Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
- Thread starter
-
- #161
Nmekuelewa shukraniNdoa za nyakati hizi ni watu wawili waliokutana katikati mmoja alikuwa anaelekea mashariki mwingine magharibi, katika hali ya kawaida walipaswa kupishana lakini wakaamua waunganishe safari.
Sasa hawawezi kwenda magharibi na mashariki pamoja, lazima kuna mmoja wapo akubali kuhairisha safari yake na kuongeza nguvu kwenye safari ya mwenzake.
Wewe hii safari ya ndoto yako inaongeza nguvu kwenye safari ya ndoto ya mumeo mtarajiwa au inaigharimu safari yake?
Kuridhia, kukusaidia ushauri au fedha.Mwanaume anaweza kuchangia kipi kwenye kufikisha malengo Yangu?
Habari zenu,
Naomba kuuliza swali:
Hivi mdada aliye na malengo na ndoto za kutimiza maishani mwake je, akiolewa anaweza kuzitimiza ndoto zake au ndo milango itakuwa imefungwa mazima ya kufikia ndoto zake na kubadilishwa kuwa mke na mama wa watoto
Mbavu mbili haziingii kwenye mdomo mmoja, chagua kimoja kuolewa au kupambania ndotozako,Habari zenu,
Naomba kuuliza swali:
Hivi mdada aliye na malengo na ndoto za kutimiza maishani mwake je, akiolewa anaweza kuzitimiza ndoto zake au ndo milango itakuwa imefungwa mazima ya kufikia ndoto zake na kubadilishwa kuwa mke na mama wa
Familia ni conservative institute, ambayo kikawaida mwanamke anaolewa ili kushiriki kwenye kutimiza maono ya mwanaume. Maono ya mwanaume ndio yanatakiwa kuwa maono ya familia.Sio kweli, kila mtu anamalengo yake tofauti na kuoa au kuolewa , mwanaume mwenye busara husaidia mke wake kufikia malengo yake kama ambavyo mke mwenye busara anavyoweza kufanya tu🤔
Ndoto za binti yangu zije zikatishwe na kiazi mmoja 😅😅 hayo mambo yalishapitwa na wakati mkuu, ndio maana leo hii raisi wako ni mwanamke na unabaki kununa tu😄Familia ni conservative institute, ambayo kikawaida mwanamke anaolewa ili kushiriki kwenye kutimiza maono ya mwanaume. Maono ya mwanaume ndio yanatakiwa kuwa maono ya familia.
Moja ya sababu zinazofanya ndoa zisidumu ni hiki ulichokiandika wewe. Tumeifanya familia kuwa liberalism institute., hapa lazima taasisi ya ndoa itaanguka tu.
Mfume dume ndio perfect kwa maisha ya ndoa. Kama tumeamua kwemda kwenye hizi mambo za 50/50 sijui feminism basi lazima tukubaliane na ukweli kwamba ndoa ni taasisi ambayo ishapitwa na wakati
DuhNdoto za binti yangu zije zikatishwe na kiazi mmoja 😅😅 hayo mambo yalishapitwa na wakati mkuu, ndio maana leo hii raisi wako ni mwanamke na unabaki kununa tu😄
Nafikiri haujanielewa mkuu. Ni hivi ndoa ni taasisi ambayo imesukwa kwenda sambamba na mfumo dume. Maono ya mwanaume ndio maono ya familia.Ndoto za binti yangu zije zikatishwe na kiazi mmoja 😅😅 hayo mambo yalishapitwa na wakati mkuu, ndio maana leo hii raisi wako ni mwanamke na unabaki kununa tu😄
AsanteNafikiri haujanielewa mkuu. Ni hivi ndoa ni taasisi ambayo imesukwa kwenda sambamba na mfumo dume. Maono ya mwanaume ndio maono ya familia.
Kwaiyo lazima mwanamke achague kimoja kama anataka ndoa aachane na mambo ya 50/50 au feminism na kama anataka 50/50 aachanr na suala la ndoa
Uzuri ni kwamba kuoa/kuolewa sio lazima, kwaiyp mwanamke anaweza kuchagua kimoja. Abaki single kupambania ndoto zake au aolewe na kuwa mshirika kwenye ndoto za mwanaume.
Marriage is not for all women, if you think your daughter's dream is too big to sacrifice it for marriage then you can advice her to be single.
Ma ostaz ndio huwa na tabia hizo jichanganye tu.Hapo kuolewa nakuwa mke Kuna vitu sitavifanya nageuka kuwa wa ndani milele
Mkuu, sasa hivi mabinti zetu wana ndoto, ila kama tunataka jamii yenye amani, maadili na utulivu katika ndoa hizi ndoto zao ni lazima zisiwahamishe kwenye nafasi zao. Kama binti yako ni daktari, udaktari wake usimbadili akawa mwanaume, maana hili ndo tatizo lililopo. Wanawake wanageuka wanaume.Ndoto za binti yangu zije zikatishwe na kiazi mmoja 😅😅 hayo mambo yalishapitwa na wakati mkuu, ndio maana leo hii raisi wako ni mwanamke na unabaki kununa tu😄
Umetoa maelezo mazuri kabisa.💪Tulia Kwanza umri huo bado una mihemko mingi Sanaa..
Labda Kama una bahati mtu wako ni 40+yrs anaweza kukucontrol Kama wewe hutakuwa msumbufu..lakini Kama ni kijana mwenzio tulia utapoteana
Kuhusu kutimiza ndoto labda Kama ndoto gani maana Afrika kutimiza ndoto ni mlolongo mrefu saana.
Tatizo tukiwasaidia wake zetu kutimiza ndoto zao baadae hutugeuka na kusema sisi sio type zao na wanaanza kutembea na co-workers waoSio kweli, kila mtu anamalengo yake tofauti na kuoa au kuolewa , mwanaume mwenye busara husaidia mke wake kufikia malengo yake kama ambavyo mke mwenye busara anavyoweza kufanya tu🤔
Ukiona hivyo jua kulikua hakuna mapenzi zaidi ya njaa tuTatizo tukiwasaidia wake zetu kutimiza ndoto zao baadae hutugeuka na kusema sisi sio type zao na wanaanza kutembea na co-workers wao
Yanayomkuta nyani mzee huyu, mengine hayajamkuta nyani mzee yule..!! Hence, ambayo hayajamkuta ndo atakayojifunzaNyani Mzee humwambii kitu anajua kila kitu na mwili umejaa makovu kibao still bado anaishi akianza kukupa historia yake unaishiwa pozi
Marie curie ,leo hii ungekuta angechagua kupuuzia ndoto zake ,nishati ya nuclear na matibabu ya saratani kupitia mionzi ingekua ni ndoto🤔Unaolewa ili utimize ndoto ya kuwa mama kwa watoto wako, mke kwa mume wako na mlezi. Ndoto nyingine yoyote nje ya hapo ni UTAPELI KWA MUMEO NA JAMII.
Lolote ufanyalo linapaswa kulenga kutimiza hilo nililolisema, Bahati mbaya sana wanaume tumekuwa dhaifu kusimamia hili matokeo yake tumewaachia nyinyi mjiamulie ndoto zenu huku tukitegemea huruma na misimamo yenu ndo ilinde ndoa.
Naam. Waweza timiza ndoto zako ila zingine zaweza kuweka ndoa yako matatani.Habari zenu,
Naomba kuuliza swali:
Hivi mdada aliye na malengo na ndoto za kutimiza maishani mwake je, akiolewa anaweza kuzitimiza ndoto zake au ndo milango itakuwa imefungwa mazima ya kufikia ndoto zake na kubadilishwa kuwa mke na mama wa watoto
AsanteNaam. Waweza timiza ndoto zako ila zingine zaweza kuweka ndoa yako matatani.
Well, una point ila sasa hii ni kwa cluster ya binadamu wachache ambao wana upekee na hata mambo ya ndoa si ya maana au umuhimu kwao, upekee wao unawatenganisha na binadamu wengine, Sasa hawa watanganyika na nishati ya nuclear wapi na wapi? Kwamba asiolewe ili asiachane na ndoto ya kuvumbua nuclear? Huku ndoto za wengi ni usumbufu tu kwa jamii, kuolewa kunaondoa shida ya kutafuta mume uzeeni akiwa na watoto wasio na baba.Marie curie ,leo hii ungekuta angechagua kupuuzia ndoto zake ,nishati ya nuclear na matibabu ya saratani kupitia mionzi ingekua ni ndoto🤔