikuwa wamebatizwa tu kwa jina la Bwana Yesu.”
c) Matendo 10:48 – Kornelio na watu wake
“Akaamuru wabatizwe kwa jina la Yesu Kristo.”
d) Matendo 19:5– Wanafunzi wa Yohana
“Waliposikia haya wakabatizwa kwa jina la Bwana Yesu.”
Hoja ya Kulinganisha:
Ingawaje agizo lilikuwa kwa jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, utekelezaji wake katika matendo ya mitume wote waliobatiza walitumia jina la Yesu Kristo. Hii imeibua mijadala ya kiteolojia juu ya kama “jina” hilo linawakilisha utimilifu wa Baba (Mungu), Mwana (Yesu), na Roho Mtakatifu ndani ya utambulisho wa Yesu Kristo.
Mwisho kwa Ushahidi:
Ushauri wa Kiutafiti:
- Hakuna maandiko katika Biblia yanayoeleza moja kwa moja kwamba mtu alibatizwa kwa kutajwa maneno “kwa jina la Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu” wakati wa tendo la ubatizo.
- Hata hivyo, maandiko yako wazi kwamba agizo lilitolewa na Yesu mwenyewe kwa maneno hayo (Mathayo 28:19), lakini mitume walibatiza kwa jina la Yesu Kristo, wakiamini kuwa ndilo jina lililobeba mamlaka ya Utatu mtakatifu.
Tafsiri ya “jina” katika Mathayo 28:19 kama “Yesu” inatokana na fundisho la kuwa Yesu ndiye utimilifu wa Mungu katika mwili (Kol 2:9). Ndiyo maana ubatizo kwa jina la Yesu Kristo unaonekana kuwa ni utekelezaji wa ile amri ya Mathayo 28:19.
Niwekee mil 5 sasa na Ubarikiwe !
Hii itakusaidia nini? unataka kuachieve nini?Hiyo milioni 5 kama inakuwasha,saidia yatima itapata thawabuHabari Wakuu.
Nimekuwa nikifuatilia mafundisho mbalimbali katika makanisa kuhusu somo la Ubatizo (Baptize), kwa sehemu kubwa kila inaonekana kila kanisa Lina namna yake ya uelewa juu ya ubatizo.
Hoja yangu ni hii, Kama dini ya kikristo muongozo wake ni Biblia. Nipo tayari kutoa kiasi cha Tsh milioni 5 kwa atakaye nionyesha ni wanafunzi gani au watu gani katika biblia waliowahi kubatizwa kwa Jina la Baba, Mwana na Roho mtakatifu.
Ninahisi Mtoa mada anafuata mafundisho ya “Jesus Only” au "Oneness Pentecostals", ambao wanaamini kwamba ubatizo unapaswa kufanywa kwa jina la Yesu tu. Sababu kuu wanayoitoa ni kwamba katika Biblia hatusomi popote kuhusu mtu au watu waliobatizwa kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu.Habari Wakuu.
Nimekuwa nikifuatilia mafundisho mbalimbali katika makanisa kuhusu somo la Ubatizo (Baptize), kwa sehemu kubwa kila inaonekana kila kanisa Lina namna yake ya uelewa juu ya ubatizo.
Hoja yangu ni hii, Kama dini ya kikristo muongozo wake ni Biblia. Nipo tayari kutoa kiasi cha Tsh milioni 5 kwa atakaye nionyesha ni wanafunzi gani au watu gani katika biblia waliowahi kubatizwa kwa Jina la Baba, Mwana na Roho mtakatifu.
Tatizo la mleta hoja anafikiri wanafunzi wa Yesu ni wale 12 tu. Kumbe hata hao anaowaona wanabatizwa leo ni wanafunzi.Wapi katika Biblia tunaweza kuona wanafunzi au watu waliobatizwa kwa jina la Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu kama ilivyoandikwa katika Mathayo 28:19?
Sasa tuchambue kwa ushahidi wa maandiko:
1. Amri ya Yesu mwenyewe – Mathayo 28:19
“Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu.”
Hapa Yesu mwenyewe anatoa agizo kwa mitume wake kabla ya kupaa mbinguni. Hii ndiyo amri kuu ya ubatizo, na inatajwa kwa jina la Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu.
2. Utekelezaji wa agizo – Matendo ya Mitume
Watu wengi walibatizwa katika kitabu cha Matendo ya Mitume, lakini kwa jina la Yesu Kristo:
a) Matendo 2:38 – Siku ya Pentekoste
“Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina la Yesu Kristo…”
b) Matendo 8:16– Watu wa Samaria
“…kwa maana alikuwa hajamshukia hata mmoja wao ila walikuwa wamebatizwa tu kwa jina la Bwana Yesu.”
c) Matendo 10:48 – Kornelio na watu wake
“Akaamuru wabatizwe kwa jina la Yesu Kristo.”
d) Matendo 19:5– Wanafunzi wa Yohana
“Waliposikia haya wakabatizwa kwa jina la Bwana Yesu.”
Hoja ya Kulinganisha:
Ingawaje agizo lilikuwa kwa jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, utekelezaji wake katika matendo ya mitume wote waliobatiza walitumia jina la Yesu Kristo. Hii imeibua mijadala ya kiteolojia juu ya kama “jina” hilo linawakilisha utimilifu wa Baba (Mungu), Mwana (Yesu), na Roho Mtakatifu ndani ya utambulisho wa Yesu Kristo.
Mwisho kwa Ushahidi:
Ushauri wa Kiutafiti:
- Hakuna maandiko katika Biblia yanayoeleza moja kwa moja kwamba mtu alibatizwa kwa kutajwa maneno “kwa jina la Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu” wakati wa tendo la ubatizo.
- Hata hivyo, maandiko yako wazi kwamba agizo lilitolewa na Yesu mwenyewe kwa maneno hayo (Mathayo 28:19), lakini mitume walibatiza kwa jina la Yesu Kristo, wakiamini kuwa ndilo jina lililobeba mamlaka ya Utatu mtakatifu.
Tafsiri ya “jina” katika Mathayo 28:19 kama “Yesu” inatokana na fundisho la kuwa Yesu ndiye utimilifu wa Mungu katika mwili (Kol 2:9). Ndiyo maana ubatizo kwa jina la Yesu Kristo unaonekana kuwa ni utekelezaji wa ile amri ya Mathayo 28:19.
Niwekee mil 5 sasa na Ubarikiwe !
Sawa kabisa MGOGOHALISITatizo la mleta hoja anafikiri wanafunzi wa Yesu ni wale 12 tu. Kumbe hata hao anaowaona wanabatizwa leo ni wanafunzi.
Nasubiria mkuushindikanaa Tuma lipa namba kabisa , baada ya masaa 6 nakuja kujibu
Kwani wewe ni shindiiNasubiria mkuu
Elewa swali mzee...nani katika biblia alibatizwa kwa Jina la Baba, Mwana na Roho mtakatifu. Mtu unae mjua kwenye biblia yakoMathayo 28:19
[19]Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
Go ye therefore, and teach all nations, baptizing them in the name of the Father, and of the Son, and of the Holy Ghost:
Asante mkuu..tuma namba nikuwekee na ya kutoleaWapi katika Biblia tunaweza kuona wanafunzi au watu waliobatizwa kwa jina la Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu kama ilivyoandikwa katika Mathayo 28:19?
Sasa tuchambue kwa ushahidi wa maandiko:
1. Amri ya Yesu mwenyewe – Mathayo 28:19
“Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu.”
Hapa Yesu mwenyewe anatoa agizo kwa mitume wake kabla ya kupaa mbinguni. Hii ndiyo amri kuu ya ubatizo, na inatajwa kwa jina la Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu.
2. Utekelezaji wa agizo – Matendo ya Mitume
Watu wengi walibatizwa katika kitabu cha Matendo ya Mitume, lakini kwa jina la Yesu Kristo:
a) Matendo 2:38 – Siku ya Pentekoste
“Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina la Yesu Kristo…”
b) Matendo 8:16– Watu wa Samaria
“…kwa maana alikuwa hajamshukia hata mmoja wao ila walikuwa wamebatizwa tu kwa jina la Bwana Yesu.”
c) Matendo 10:48 – Kornelio na watu wake
“Akaamuru wabatizwe kwa jina la Yesu Kristo.”
d) Matendo 19:5– Wanafunzi wa Yohana
“Waliposikia haya wakabatizwa kwa jina la Bwana Yesu.”
Hoja ya Kulinganisha:
Ingawaje agizo lilikuwa kwa jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, utekelezaji wake katika matendo ya mitume wote waliobatiza walitumia jina la Yesu Kristo. Hii imeibua mijadala ya kiteolojia juu ya kama “jina” hilo linawakilisha utimilifu wa Baba (Mungu), Mwana (Yesu), na Roho Mtakatifu ndani ya utambulisho wa Yesu Kristo.
Mwisho kwa Ushahidi:
Ushauri wa Kiutafiti:
- Hakuna maandiko katika Biblia yanayoeleza moja kwa moja kwamba mtu alibatizwa kwa kutajwa maneno “kwa jina la Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu” wakati wa tendo la ubatizo.
- Hata hivyo, maandiko yako wazi kwamba agizo lilitolewa na Yesu mwenyewe kwa maneno hayo (Mathayo 28:19), lakini mitume walibatiza kwa jina la Yesu Kristo, wakiamini kuwa ndilo jina lililobeba mamlaka ya Utatu mtakatifu.
Tafsiri ya “jina” katika Mathayo 28:19 kama “Yesu” inatokana na fundisho la kuwa Yesu ndiye utimilifu wa Mungu katika mwili (Kol 2:9). Ndiyo maana ubatizo kwa jina la Yesu Kristo unaonekana kuwa ni utekelezaji wa ile amri ya Mathayo 28:19.
Niwekee mil 5 sasa na Ubarikiwe !
Hapana hujalielewa andiko linamaqnisha ni ubatizo wa aliyoagiza Yesu pekee ndio utawaokoa maana by then watu walikuwa wafuasi wa watu tofauti tofauti, mfano yohana mbatizaji, wengine wa Musa nknk. So wale walioqmin walibatizwa kwa kanuni ya Yesu sio kwamba walibatizwa kwa jina la Yesu ni ili uwe wa Yesu uje ubatizwe ubatizo wa Yesu.Wapi katika Biblia tunaweza kuona wanafunzi au watu waliobatizwa kwa jina la Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu kama ilivyoandikwa katika Mathayo 28:19?
Sasa tuchambue kwa ushahidi wa maandiko:
1. Amri ya Yesu mwenyewe – Mathayo 28:19
“Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu.”
Hapa Yesu mwenyewe anatoa agizo kwa mitume wake kabla ya kupaa mbinguni. Hii ndiyo amri kuu ya ubatizo, na inatajwa kwa jina la Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu.
2. Utekelezaji wa agizo – Matendo ya Mitume
Watu wengi walibatizwa katika kitabu cha Matendo ya Mitume, lakini kwa jina la Yesu Kristo:
a) Matendo 2:38 – Siku ya Pentekoste
“Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina la Yesu Kristo…”
b) Matendo 8:16– Watu wa Samaria
“…kwa maana alikuwa hajamshukia hata mmoja wao ila walikuwa wamebatizwa tu kwa jina la Bwana Yesu.”
c) Matendo 10:48 – Kornelio na watu wake
“Akaamuru wabatizwe kwa jina la Yesu Kristo.”
d) Matendo 19:5– Wanafunzi wa Yohana
“Waliposikia haya wakabatizwa kwa jina la Bwana Yesu.”
Hoja ya Kulinganisha:
Ingawaje agizo lilikuwa kwa jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, utekelezaji wake katika matendo ya mitume wote waliobatiza walitumia jina la Yesu Kristo. Hii imeibua mijadala ya kiteolojia juu ya kama “jina” hilo linawakilisha utimilifu wa Baba (Mungu), Mwana (Yesu), na Roho Mtakatifu ndani ya utambulisho wa Yesu Kristo.
Mwisho kwa Ushahidi:
Ushauri wa Kiutafiti:
- Hakuna maandiko katika Biblia yanayoeleza moja kwa moja kwamba mtu alibatizwa kwa kutajwa maneno “kwa jina la Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu” wakati wa tendo la ubatizo.
- Hata hivyo, maandiko yako wazi kwamba agizo lilitolewa na Yesu mwenyewe kwa maneno hayo (Mathayo 28:19), lakini mitume walibatiza kwa jina la Yesu Kristo, wakiamini kuwa ndilo jina lililobeba mamlaka ya Utatu mtakatifu.
Tafsiri ya “jina” katika Mathayo 28:19 kama “Yesu” inatokana na fundisho la kuwa Yesu ndiye utimilifu wa Mungu katika mwili (Kol 2:9). Ndiyo maana ubatizo kwa jina la Yesu Kristo unaonekana kuwa ni utekelezaji wa ile amri ya Mathayo 28:19.
Niwekee mil 5 sasa na Ubarikiwe !
Mkuu Baba ni Jina? Baba ni cheo, sasa kwa elimu ndogo tuu huwezi kusema Baba, Mwana na Roho mtakatifu ni jina.Kubatizwa kwa Jina la Yesu ni sawa na kubatizwa kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu kwa sababu Jina la Yesu ni utimilifu wa Uungu wote. Kuna tofauti ya jina la Yesu kabla ya kufa na kufufuka na baada ya kufa na kufufuka kwake.
Wakolosai 1 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
Hela ipo mkuu...lete evidence nikutumie muamalaHela yenyewe ya kununua bundle tu tunaipata kwa mbinde, ndiyo iwe hiyo milioni tano?🤣
Kauli ikishatoka ni amri. Utekelezaji unaanza mara moja. Wanazuoni wanadai kama Kila kitu kingeandikwa biblia isingetosha
Kwa Jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu = Katika Jina la Yesu...!Wapi katika Biblia tunaweza kuona wanafunzi au watu waliobatizwa kwa jina la Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu kama ilivyoandikwa katika Mathayo 28:19?
Sasa tuchambue kwa ushahidi wa maandiko:
1. Amri ya Yesu mwenyewe – Mathayo 28:19
“Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu.”
Hapa Yesu mwenyewe anatoa agizo kwa mitume wake kabla ya kupaa mbinguni. Hii ndiyo amri kuu ya ubatizo, na inatajwa kwa jina la Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu.
2. Utekelezaji wa agizo – Matendo ya Mitume
Watu wengi walibatizwa katika kitabu cha Matendo ya Mitume, lakini kwa jina la Yesu Kristo:
a) Matendo 2:38 – Siku ya Pentekoste
“Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina la Yesu Kristo…”
b) Matendo 8:16– Watu wa Samaria
“…kwa maana alikuwa hajamshukia hata mmoja wao ila walikuwa wamebatizwa tu kwa jina la Bwana Yesu.”
c) Matendo 10:48 – Kornelio na watu wake
“Akaamuru wabatizwe kwa jina la Yesu Kristo.”
d) Matendo 19:5– Wanafunzi wa Yohana
“Waliposikia haya wakabatizwa kwa jina la Bwana Yesu.”
Hoja ya Kulinganisha:
Ingawaje agizo lilikuwa kwa jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, utekelezaji wake katika matendo ya mitume wote waliobatiza walitumia jina la Yesu Kristo. Hii imeibua mijadala ya kiteolojia juu ya kama “jina” hilo linawakilisha utimilifu wa Baba (Mungu), Mwana (Yesu), na Roho Mtakatifu ndani ya utambulisho wa Yesu Kristo.
Mwisho kwa Ushahidi:
Ushauri wa Kiutafiti:
- Hakuna maandiko katika Biblia yanayoeleza moja kwa moja kwamba mtu alibatizwa kwa kutajwa maneno “kwa jina la Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu” wakati wa tendo la ubatizo.
- Hata hivyo, maandiko yako wazi kwamba agizo lilitolewa na Yesu mwenyewe kwa maneno hayo (Mathayo 28:19), lakini mitume walibatiza kwa jina la Yesu Kristo, wakiamini kuwa ndilo jina lililobeba mamlaka ya Utatu mtakatifu.
Tafsiri ya “jina” katika Mathayo 28:19 kama “Yesu” inatokana na fundisho la kuwa Yesu ndiye utimilifu wa Mungu katika mwili (Kol 2:9). Ndiyo maana ubatizo kwa jina la Yesu Kristo unaonekana kuwa ni utekelezaji wa ile amri ya Mathayo 28:19.
Niwekee mil 5 sasa na Ubarikiwe !
Tutajua ukweli wa mambo mkuu..kama ni sahihi tunavyobatizana ama Kuna namna tunakosea turekebishaneDuh..! Then baada ya hapo?
NONina swali moja tu kwako mtoa mada, mtu akibatizwa kwa jina la baba, mwana na roho anenda mbinguni(atarithi uzima wa milele) or not ?
Ningependa jibu liwe Yes/No.
Ni katika kuangalia usahihi wa mambo tuu mkuu.Ukishapewa handiko wewe litakusaidia Nini katika maisha yako??pilipili usioila yakuwashia Nini??
Mathayo 28:19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;Habari Wakuu.
Nimekuwa nikifuatilia mafundisho mbalimbali katika makanisa kuhusu somo la Ubatizo (Baptize), kwa sehemu kubwa kila inaonekana kila kanisa Lina namna yake ya uelewa juu ya ubatizo.
Hoja yangu ni hii, Kama dini ya kikristo muongozo wake ni Biblia. Nipo tayari kutoa kiasi cha Tsh milioni 5 kwa atakaye nionyesha ni wanafunzi gani au watu gani katika biblia waliowahi kubatizwa kwa Jina la Baba, Mwana na Roho mtakatifu.
Mambo ya dini ni mengi na very complicated.. Ukiweza amini unachoweza kuamini baasiTutajua ukweli wa mambo mkuu..kama ni sahihi tunavyobatizana ama Kuna namna tunakosea turekebishane