Niseme tu namkubali sana Prophet Lovy Elias (Tarehe 08/12/2023 sio ya kukosa)

Wamekuja kufanya biashara zile za upande wa pili (kama sio madawa ni human trafficking) kwa njia za kuhubiri Injili.. nimewapa code ila watanzania wengi ni mataputapu kichwani..
 
Promo za kipuuzi zimejaa sasa, mabango ya kitapeli mmeyajaza kila Kona dar, mapicha picha ya ku edit, na marangi! Mapicha ya watu wasiojulikana, eti wameponyeshwa!
Kwanini usiende ocean load, ukaponyesha wangonjwa wote wenye shida! Kisingizio Chao utasikia, "kama, hawatapona, hawana Imani Hao"
Ukiangalia picha za Hao"watumishi"kwanza, unawapa, kesi, unajiuliza wametokea wapi? CV Yao kwenye kqzi, ya, Mungu, ilianzia wapi! Au ndio mbinu za kutafuta maokoto maisha yaende!
Kuna watu kama Mwakasege, Moses klora, John hagee,TD Jakes, Myles Munroe! Joyce Meyer nk,wanajulikana mwanzo wao, sasa nyie wauza sura mnaibuka tu Leo, Tamasha Hilo! Mkusanye sadaka, mmetokea wapi, before now!
 
Kama ni nondo Huyu nabii anazo kweli kweli, chakula kigumu haswa

Prophet Lovy karibu nyumbani watoto wa Mungu tunakupenda sana.
Brother!
Watanzania wengi wanaowaponda manabii hawa;Passion Java na Papa Lovy Elias Longomba hawafuatilii mafundisho yao kwa kina wanaangalia tu muonekano.
 
Anakupa nondo gani zaidi yakusimulia hadithi zilizoandikwa Kwenye bibliaa mkuu.

Wajinga ndio waliwao..
Mkuu huenda huelewi ulichokiandika, Biblia hauijawahi na wala haitotokea kuwa kitabu cha hadithi.
Biblia ni maisha, ni neno hai lenye pumzi ya Mungu
 
Brother!
Watanzania wengi wanaowaponda manabii hawa;Passion Java na Papa Lovy Elias Longomba hawafuatilii mafundisho yao kwa kina wanaangalia tu muonekano.
we waache na ujinga wao watakua kama watoto waliodhihaki kipala cha Nabii Elisha unajua nn kiliwatokea ?
 
sjawai kumskliza ila nilshangaa kumuona kwenye picha sku wanashuka airport akiw kachora tatoo
Wabongo wengi tunaangalia mambo juu juu sana yaani kama ni vitabu sisi rangi ya jalada tu inatutosha kusema chochote tusichokijua juu ya kitamu kama tumekisoma hivi...uvivu wa kufuatilia mambo na ugumu wa kuingiza maarifa mapya ni zaidi ya janga....
 
Mkongomani ila alihamia Marekani ndio akawa nabii. Alikuwa anaishia Kenya na kuimba muziki, Kama wimbo mmoja ulikuwa inaitwa funguo.
Baba ni Mkongo, Mama ni Mkenya, kakulia Kenya kwa Mama ake, Baba ake alifariki zamani, Baba ake alikua Kaka wa Awilo longomba, Awilo ni Baba ake mdogo, alikua na Kaka yake, ambaye ndo alikua na kipaji kikubwa cha Muziki kuliko Lovy....!

Nadhani alishafariki.
 

Yeah alifariki kwa kansa.
 

Yani watu wanazidi kuwa wajinga, wakati vyuo vikuu vimejaa.
 
ndugu yangu hata mimi Malisa sijawahi kumfatilia lakini Kwa Lovy Namuamini sana

Unamuamini Lovy? Shida inaanzia hapo. Baadala ya kumwamini Yesu Kristo unamuamini Lovy, ndio maana hata madhaifu yake huyaoni kisa unamuamini. Hata Makenzie akiaminiwa na waumini wake mwishi wa siku akawatupa.
 
Yupo deep in scripture lakini kwa context ya USA sio Tanzania. Ila nadhani kila mtu ahubiriwe na "manabii" wake otherwise wataleta chaos sio kwa sababu sio true preachers ila hawako compatible na mazingira yetu.

Hakuna Cha context Wala nini. Huwezi ukatetea ushoga kisa marekani wanakubali ukasema Kuna context ya Marekani. Tuache uongo. Dhambi ni dhambi hakuna Cha marekani wa la Tanzania.
 
Hata Yesu walimwambia hana akili na anapepo.
Muonekano wa Mtu usikuchanye Kama wewe kwako vazi la heshima ni suruali na sharti. kuna wengine kwao vazi la heshima ni ngozi kufunika chini tu.

Acha kumlinganisha Yesu Kristo na Hawa wahuni. Huyo Java si alikuwa anavaa kishoga mpaka nywele anasuka. Ndii umlinganishe na Yesu Kristo. Be serious. Mtu kavaa kipini, kasuka rasta unasema tusimuangalie muonekano, acheni utapeli. Mtumishi lazima afanane kitumishi sio kihuni na kishoga.
 

Aiseeh! Biblia ilisema mna macho ila hamuoni ndio nyie. Endeleeni na kujifanya wajinga wakati mna akili timamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…