Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,666
- 7,788
mwalimu kuja kufukuzwa sio rahisi kama mdau anavyotaka kutuaminisha.
kuna wadau walipiga mimba wanafunzi na wengine walidakwa wanawapiga pampu kabisa... waliyumbishwa kidogo tu na leo wapo kazini na wengine walimu wakuu kwa sasa.
kuna wajuba walichana pepa la std 7 wakaliuza, wakatiwa ndani na msonde akawatukana kwa kila tusi, lakini walikaa benchi miaka miwili Leo wapo mzigoni.
na kuna wana walitafuna pesa ya miradi ya serikali, wakahojiwa maswali makali sana na tiss, takukuru na kuswekwa lupango kama mwezi. lkn wajuba walikuwa wapole tu na hawakurudisha hata chenji na Leo wapo kazini!??
wewe kuuguza mama, ungemleta kwako na Hm wako akaja kumuona nakwambia ungemuuguza milele na madaraja unapanda, unaitwa semina na kazi maalumu zingine lakin class huingii.
hadi jana 19.03.2022 hadi Uhuru hakuna mwalimu alifukuzwa kwa kuonewa.... hata aliyekuwa na makosa makubwa alikuwa pia na kiburi sana tena sana.
NB: ualimu ni kazi ambayo una uhakika wa kusitaafu bila onyo.