Carnivora
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,650
- 6,015
Mkuu mtoa tangazo, mimi bado hujanishawishi kwanini uliacha kazi yako ya ualimu. Hata kama ulikua unaishi chumba kimoja na sebule, mke na watoto 2 kwa jinsi ya kumuuguza mama na ugumu wa kulea familia.....ungekubali hata kulala chini mama alale kitandani ila kazi iendelee kuwepo.
Kwa sababu kuacha kazi huku una familia na una mgonjwa na wote wanakutegemea na hauna kazi hivi ulitarajia muishi vipi? Supposedly mama yako bado yuko hai....leo hii ungeishi vipi?
Kuna kitu kilikupa "JEURI" ya kuacha kazi au ULIFUKUZWA.
Tuambie ukweli.