Nipo tayari kuwekeana pesa na mtu anayebisha Lissu hatashinda. Anayebisha tuwekeane Laki tano tano

Nipo tayari kuwekeana pesa na mtu anayebisha Lissu hatashinda. Anayebisha tuwekeane Laki tano tano

Siasa za Lissu zinamuhitaji Mh. Mbowe, Lissu atafika mbali sana kisiasa akiwa na Mbowe.
Kitendo cha Lissu kujaribu kwenda mwenyewe bila Mbowe ni cha kijasiri, kitendo cha kumbeza Mbowe na kumwita Mugabe bila ya kujali thamani yake ndani ya chama ni cha kijasiri pia, leo Lissu kahutubia ukumbi umejaa vijana wadogo BAVICHA bila kujua nani kaifanya hiyo kazi yote, amefikiri kuwa sasa anawahitaji kina na Maria, Slaa, Lema, Heche kumsaidia kufanikiwa kisiasa badala ya Mbowe, hili ni kosa na dharau kubwa sana.
Kupambana na muasisi wa chama chako face to face ni risk kubwa sana kisiasa

Muasisi atabakia kuwa ni muasisi tu.

Mbowe ni mtu Mkubwa na mwenye mchango Chanya wa kukumbukwa

Lisu hata akishinda lazima amtumie Mbowe kwa sababu kuna mambo Mbowe anayo ambayo Lisu hana
 
Mbowe ni mtu Mkubwa na mwenye mchango Chanya wa kukumbukwa

Lisu hata akishinda lazima amtumie Mbowe kwa sababu kuna mambo Mbowe anayo ambayo Lisu hana
Walioanza siasa majuzi kati ndiyo pekee wanaweza kumdharau na kumbeza Mh. Mbowe.

Lissu ameingizwa chaka na wanaharakati uchwara, na nawaambia hapa kwamba HATAFIKA POPOTE KISIASA - bet.
 
Wakuu!

Retired FUSO Tlaatlaah
Ambaye yupo tayari aweke Laki mbili Mimi naweka Laki tano.
Lisu akishindwa unachukua Laki tano.
Akishinda nachukua hiyo Laki Mbili.

Aliyetayari kwa Mchezo aniambie tucheze. Mwisho tarehe 15

Nasubiri
Nenda kwenye betting Yanga jumamosi inampiga mwarabu goli 3, ingiza pesa yako hapo uvune mpunga mrefu acha kuota ndoto za mchana.
 
Back
Top Bottom