Nisaidieni kuzimua ubongo wa huyu mwanamke

Watu wawili ambao huwezi kuwashauri maisha yako yote ni mwanaume mwenye pesa na mwanamke alie penda hawa watu nunu popcorn na juice yako tulia endelea kuangalia muvi inavyo enda
 
Umeeleweka mkuu.
Asante kwa ushauri mzuri
 
Shida iko hapa"Kuna saa nahisi ana shida kichwani mana kwa maelezo yake ni wazi jamaa hamtaki na hata yeye anajua"huyu anajaribu second chance,hajui kuwa hapa ndio atatendwa mpaka akili imkae vizuri...
 
A
Mwambie ajiandae kubeba stress kwa jamaa, hiyo kazi ya kuzitoa stress ibaki kwako
Tayari hapa alipo mistress kibao mkuu.
Inasikitisha mtu kajitahidi kumsahau karibia mwaka then anajirudisha anaanza kuteseka upya.
 
Ulikoma dada Donatila!
 
Watu wawili ambao huwezi kuwashauri maisha yako yote ni mwanaume mwenye pesa na mwanamke alie penda hawa watu nunu popcorn na juice yako tulia endelea kuangalia muvi inavyo enda
Kabisa mkuu ila hili sio tatizo la kiafya kweli.?
Mbona wanawake wengine wakiachwa wanaumia wanapona wanasahau iweje huyu anashindwa?
 
Anajiandaa kuwa Feminist atakaye kuwa anachukia Wanaume kwa ujinga wake.
 
Shida iko hapa"Kuna saa nahisi ana shida kichwani mana kwa maelezo yake ni wazi jamaa hamtaki na hata yeye anajua"huyu anajaribu second chance,hajui kuwa hapa ndio atatendwa mpaka akili imkae vizuri...
Na hapa kosa sio la huyo jamaa.
Kosa la bibie anayeshindwa ku let it go
 
Jamaa anamkojoza na demu inawezekan tangu aanze safari Yake ya mapenz hajawahi kukujozwa zaidi ya jamaa kwahiyo mambo yake mwachie mwenyewe.
 
Cha msingi na wewe kata nae mazoea😏
 
Ww sema unataka kujipachika mxiewww.!! Hebu acha mapenzi ya watu tafuta kimeo chako uhangaike nacho 🤣🤣🤣
 
Huyo demu inaonekana ni wale Loosers ambao hawana soko.....wanaking'ang'anizi balaa
Wakiitwa pisi kali zile visu haswaa hatoki na kuhusu soko lake sijui ila ana bahati ya kupendwa na jamaa wazito na angekua sio hiyo kushindwa kumsahau huyo jamaa yake nina imani saa hizi angekua kwenye ndoa au mahusiano serious na jamaa fulani hivi sio mtanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…