Nisaidieni kuokoa ndoa yangu jamani

Nisaidieni kuokoa ndoa yangu jamani

Asante
Mkuu hyo ni Psychological issue,usidanganywe kuitatua kwa kula tangawizi wala Viagra..unatawaliwa na hofu, ambayo inapelekea uume usisimame ama unasimama kiulegevu..
 
Mi nina tuzo ya punyeto nilikuwa napigaga × 6 per day na ni mara 2 hadi 3 kwa siku.
20220912_092734.jpg
 
Pole mkuu ila utapona chap chukua tangawiz mbich na vtunguu saumu visage vzr chukua na asali mbichi pima kama mchanganyiko wa tangawz na vtunguu itakuwa n vjiko 20 bas asali iwe mara 2 yake alaf tumia vjko 3 asbh mchana kama unamuda na jioni ndn ya wik 2 lete majbu kama ulivyoleta tatzo lako nna uhakika 100% nmeshawapa weng na wanapona

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Hii njia ni ya kweli kabsa kuna mtu ilishawai kumsaidia
 
Naongezea

Nazi mbata iliyokauka
Muhogo mtamu
Karanga ndogo laini zenye maji maji
Tende kavu
Maziwa fresh glass 1×3 usiku kabla ya kulala meza na tembe 2 za kitunguu saumu
Juice ya karoti na nanasi glass 1×3 siku 7
Nyama nyama za kutosha kilo 2 kwa siku
Ugali au Wali kisoda ¼
Supu yenye pilipili kichaa za kutosha bakuri kubwa kila asubuhi usisagau kuweka ndimu au limau
Asali ya nyuki wadogo vijiko 2×3 siku 21
Juice ya matango ya kienyeji glass 2×3 siku 21
Juice ya vitunguu maji glass 1×2 siku 14
Juice ya cabbage glass 1×2 siku 7
Mbegu za Maboga tafuna au unga wake pika uji kunywa
Mbegu za Tikiti maji saga changanya na asali na kitunguu saumu lamba vijiko 2×3 siku 21

Km nimesahau ongezea
khaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Duh.. aisee!
 
...ugali sinia, Kuku mzima, Bata nusu, juice ya nanasi mixer parachichi, Supu ya Mbuzi mwagia ndimu na limau pilipili za kutosha, Mbuzi choma finyango 4 au 5 mapande makubwa bugia alafu mwisho kabisa funika kombe na maji lita 2 na nusu, ukimaliza piga ndizi mbivu hata chane 3/2 zenye ndizi 5 na parachichi 2/3
-ukitoka hapo nenda katombe utaleta majibu hapa ukishindwa kufunga mabao ya kutosha kwenye hii mechi niiiite Mimi mbwa nimekaa paaaale
-hapa una pesa u na ku la unachotaka unatomba u na vyo ta ka
🤣
Mkuu,
Vyakula vyote hivyo vinaingia kwenye tumbo au junia?!😁
 
Back
Top Bottom