Nisaidieni kuokoa ndoa yangu jamani

Asante
Mkuu hyo ni Psychological issue,usidanganywe kuitatua kwa kula tangawizi wala Viagra..unatawaliwa na hofu, ambayo inapelekea uume usisimame ama unasimama kiulegevu..
 
Hii njia ni ya kweli kabsa kuna mtu ilishawai kumsaidia
 
khaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Duh.. aisee!
 
🤣
Mkuu,
Vyakula vyote hivyo vinaingia kwenye tumbo au junia?!😁
 
Huyu kaka kabakwa akiwa mdogo tena akatishiwa asiseme either ni ndugu au ni mfanyakazi wakike sasa niambie kitu kikubwa kwa sasa anahitaji ushauri nasaaa
Mmh kumbe alikua amebakwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…