Nipo tayari kutoa milioni 5 kwa mtu atakayenionyesha hili andiko

Mkuu nilichokuwa nahitaji ni kuona wapi pameandikwa kwenye biblia kuonyesha wanafunzi wanatimiza hilo andiko la kwenda kuwabatiza watu kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu.
 
Amina..umejibu sahihi
 
Kwani unaweza kutuonesha kwenye Qurani Binadamu au mtu aliyeisoma Qurani na kuiamini na kuamua kusilimu na kuwa mwislamu ?

Viumbe walio fanya hivyo ni Majini tu kwa mujibu wa Qurani:

Je kwa kigezo hicho tuseme kuwa hiyo ni Dini ya Majini pekee ?
 
Mkuu, wenye kujua Quran watakuja kukujibu hili swali lako. Mimi binafsi Sina ujuzi na Quran
 
Sio mtaalamu sana maandiko ila unaweza kusoma wakorintho wa kwanza , sura ya kwanza , mstati wa kumi na nne hadi wa kumi na saba, unaweza kupata jibu lako kwa tafsiri yako.
Ungetupa na maandishi ya huo mstari ingependeza sana kiongozi!

Cc Smart911
 
Basi ndio kwenye kuuliza kwako, tambua kwamba. Yesu alitoa agizo.

Sasa wewe mwenzetu unaamini, agizo la Yesu, wanafunzi walidharau au walipuuzia, halikutekelezwa kwasababu haijaandikwa.

Mkuu nilichokuwa nahitaji ni kuona wapi pameandikwa kwenye biblia kuonyesha wanafunzi wanatimiza hilo andiko la kwenda kuwabatiza watu kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu
 
5000 yenyewe huna utoe mil 5 unakichaa man
 
Basi ndio kwenye kuuliza kwako, tambua kwamba. Yesu alitoa agizo.

Sasa wewe mwenzetu unaamini, agizo la Yesu, wanafunzi walidharau au walipuuzia, halikutekelezwa kwasababu haijaandikwa.
Mimi ninaamini kile kilichoandikwa kwenye biblia. Kama biblia inasema watu walibatizwa kwa jina la Yesu Kristo basi hicho ndio sahihi.
 
Hivi hiyo hela ya ushindi haitoki tuu?
Mkuu usikazie sana kwenye hela, ni kwamba umejibu sahihi lakini rudia tena kusoma mwanzoni kabisa. Ili upate hiyo hela inabidi unionyeshe ni wapi walipoandika. Kama hakuna sehemu iliyoandikwa basi na hela haipo mkuu. Ila nakupongeza kwa namna ulivyoelezea na kutambua kuwa ubatizo ni kwa jina la Bwana Yesu kristo.
 
Heeee
Are you serious ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…