MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Naomba muite wewe asome komenti zangu mbili labda atakuja ili tufanye hivyoJamani wenye hela,mhindi mweusi anawaita huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba muite wewe asome komenti zangu mbili labda atakuja ili tufanye hivyoJamani wenye hela,mhindi mweusi anawaita huku
Siasa za Lissu zinamuhitaji Mh. Mbowe, Lissu atafika mbali sana kisiasa akiwa na Mbowe.
Kitendo cha Lissu kujaribu kwenda mwenyewe bila Mbowe ni cha kijasiri, kitendo cha kumbeza Mbowe na kumwita Mugabe bila ya kujali thamani yake ndani ya chama ni cha kijasiri pia, leo Lissu kahutubia ukumbi umejaa vijana wadogo BAVICHA bila kujua nani kaifanya hiyo kazi yote, amefikiri kuwa sasa anawahitaji kina na Maria, Slaa, Lema, Heche kumsaidia kufanikiwa kisiasa badala ya Mbowe, hili ni kosa na dharau kubwa sana.
Kupambana na muasisi wa chama chako face to face ni risk kubwa sana kisiasa
Muasisi atabakia kuwa ni muasisi tu.
Jamani wenye hela,mhindi mweusi anawaita huku
Niliomba tufanye hivyo Ila hukunujibu mpaka Sasa ,nahitaji utaratibu wa makabidhiano na pia vigezo
Mkuu Robert Heriel Mtibeli njoo muwekeane ela na MENEMENE TEKERI NA PERESI kakubali battleNaomba muite wewe asome komenti zangu mbili labda atakuja ili tufanye hivyo
Soma vizuri comments za uzi huu kutoka mwanzo wa mada yako KakaUmeomba wapi?
Walioanza siasa majuzi kati ndiyo pekee wanaweza kumdharau na kumbeza Mh. Mbowe.Mbowe ni mtu Mkubwa na mwenye mchango Chanya wa kukumbukwa
Lisu hata akishinda lazima amtumie Mbowe kwa sababu kuna mambo Mbowe anayo ambayo Lisu hana
Uweke hela kwa wanasiasa, si uwendawazimu huo.Vishu Mtata kuna hela huku
Unawaita TAKUKURU wewe!
Umepata matokeo ya Bazecha?Hao vijana naona Mpaka sasa wanaogopa. Wanajua matokeo
Kaka, tuweke mshiko
Umepata matokeo ya Bazecha?
Nenda kwenye betting Yanga jumamosi inampiga mwarabu goli 3, ingiza pesa yako hapo uvune mpunga mrefu acha kuota ndoto za mchana.
Nenda kwenye betting Yanga jumamosi inampiga mwarabu goli 3, ingiza pesa yako hapo uvune mpunga mrefu acha kuota ndoto za mchana.
Mbowe hawezi kutishwa au kusumbuliwa na kinyago alichokichonga mwenyewe.Nataka nile pesa yako