Nishaurini accomodation cheapest New York city naenda mwezi wa nane mwaka huu 2023 kwa siku mbili tatu tu

Nishaurini accomodation cheapest New York city naenda mwezi wa nane mwaka huu 2023 kwa siku mbili tatu tu

naleta ligi coz umekuja kichwa kichwa alaf mi ni mtoto WA mjini. Matutusa kaa nyie nawapeleka puta kitutusatusa hivyo hivyo mpk akili ziwakae sawa.
Wewe ni wa hapahapa... hiyo USA labda USA river Arusha. Acha kujitutumua kifala.
 
Daah yaani mtu unaenda USA usijue utafikia wapi ndio maana mnaleta mazingira magumu ya wengine kupata Visa aisee...
Elewa mtu anayeenda Ku visit na anaongeza mapato ya ile nchi aendayo. Na kama unaenda Ku visit na kutalii Tu na kuondoka hakuna nchi itakua na shida na wewe.
Mi sio mzamiaji kama unavyodhani wewe.
 
Hichi kingereza mnachoiga kwenye eonii the resemblance to stupidity is uncanny
hiyo "resemblance to stupidity is uncanny" umegundua wewe mgunduzi mahiri?! We hujaiga hapo? Baasi props to you mgunduzi wa "resemblance to stupidity is uncanny"
 
Hapana, ukienda kwa njia ya Tabligh unakuwa na full backup ya documetation za kisheria. Tabligh ni walingania dini, ni makubaliano ya Kimataifa, madi wawe wapo kihalali. Tanzania wapo branch yao na USA wapo.
Marekani haina makubaliano yoyote na magaidi, usilishe watu matango pori.
 
Hii ndio Swali Moja Majibu Mia Moja....,; Kweli Bongo Maneno Mingi.....

Ushauri kwa mdau jaribu kuwasiliana na Google....; Au kama vipi uliza humu kama kuna Wabongo karibu unapofikia huenda hivyo vijisenti vikawasaidia na ukapata mwenyeji (kama wataridhia)
 
Anafurahisha genge tu, hakuna msafiri hapo.

Utapata vipi viza bila address utakayofikia?

Ulipataje invitation? Let's assume ni hotel booking, mtu wa level hizo hawezi kuja JF kuuuliza cheapest accommodation.

Chinese proverb inasema if you can't make then fake it.

Kijana anafake kujipa amani ya moyo.
Mkuu hii ID yako ni ya muda Sana nimekua nikiona hapa JF na ni moja ya ID naziheshimu Sana.
Ila kumbe na wewe ni mtu flani sometimes. Didn't expect this from you. That's way too low buddy.
JF ina watu wa kila aina na since it's a platform inaficha ID ya mtu ni sehemu hata watu wa kubwa wanaingia kuuliza mambo ya kipuuzi maana wanajua ni uhakika hawatajulikana.

Nikuulize kwa akili zako hivi mtu hawezi aka book hotel wakati WA interview na Ile hotel sio Lazima ulipie kwa mda huo ni just to have accomodation confirmation then later a opt for a cheaper one and disregard the one aliyo book before??!!

Again ...hivi mtu hawezi mtafta mtu amualike kwake huko USA just to tick the boxes but lator anajua ataenda kwengine
......
....
...So many ways zipo hapo I repeat...the one I used I can't reveal it hapa kwa forum and it's none of the above two.

Go figure out ....change your mentality too.
 
Hii ndio Swali Moja Majibu Mia Moja....,; Kweli Bongo Maneno Mingi.....

Ushauri kwa mdau jaribu kuwasiliana na Google....; Au kama vipi uliza humu kama kuna Wabongo karibu unapofikia huenda hivyo vijisenti vikawasaidia na ukapata mwenyeji (kama wataridhia)
Safi ushauri mzuri. Asante.
Hao wabongo ngoja tuone km watajitokeza
 
Sema vijana wa siku hizi unaweza kushangaa ni kweli maana vitu vingine anaweza kupata msaada wa Kanisa...au msaada kwenye Tuta harafu hajui aanzie wapi...
Humu ndani ujuaji mwingi balaa. Sasa nisaidiwe na kabisa au msikiti kwani mi sijiwezi. Km ni easy baasi nenda kanisani au msikitini kwenu kawaambie wakutaftie visa
 
Back
Top Bottom