n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Takbirrrr. Wajinga wengi ndio mitaji ya hawa waabudu mashetani. Kukosa maarifa ya neno la Mungu hupelekea maangamizi makubwa sana.Kanisa limevamiwa. Siku hizi hata ukiwa shoga lakini ukijiita nabii basi ushoga wako ni ruksa
Kama ni nondo Huyu nabii anazo kweli kweli, chakula kigumu haswa
Prophet Lovy karibu nyumbani watoto wa Mungu tunakupenda sana.
naona ana dreads.... ngoja waje walokole pro max watie neno
View attachment 2835044
Passion Java, boss wa Next level music ya rayvanny ni moja wapo wa charlatan mkubwa. Manabii wa uongo hawa watakokota wengi sana. Mashetani nayo hutenda miujiza wajameniHuyu passion si juzi hapa alikuwa DJ kwenye klabu akivaa nguzo za kike , Leo amerudi kuwa nabii.
Sina tatizo na past yake,tunaokolewa Kwa Neema!Kama ni nondo Huyu nabii anazo kweli kweli, chakula kigumu haswa
Prophet Lovy karibu nyumbani watoto wa Mungu tunakupenda sana.
Ukimjaji muonekano utachoka, Kazaliwa kwenye familia ya wanamusiki.
Duh,kumbe 🤔Passion Java, boss wa Next level music ya rayvanny ni moja wapo wa charlatan mkubwa. Manabii wa uongo hawa watakokota wengi sana. Mashetani nayo hutenda miujiza wajameni
Hata Samson alikuwa rasta
Yahweh anapenda dreads hapendi?
Siku hizi kanisa limevamiwa na wahuni na mbwa mwitu wakali wenye kuvaa ngozi za kondoo. Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa Hosea 4 :6, wajinga ndio waliwao.Sina tatizo na past yake,tunaokolewa Kwa Neema!
Sasa kwann kaungana na Java?
Java simuelewi jmn,na clear wake
Yesu anirehemu tu.
Ila imeandikwa ,injili itahubiriwa hata Kwa unafiki.....
Duh
Marekani huyo shati na vitenge wapi na wapi mkuu🤣
Takbirrrr. Wajinga wengi ndio mitaji ya hawa waabudu mashetani. Kukosa maarifa ya neno la Mungu hupelekea maangamizi makubwa sana.
Hawa manabii na mitume mashoga yanafuata nini huku?. My people are destroyed by the lack of knowledge Hosea 4 :6Kama ni nondo Huyu nabii anazo kweli kweli, chakula kigumu haswa
Prophet Lovy karibu nyumbani watoto wa Mungu tunakupenda sana.
Passion Java, boss wa Next level music ya rayvanny ni moja wapo wa charlatan mkubwa. Manabii wa uongo hawa watakokota wengi sana. Mashetani nayo hutenda miujiza wajameni
Hawa wahuni, huwa wanaandaliwa hao wadada kwa ajili ya kuchakatwa as ritual. Kanisa limevamiwa na wahuni watupu.Mie sina shida na dread zake, mapokezi ya wale wadada watatu ilikuwa balaa Kwa min skirt matata sana walikuwa wamevaa
Mbona Deffence nyingi sana hadi ana loose focus
Hawa manabii na mitume mashoga yanafuata nini huku?. My people are destroyed by the lack of knowledge Hosea 4 :6
Wamealikwa na MalisaNimeshangaa Sana sijui aliyewaalika ni nani? Huyu Passion Java juzi tu hapa alikuwa crossdresser na kupiga mziki kwenye klabu za usiku. Leo kaja Kama Nabii. Tanzania tusiwe watu wakupokea kila uchafu, tuwe waaangalifu.
And who the hell is this? Is it another Mwamposa?Kama ni nondo Huyu nabii anazo kweli kweli, chakula kigumu haswa
Prophet Lovy karibu nyumbani watoto wa Mungu tunakupenda sana.