Nisaidieni kujua kwanini huyu kaka kaniganda kwa miaka minne

Tanzania story nyingi huwa ni za mapenzi, hivi hatuwezi kuzungumzia mambo mengine ya msingi, yanatufanya tuishi na kufikiria future yetu! Kila siku mapenzi mapenzi! Hii nchi hatari sana
 
Kama unataka future nenda ulaya🙂‍↔️
 
Naam ahamue tu kuolewa na huyo jamaa,vinginevyo akifikisha tu thirty,atahitaji yoyote yule alimradi ni mwanaume.
 
Muda wote huo wewe hujapata wa kwako? Ushauri wangu: Unataka mpaka likupate jambo gani ili ujue huyu ni tapeli? I mean kitendo cha kukuficha kuwa ana mtoto huoni ni jambo serious sana sana na ni red flag ambayo hutakiwa kuipuuza?
 
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…