Ww kweli huna akili timamu na ndio mana huyo msukuma alikugeuza kitombeo mana huna akili za kuwa mke.Sasa Kuna ex wangu nili soma nae shule tukaachana zamani hiyo kwasababu za umbali amerudi anataka kunioa nawaza nimuache tu huyu nirudi kwa ex au nikae nae tu hivyohivyo
Mshukuru Mungu kakupa weww akili timamu akaninyima mimi sawq mkuuWw kweli huna akili timamu na ndio mana huyo msukuma alikugeuza kitombeo mana huna akili za kuwa mke.
Namuonea huruma sana huyo X utakayekwenda kumbebesha hilo shimo hapo katikati ya mapaja, na asioifit kwenye hilo shimo utamlaumu hana nguvu za kiume.
Weka humu ποΈ
Kazini kuna kaziHabari za muda humu
Nitasema ukweli Kama Kuna hukumu Basi nihukumiwe wote tunakosea Hakuna mkamilifu
Nachoitaji ni ukweli mchungu hata kama utaniuma ni sawa ilimradi nisiharibu maisha yangu maana Naona kama shetani amedhamiria kuniharibia maisha
Nimeshaleta story ya Kijana wangu wa kisukuma humu mkanishauri nikashupataza shingo
Huyu mwanaume tuna miaka 3 sasa tangu 2024 na Nina miezi 7 toka nianze kuishi nae..Tulikutana nikiwa na 24 yeye aliniambia ana 27( alinidanganya now ana 35)
Amenitoa nyumbani kwetu kanipeleka mkoa anaoishi yeye(kanda ya ziwa) ndugu zangu wanajua Niko nafanya kazi kumbe nimewekwa kinyumba na msukuma
Amenifungulia Biashara ninayoiendesha mwenyewe kwani aliniambia nitafute wazo la Biashara yeye ataniwezesha ametimiza inaendelea vizuri na yeye hausiki na chochote kwenye hiyo Biashara na ananihudumia vizuri
Changamoto
Tulikuwa na ugomvi mzito tangu mwezi wa 6 baada ya kugundua ana mke (amemlipia mahari wamezaa watoto wawili kwa msukuma ukishalipiwa mahari ni mke tayari)
Ukweli nimeumia sana maana sikutegemea Kama ningekutana na kitu Kama hiki
Lakini mwenzangu yuko kawaida kabisa Kama Hakuna kilichotokea anasema ni kawaida kwao kuoa mitala nitulie Mimi ndio mke mdogo yule atabaki kwenye nafasi yake Kama mke mkubwa na Hakuna anaeachwa
Hii hali inaniumiza Kila nikifikiri mekuaje nimejiingiza humo
Halafu yeye hajali yaani kama Hakuna kilichotokea
Sasa Kuna ex wangu nili soma nae shule tukaachana zamani hiyo kwasababu za umbali amerudi anataka kunioa nawaza nimuache tu huyu nirudi kwa ex au nikae nae tu hivyohivyo
Nishauriwe jamani msianze kunichamba na maneno ya kejeri π₯Ίπ₯Ί
Utaendelea kulombwa tuu mana huna akili.Mshukuru Mungu kakupa weww akili timamu akaninyima mimi sawq mkuu
Sawa kaka hakuna shida ni mimi ninaelombwa si ndio au???Utaendelea kulombwa tuu mana huna akili.
Yupo mzee mmoja wa Kisukuma kule Mpanda mhhhh! Anakwambia tu kaniletee nyayo na nywele basi. Halafu anachukuliwa kuku au mbuzi anazikwa mzima mzima bila kuchinjwa. Aisee! Hata kama mtu alikununulia chupi utairudisha na msamaha utauomba maana asipokusamehe ni kazi bure.Ktk watu ambao hawana utani na Mali zao ni wasukuma hata kikombe alichonunua utakirudisha tu
Asante kwa ushauri.. msukuma nampenda mno kumuacha imekua ngumu ila naendelea kujaribuYupo mzee mmoja wa Kisukuma kule Mpanda mhhhh! Anakwambia tu kaniletee nyayo na nywele basi. Halafu anachukuliwa kuku au mbuzi anazikwa mzima mzima bila kuchinjwa. Aisee! Hata kama mtu alikununulia chupi utairudisha na msamaha utauomba maana asipokusamehe ni kazi bure.
Kuna celebrity uchwara mmoja alijengewa mjengo wa kuaminika na ngosha mmoja kule Mwanza kumbe lengo lake ilikuwa amtapeli apate nyumba auze arudi kwa kivulana chake Dar. Zali linaanza wanunuzi wakija kuangalia nyumba haionekani. Ikionekana wakiingia ndani viboko vinatembea. Binti alinyosha mikono akarudisha nyumba na kila kitu, akaomba na msamaha huyoo akarudi zake Dar. Ajabu pamoja na uzuri wake hajawahi kuolewa mpaka leo anavuka 45!
Usimtendee ubaya huyo ngosha. Ongea naye tu vizuri na kama ni mwelewa atakuachilia. Ukijifanya kumdhulumu huo mtaji kama ana roho mbaya na ni mtu wa visasi aisee mtafikishana pabaya. Kimsingi yeye ndiye amekukosea na naamini atakuelewa tu.
...and then take this. Hata huyo ex wako hatakuoa huyo. Naye anataka akakutindue tu halafu alale mbele. Nakushauri ukiondoka kwa huyo ngosha take a break. Jipe hata mwaka mmoja utulie tu bila kuwa na mwanaume ili ujaribu kurudi sawa kimwili, kihisia na kisaikolojia. Baada ya hapo kama huyu ex wako kweli ni muoaji mwambie aanze process. Yeye anakufahamu tayari na hana sababu ya kuanza kukutomba tena eti baadaye ndiyo aje akuoe. Ukitoka hapo kwa ngosha please tulia kwanza. Huyo ex mwambie moja kwa moja aende kwa wazazi akatoe mahari na process za ndoa zianze. Ukimruhusu tu aanze kukufak aisee hakuna ndoa hapo. At 24 you are at your prime na ukikosea hapo huko mbele unaweza ukaishia kujuta kama ndoa ni ya muhimu sana katika fomyula ya mafanikio yako maishani!
Mida ya jioni kabisa hiiSawa lakini sasa ninaenda miaka 27 ikifika October
πMida ya jioni kabisa hii
SawaDemu mmempa ushauri wa kipuuzi sana eti bado mtoto anakubali vipi kuolewa uke wenza, guys kwahiyo atakaa na udogo huo hatozeeka ee na huko akienda kwa ex wake akapigwa tukio akimbie kisa mdogo ee, binti kama mmeo anakupenda na ww una mpenda kaa tulia tengeneza maisha basi
Ni geminiSawa Ila Kama chartgpt maana alinijibu hivi π€£π€£π€£
πππNi gemini
Yeye mwenyewe ndo anakuloga..kuna sehemu niliona mtu alikula hela za msukuma mmoja na huyo baba alimpenda msichana sana...so alipoamua kumuacha mbona alikoma alimtafuta huyo mtu hakumuona na tatizo lake likiwa linazidi yy sasa alipata mp mfululizo...Sawa japo mke wake ni wa kaskazini
Huyo Ex sio muoajiMfilisi kwanza huyo msukuma halafu nenda kaolewe na ex wako.
Heee kumbe na wanaume wanaroga wanawake mmh Hii hatari sasaYeye mwenyewe ndo anakuloga..kuna sehemu niliona mtu alikula hela za msukuma mmoja na huyo baba alimpenda msichana sana...so alipoamua kumuacha mbona alikoma alimtafuta huyo mtu hakumuona na tatizo lake likiwa linazidi yy sasa alipata mp mfululizo...
Duuh kwaiyo wasukuma wenyewe ndio hawajui vyooEx atachapa, atagalagaza,atakulaa vilivyo ataacha.
Haupo kwenye plan zake asee!
Komaa na msukuma wako tu asee.
Ila vipi msukuma wako anajua Matumizi sahihi ya vyoo au kama hawa tu pichani?View attachment 3645397
Tunajifariji na hela sijui tukiwa nazo tu move on but mwanamke bila mwanaume haitoshiWanawake tafuteni hela zenu ili muweze kujiondoa kwenye situations msizozipenda! Ungekuwa una kazi yako au biashara yako mwenyewe wala usingekuja kuomba ushauri humu! Pole!