Nipo tayari kuwekeana pesa na mtu anayebisha Lissu hatashinda. Anayebisha tuwekeane Laki tano tano

Nipo tayari kuwekeana pesa na mtu anayebisha Lissu hatashinda. Anayebisha tuwekeane Laki tano tano

Hiyo hela laki tano lofa wewe na maskini mkubwa huna nani abeti na maskini kama wewe
Bora lofa ambaye sio FISADI na mla RUSHWA.
Ninyi siku mkitoka madarakani mtazitema hizo mlizopora.
 
Siasa za Lissu zinamuhitaji Mh. Mbowe, Lissu atafika mbali sana kisiasa akiwa na Mbowe.
Kitendo cha Lissu kujaribu kwenda mwenyewe bila Mbowe ni cha kijasiri, kitendo cha kumbeza Mbowe na kumwita Mugabe bila ya kujali thamani yake ndani ya chama ni cha kijasiri pia, leo Lissu kahutubia ukumbi umejaa vijana wadogo BAVICHA bila kujua nani kaifanya hiyo kazi yote, amefikiri kuwa sasa anawahitaji wana harakati kina Maria, Slaa, Lema, Heche ma.wengineo kumsaidia kufanikiwa kisiasa badala ya Mbowe, hili ni kosa na dharau kubwa sana, amewakwaza wanachama na wapenzi wengi sana wa CDM.

Kupambana na muasisi wa chama chako face to face tena kwa dharau ya wazi wazi ni risk kubwa sana kisiasa.

Muasisi atabakia kuwa ni muasisi tu wharever the case.
 
Back
Top Bottom