father-xmas
JF-Expert Member
- Mar 23, 2010
- 971
- 1,117
- Thread starter
-
- #61
,Sasa ndo unifyonze dadangu?Ww sema unataka kujipachika mxiewww.!! Hebu acha mapenzi ya watu tafuta kimeo chako uhangaike nacho 🤣🤣🤣
wewe mwenyeo utakua unamlia taiming huyo.Salute wakuu
Kuna dada ni rafiki yangu na amekua akinishirikisha mambo yake mengi ya ndani.
Huyu dada aliachwa na jamaa yake ila kile kibuti cha jamaa kidogo kiondoke na roho ya dada, aliteseka, alikonda ila baada ya muda akakaa sawa, akanenepa, akapendeza na mwenyewe akawa anadai kwa sasa anawekeza nguvu kujiboresha yeye na maisha yake kwa ujumla na kweli kuna hatua kapiga kiuchumi na hata ukikaa nae alikua mtu wa kuongelea big dreams.
Yaani ni mwanamke fulani hivi ukipiga nae story unajifunza vitu ila cha kusikitisha juzi tena ananiambia karudiana na jamaa na anahisi jamaa hana mapenzi nae. Namwambia kama unahisi jamaa hana mapenzi na wewe si umuache, anadai amejaribu ameshindwa hivyo anaomba mimi nimshauri afanyaje ili aweze kumuacha jamaa.
Kwa sasa ukikaa nae haongelei tena issue za maana, ni kumlilia tu huyo jamaa. Mind you ni mwanamke mwenye hela zake na ajabu kuna foreigner fulani alimpenda sana huyu dada ila dada kamtosa anadai hisia zake ziko huko alikoachwa.
Kuna saa nahisi ana shida kichwani mana kwa maelezo yake ni wazi jamaa hamtaki na hata yeye anajua.
Binafsi sijui chakumshauri nisaidieni wakuu. Tena nahisi akipewa ushauri wa maneno makali labda nikimpa asome anaweza kuzinduka na kukukubaliana na reallity 2kuwa huyo jamaa is gone.
faza ingevutia kijana wangu ila asante kwa ushauriKijana hajiongezi kumpa a shoulder to put her legs on
Ana misimamo mikali daahAcha kumsikiliza
Kikubwa omba shoo ataacha mazoea
Naamini siku jamaa akiomba nyuma ndo siku akili za dada zitafunguka,asingekubali na asingerudi tena kwa jamaa.Usiulize nimejuaje lakini mkuuHuyo mwanamke ata akiambiwa na huyo bwana ake ampe nyuma atampa na ataliwa mku.... then ataachwa na Bado ataendelea kumlilia Tena akili matope
Unamtakaje mtu kila saa anamlikia jamaa ake,?Kwani we humtaki?
Sio hivyo mkuuHahah alikuwa anajilia kiselah
Sasa madame anarudi kwa mtuwe ,roho yamuuma
Ila asijal kazi ya kumbembelezah kaikamilisha afanye yake,side niggah
Ni kweli usemacho mkuuAombaye Ushauri wa Mahusiano ujue ana Mahaba mazito na huyo mtu kama hana angemalizana naye chap bila hata ya ww kujua lolote
Ukishauri aachane naye subiri ndani ya wiki moja whatsApp status kajipost naye na caption kuuubwa "Hakuna Kenge yeyote wa kututenganisha"
Kimasihara kwa yule mwanamke kuipata ni ngumuBro,
muda wa kupiga kimasikhara umewadia,
Usiache hiyo fursa.
Au sio mkuu,nijiongezeShtuka Mtego Huo
Inawezekana ukawa sahihi mkuu.Hiyo inaitwa obsession na sio hisia za mapenzi, ni ugonjwa wa akili unamsumbua.
Sahihi mkuuAchana naye huyu.Halafu acha kumsikiliza akiwa anaongea stori zake za ajabu.Kuna siku atakusimulia jinsi jamaa anavyommaliza..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] "a shoulder to put her legs on" for what? [emoji23][emoji23][emoji23]Kijana hajiongezi kumpa a shoulder to put her legs on
Sio huyo mkuuHuyo sio mama mwenye nyumba yangu?? Ana nyumba za kupangisha,Ana Bars kadhaa,mwanaume wake Ana miaka 33,bi mkubwa anakaribia 50s,Ana wajukuu wawili,
Mwenye nyumba anapigwa,ananyanyaswa na kibenten,anadhalilishwa Hadi huruma,aliwahi kumuibia vitu vya ndani vyote,akatoroka after week akarudi kamsamehe,Mara ya mwisho months ago kampiga nusu ya kumuua,bi mkubwa kasema ITS OVER,akamfukuza ..
Last week anasema anamuonea huruma james Hana pa kukaa anadhurura,leo nimemuona James asubuhi kapitia geti la dharura..haha Maza karogwa au jamaa Ana d*ck Kama ya Podrick Payne
Atulize maumivu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] "a shoulder to put her legs on" for what? [emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuelewa sana mkuu sema mwenyewe kaomba ushauri hajui afanyaje amsahau huyo mtu wakeFocus na masuala yako mkuu, hao walipokutana hukuwepo, Leo hii uajitia mshauri mkuu, anyway umemshauri aachane na huyu bwana wake, wewe ndio utakuwa naye? Je wanapokuja kupatana tena aibu inakuwa kwa Nani?
😁😁acha hizo mkuuHuo muda mnakuaga wapi naye anakupa hizo habari