Nishauri chochote niache kuyaogopa maisha

Kinachokufanya unaumwasana ni hofu kunawakat kubaliana na hali halisi
Huwa kuna kushuka kinga mwili hasa unapokuwa stress maintain stress acha kuwaza kilakitu ona kawaida
Ushawah wafikiria wanaogua kansa ya utumbo wengine koo imagine maumivu Yao?
Shangazi km nakuelewa hiviii!! [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Pole sana kwa kilichokutokea, nina uwezo wa kukutoa kwenye hiyo hali ukarudi kawaida nikiwa na muda nitarudi hapa kukuweka sawa. Jambo dogo sana hilo wala usiwaze
 
Binti kisauti
 
nkoge
 
Pole jirani, utakuwa sawa ma.
Omba kwa imani yako, kamwe usijikatie tamaa.
Na kingine ungeendelea kutafuta wataalamu wa afya wakusaidie.
 
Amen
 
Asante kwa ushauri mzuri rafiki
 
Polee sana Dear! Usijari utakua sawa na utaendeleza ndoto zako pale ulipoishia, usikate tamaa nafasi bado unayo ktk uhai na utimilifu.

Kuumwa ni kawaida kwa mwanadamu, ugua poleeee!! Ningekua huko ningekuja kukusabahi.
Asante best,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…