Nisikilizwe nishauriwe ukweli mtupu nisije kujuta maisha yangu yote

Tumekaa miezi 7 tu na kutaka kuja home ni ye ye huwa anataka ila Mimi nilikuwa bado sijakubali
 
Pole sana, umeolewa na mume wa mtu bila kujua ni mume wa mtu sio! Pole sana.

Ni wakati wa wewe kukubaliana na hali, na kufanya maamuz ambayo utaishi kwa amani. Husifanye maamuzi kwa hisia ukaja kujudia baadaye.
 
Mwanamke anamwacha Mume wake kwa kisingizio kwamba Ameoa Mke Mwingine, cha ajabu anaenda kudanga na yeye na Waume watu wenye wake zao na mademu kibao. Hapa ndio ujue Mke amemuacha sio sababu ya wewe umeo Bali huyo ni Malaya tu
 
Pole sana, umeolewa na mume wa mtu bila kujua ni mume wa mtu sio! Pole sana.

Ni wakati wa wewe kukubaliana na hali, na kufanya maamuz ambayo utaishi kwa amani. Husifanye maamuzi kwa hisia ukaja kujudia baadaye.
Na utakut anamwacha huyo Tajiri anaenda kudanga na Waume za watu, ambao Wana wake zao na michepuko juu.

Sasa unaona anakimbia Mkojo anaangalia mavi kabisa
 
Kama unatafuta "ukweli mchungu", basi ni huu:
  • Usibaki kwa sababu tu amekufungulia biashara au anakuhudumia vizuri. Hayo ni mambo ya kuzingatia, lakini yasikufanye uvumilie uhusiano ambao msingi wake ulianza kwa udanganyifu.
  • Jiulize kama ungekuwa umejua siku ya kwanza kwamba ana miaka 35, ana mke na watoto, ungeingia kwenye uhusiano huo? Kama jibu ni hapana, hiyo ni ishara muhimu.
  • Mitala ni chaguo ambalo baadhi ya watu hulikubali kwa misingi ya mila au imani zao. Lakini si lazima nawe ukubali. Una haki ya kusema, "Sikuwa nimekubali kuwa mke wa pili."
 
Yes mkuu, sio lazima akubali kuwa mke wa pili. Wanaokubali mitara wakubali, asiekubali asilazimishwe. Ndoa ni jambo la hiari.
 
Ila huyo jamaa kamdanganya vitu vingi sana, mtu kusema miaka 27 wakati ana 35 hata macho huoni?

Sema Mshikaji alikuwa Msukuma na kama Demu ana Rangi nyeupe basi alimpaghai kwa pesa na simu nzuri nzuri hapa hakuna Mwanamke anachomokaga
 
Mkuu, tatizo hapa si kuwa jamaa alikuwa Msukuma, bali ni kwamba alidanganya kuhusu umri, ndoa yake na mambo mengine muhimu. Hilo linaweza kufanywa na mtu wa kabila lolote. Pia si sahihi kusema hakuna mwanamke "anachomoka" kwa pesa au mali; kila mtu ana sababu na maamuzi yake. Nafikiri tukosoe udanganyifu na ukosefu wa uaminifu, si kuwahukumu watu kwa misingi ya kabila au jinsia.

cc ShesRise_1 kwa taarifa
 
Mbona siku hizi unaongea madini sana πŸ™„
 
kadogo2 mapenzi yanamtesa na nyuzi zake za uongo na kweli πŸ™Œ

Mungu akusaidie kwa magumu yote unayopitia sababu ya mapenzi,ukapate atakayekuwa mkweli na atulie na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…