Nisaidieni kuzimua ubongo wa huyu mwanamke

Eh mama
mchungajii😂
 
Jamaa anamkojoza na demu inawezekan tangu aanze safari Yake ya mapenz hajawahi kukujozwa zaidi ya jamaa kwahiyo mambo yake mwachie mwenyewe.
Kweli aisee ila anadai eti jamaa ni rare species😁
 
Mpushi afanye kile ambacho nafsi yake inataka ili akakome. Mwambie amrudie mshikaji tena msaidie mbinu za kumrudia ili jamaa akamnyooshe vizuri. Baada ya hapo sasa mnaweza kuelewana.
Tayari keshajirudisha huko mkuu
 
Hakuna mwanamke mwenye misimamo kama ni hvyo ange move on kwa huyo jamaa mwingine! Tupia ndoano mkuu ila usiambulie patupu!
Wanawake wenye msimamo wapo mkuu na huyu ni mmoja wapo ila ingependeza huu msimamo aweke sehemu anapothaminiwa
 
Mlete kwangu Jidduuzz, nitamuweka sawa!
 


Mara nyingi ukimjulia mwanamke na ukamfikisha mbinguni na kurudi duniani, basi huyo anakufuata kama umemwekea sumaku, roho na moyo wake unakuwa umeshikilia, kuna makosa sana wanaume wanafanya hasa kutomfikisha mwanamke peponi, akifika na kurudi basi huyo wako wa milele amina..

Ila nikitazama kwa mbaliiii naona kama wewe kama unamtaka hivi, si ungechangamka haraka kumnasa roho na moyo wake, kama uko slow sana it looks
 
Mambo ya moyo ni kuombea tu busara ikuongoze.
Mpe muda na msikilize akija kutoa ya moyoni ipo siku atakaa sawa
 
Omba shoo, na umpige ya kibabe haswa; ukishindwa weka namba yake
 
Naamini siku jamaa akiomba nyuma ndo siku akili za dada zitafunguka,asingekubali na asingerudi tena kwa jamaa.Usiulize nimejuaje lakini mkuu
Kwani unazani huyo dada hajaliwa nyuma huyo? Huyo alishachimbuliwa kisamvu siku nyingi, lakini Bado tuu anamng'ang'ania jamaa, huyo dada ana matope kichwani, akili ndogo huyo hawezi mwacha huyo jamaa, mdada asha data na kuliwa mku.... Utamshauri nini Kwa mfano, mwisho wa siku dada wa watu anaweza jinyonga jamaa akimwacha Tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…