Nisaidie niweze kurudia masomo yangu ya kidato cha IV

Nisaidie niweze kurudia masomo yangu ya kidato cha IV

kwahiyo sasa hiyo 'QT and resitters' na ile 'PC' hua zinamaanisha nini
QT huu ni mtihani wa kidato cha pili, mtu ambae amemaliza elimu ya msingi na hakuendelea secondary basi anasoma mwaka mmoja ( form 1 na form 2) kisha anasajiliwa kufanya huo mtihani.

Akifaulu QT basi atasoma tena mwaka mmoja (form 3 na 4) kisha atafanya mtihani wa kidato cha nne kama private candidate. Kwahiyo huyu mtu anakua kamaliza zake form foo kihivyo.

Ressiters hawa ni waliomaliza form four hawakupata credit hivo wanarudia tena kutafuta credit. Bila shaka umeelewa
 
Sikushauri kurudia unless unafanya kama hobby. Elimu ya kusoma kwa kupata vyeti ni kwa ajili ya kutengeneza mazingira ya kupanda ngazi kielimu mpaka kufikia kuajiriwa ktk ujuzi husika hapa ni rahisi kusoma ukiwa ndani ya kundi la umri wa wanafunzi wenzio hasa hasa sekondari.

Elimu ya kusoma kupata maarifa hii sio lazima urudi darasani hasa hasa ukiwa mtu mzima (zaidi ya miaka 25), hapa unajikita zaidi kujifunza mambo mbali mbali kupitia mtandao unaweza ukawa unasoma hata na watoto wako kama unao in free time hayo hayo masomo yao sekondari.
 
Achana na vyeti ndugu. Mimi nina passmark za masomo yangu yote kuanzia sekondari mpaka namaliza chuo ila vyeti nimefungia kwenye kabati soon na mpango wa kuvitia moto maana sio umuhimu wowote kuwa navyo hasa nyakati hizi .


Now nipo mbezi nafanya umachinga na maisha yana songa
 
Nimeitika mwanangu.
Huyu dogo akitaka maelekezo mazuri, labda achukue pesa ya madaftari kama 40k aje hala Club Chiller ili nimshauri vizuri...🤣
Natumai ata ufanyia kazi, maana utu uzima dawa🤣🤣.
šŸ‘‰Na wakubwa huwa hamkoseišŸ¤£šŸ˜‚
 
Kiukweli ikshajua kusoma, kuandika, kuishi vizuri na watu pamoja na nidhamu unatoboa mkuu. Nashangaa kuona wakimbizi au wageni wenye permits za kufanya kazi nchini wanatoka nchi mbalimbali na kuja Bongo na ndani ya miaka kadhaa ana maendelo kupita wazawa wengine. Pia kusoma sana ni utumwa kwa sababu thamani yako ipo kwenye makaratasi yanayoexpire baada ya kumaliza shule.
 
mkuu naomba Niku ulize swali, una taka urudie mtihani kwa sababu zipi?
šŸ‘‰Uboreshe matokeo tu.
šŸ‘‰Uji endeleze ki elimu
šŸ‘‰Au Umeona elimu ndo njia pekee ya wewe kutoboa??
šŸ‘‰Ila 2008 mhhh, Miaka 13 Ime pita, hau jafika 40 kwelišŸ¤”šŸ¤’

šŸ‘‰Mimi mwenzio sijawai enda shule, but still nakomaa na mtaa.
Daaah! kama ameona elimu ndiyo itakayomtoa,arudie tu,kwani kuajiriwa endapo anataka kuajiriwa serikalini,mwisho ni miaka 45.Anayo nafasi,ana kitu.
 
mkuu naomba Niku ulize swali, una taka urudie mtihani kwa sababu zipi?
[emoji117]Uboreshe matokeo tu.
[emoji117]Uji endeleze ki elimu
[emoji117]Au Umeona elimu ndo njia pekee ya wewe kutoboa??
[emoji117]Ila 2008 mhhh, Miaka 13 Ime pita, hau jafika 40 kweli[emoji848][emoji855]

[emoji117]Mimi mwenzio sijawai enda shule, but still nakomaa na mtaa.
Sio 13 ni 15
 
Hii elimu ya kibongo ya ajabu sana,
Unaweza kukuta anataka kujiendeleza kusomea digrii, kwa kutumia diploma yake ya IT, au labda kwenye maombi ya kazi serikalini, Lakini kuna wajinga huko juu wamekaza shingo wanataka anyeshe cheti cha form kilichonyooka...
 
Ulishapewa muongozo mwaka jana, uliuufata?
 
Nilipata 4 ya 28
Nikaapply chuo
Nikaambiwa nisome kwanza foundation course
Nikapata gpa mbovu
Nikapigika mtaani
Nikaapply kazi nikapata
Now nahangaika Tena na kazi
Coz Mimi ni MBOVU tangu mwanzo
 
Back
Top Bottom