Wanawake wengine hawawezi kukaa bila mwanaume, mleta mada ni mmojawapo.Unataka Kutoka kwa bwana kuhamia kwa bwana mwingine, binti wa miaka 24 huna mambo yako binafsi yakufanya?
Mpaka hapo hakuna kitu chochote ulichojifunza.
Ningekuelewa ungeondoka na vitu vya hilo duka , uhamishie sehemu nyingine uendelee kupambana utakutana na mtu mwingine ukiwa umetuliza akili.
Sina mtotoNikeshakujua na huyo jamaa namjua πππ
Lakini huyo msukuma si alikukuta una mtoto tayari?
Hiyo miaka 3 iliyobaki, itumie vizuri kupata mtu sahihi kama mimiNi kweli miaka 27 sasa
Nivumilie niniPole sana. Vumilia
Sio tajiri anajitafuta bado japo sio habaUlikutana na Tajiri la Katoro, tulia pesa zake si ulikula?
Ex anamaisha yake na kazi nzuri tu ila simpendiAkienda kwa ex na hivyo vi chenchi vya msukuma na yeye atafilisiwa.
Nishajua unakoelekea πunataka nisemeje
We ni wangu wa kufa na kuzikanaNishajua unakoelekea π
Daah nimesema kipindi nakutana nae nilikuwa na 24 inamaana ni miaka 3 imepita sasa ni 27Ila wanawake wa siku hizi, 24 yrs tayari Una Mabwana wawili? Na unataka kurudi kule uliko kuacha Kijana? Kama hapo hapo hata huyo Kijana X wako anataka kukutindua Tu akutupe kule aulize maumivu uliyompa ila ataoa Mwingine.
πππ unaona sasaKtk watu ambao hawana utani na Mali zao ni wasukuma hata kikombe alichonunua utakirudisha tu
Ukweli ni kuwa ex simpendi ni vile tu nataka sehemu nikae.. Msukuma nampenda sana Sana sanaLife haitabiliki inatakiwa wewe utulie ufanye maamuzi ambayo utaona sahihi kwako na huta yajutia kama unampenda msukukua kaanaye tu mbona kwao kuoa wake wawili ni kawaida na hata kama mke wake akijua hatafanya kitu kama ni msukuma mwenye maadili
Na kama unaenda kwa ex wako achana naye kwa amani na mwachie kila kilicho chake hii itakufanya ukaishi kwa amani na ex wako wasikudanganye ety mfilisi then utenane naye ubaya ni akiba
Hapo kwenye kumuachia kila kilicho chake ndio kuna utata. Huyo msukuma angekua masikini mbona bi dada angeshasepa bila hata kuagaLife haitabiliki inatakiwa wewe utulie ufanye maamuzi ambayo utaona sahihi kwako na huta yajutia kama unampenda msukukua kaanaye tu mbona kwao kuoa wake wawili ni kawaida na hata kama mke wake akijua hatafanya kitu kama ni msukuma mwenye maadili
Na kama unaenda kwa ex wako achana naye kwa amani na mwachie kila kilicho chake hii itakufanya ukaishi kwa amani na ex wako wasikudanganye ety mfilisi then utenane naye ubaya ni akiba
Sasa nikukute πWe ni wangu wa kufa na kuzikana
Ex ndio kwanza ajira mpya ana mwakaNilidhani unawaza zaidi biashara kuliko huyo Mzee.
Biashara unayo una shida gani Tena?
Huyo x anayo Hela?
Asije akakuponza.
Huyo mke mwingine asikutishe wala nini
Hayo mengine tumuachie muumbaSasa nikukute π
Baki kwa huyo 1 wako.Ex ndio kwanza ajira mpya ana mwaka
Mke wake simjui ila nishaanza kumuogopa sijui kabila gani asije nitupia kajini
Ninaempenda ana mke ndipo ninapotamani lakini nimeleta humu ili pia nipate ushauri wakati mwingine kuchagua njia yako unaweza kupotokaUnajua kabisa unampenda nani na unataka kuwa naye, na unajua pia maslahi yako wapi, acha kujidanganya, tumia akili kidogo, acha hizo emotions za kitoto
Mmmh yeye ananipenda au ananitumia tuBaki kwa huyo 1 wako.
Mpende na umheshimu
X mara Moja Moja sio mbaya π
Kujipoozea machungu
ππππ ni kweli kwanini niteseke kwa mtu mwenye mke Halafu hana helaHapo kwenye kumuachia kila kilicho chake ndio kuna utata. Huyo msukuma angekua masikini mbona bi dada angeshasepa bila hata kuaga
Kwaiyo ningekuwa Nina 30 ungesema nibaki nae???Hiyo miaka 3 iliyobaki, itumie vizuri kupata mtu sahihi kama mimi