Hauwi nabii kwa kile unachokiongea jukwaani, unakuwa nabii kwa maisha uliyoyaishi na baada ya kufa wale waliyoyashuhudia maisha yako ndio wanaweza wakasema ya kwamba kweli wewe ulikuwa nabii.
Lakini hizi trakatraka mnazoziita nabii zinawapiga hela tu afu zinaingia mitini, hivi tangu hawa manabii waanze kuja mtu hujajifunza kitu tu, let say umeanza kuwafuatilia 2010 mpaka leo umeshabadilisha manabii wangapi.
Nguvu za kuchukua kwa kalumanzila huwa zinaexpire, usijifihe kwenye kulijua neno la Mungu mtu yeyote anayejua kusoma anatakiwa ajitafutie maarifa, sasa wewe unaweza kusoma biblia afu bado unategemea nabii aje akufundishe, ungekuwa hujui kusoma sawa.
Nabii my foot