Nisipowaambia ukweli nitahukumiwa siku ya mwisho. Haya ni machukizo kwa Mungu

Yesu Kristo ambaye ndiye NENO la Mungu alituachia injili na Roho Mtakatifu kutuongoza safari ya Mbinguni.

Mambo yafuatayo ni machukizo mbele za Mungu
  1. Bikira Maria kws sababu hakuna maandiko yanayosapoti ibada ya kupitia Maria ili kumfikia Yesu au Mungu
  2. Ibada ya Sanamu. Yapo makanisa yamesimika sanamu kwenye makanisa hayo na watu wsnapiga goti kuomba rehema kupitia sanamu hizo wskiamini wapo salama
  3. Sanda, Yesu alituachia Imani na siyo historia hizi zilizopikwa na shetani na kulikabidhi kanisa lieneze uongo na kuwapoteza wengi
  4. Holly grail. Kikombe cha karamu ya mwisho. No such a thing
  5. Kubatiza watoto. Watoto wsnabarikiwa na wakubwa wanabatizwa baada ya kumkiri Yesu kama Bwana na Mwokozi wake. Mtoto anazaliwa huru hadi atakapoamua kuongoka kumfuata Yesu ndo anafanyika kuwa mkristo na mwanafunzi wa Yesu.
  6. Ibada za ndoa. Jambo hili limewekwa na kanisa kudhibiti waumini. Ndoa Takatifu ni pale ambapo mtu mume akishamaliza taratibu za kumposa mwanamke na hapo wanakuwa tayari wanandoa. Kuwaita watumishi wa Mungu kuombea ndoa ni jambo jema lakini watumishi hao wa Mungu kujitwalia mamlaka ya kufunga na kuvunja ndoa ni kukufuru agizo la Mungu kwenye eneo hilo
  7. Ibada za mazishi. Imenenwa kuwa kufa ni mara moja na baada ya kifo ni Hukumu. Hata Yesu hakufanyiwa ibada ya maziko. Hakuna sala wala tendo lolote linaloweza kubadilisha hatima ya mtu baada ya kifo chake. Jambo pekee liwezekanalo ni kumfufua endapo itampendeza Mungu. Kufanyiwa ibada baada ya kufa ni makufuru mbele za Mungu.
  8. Mungu kuchanganywa na Kaisari. Yesu alisema hauwezi kutumikia mabwana wawili ambapo utampenda mmoja na mwingine utamchukia. Huwezi kumpenda Mungu kisha ukaipenda fedha. Fedha ni mamlaka ya kidunia na watumishi wote walioingia kwenye mamlaka za dunia huku wakiwa na kofia zao za utumishi wana nafasi yao motoni kwa sababu wamekaidi injili na kushiriki karamu za kinyama na uharibifu.
Marko 16: 15-16
Basi enendenj mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka, asiyeamini atahukumiwa

Mwenye kuongeza neno la uvuvio aongezee yanayotukumbusha utume na agizo la Yesu Bwana wetu
Hapo namba 7 unapswa kujua lengo la Ile ibada ni kuwakumbusha walio hai na wao wapo safarini wasijisahau kutenda yaliyo mema hivyo huwalenga wao na sio Marehemu.
 
Hakika wala siyo jambo la kulazimisha sana kuamini ninachokiamini lakini umesikia na imeshafanyika ushuhuda kwsko.

Roho wa Mungu akuongoze vyema
Mbona una hitimisha kwamba "ushuhuda umeshafanyika kwangu"?

Ushuhuda upi na gani?
 
Imani = Kuamini kitu fulani kwamba ni ukweli hata kama sio kweli...

Alafu anakuja mtu anasema unachoamini wewe sio kweli bali ninachoamini mimi ndio kweli wakati zote ni Imani.

Hii haina tofauti na wale walioita mababu zetu ni wapuuzi / wapumbavu na kile walichokuwa wakikiamini tangia enzi za mababu zao ni upuuzi mtupu....

To each his/her own...
 
Hapo namba 7 unapswa kujua lengo la Ile ibada ni kuwakumbusha walio hai na wao wapo safarini wasijisahau kutenda yaliyo mema hivyo huwalenga wao na sio Marehemu.
Mathayo 8:22
Lakini Yesu akamwambia, Nifuate; waache wafu wazike wafu wao.

Waebrania 9:27
Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu;
 
Najua wapo watakaokuja kupinga hasa hilo la kwanza. Mapokeo ni kati ya kitu kitakachowafikisha wengi motoni. Shetani anaijua biblia haswa na ndo maana akaingiza mapokeo yake ili tusimsikilize Roho Mtakatifu. Kuna hitajika neema ili kuondokana na hayo yote.
 
Hayo ni mapokeo toka KWA wapagani na walifanya hivyo ili kuulinda Ukristo dhidi ya watawala wa kipagani. Kumbuka Wakristo wakiwemo mitume 12 wa Yesu wameuliwa Roma. So Ili Ukristo usimalizwe pale Roma , Wakristo wa awali wakaingiza mapokeo ya kipagani Ili kuwahadaa watawala wa Roma wasione ni dini mpya thus wakaruhusu masanamu Ili kuwahadaa watawala wa Kiroma, KWA maana wapagani waliogopa kuingia Ukristo KWA kuhofia watawala wao wangewaua, hivyo wakawaambia Wakristo, waunde mfumo wa dini unaoendana na utamaduni wao. Ndio chanzo cha kuingiza hayo mapokeo makanisani Ili kuulinda Ukristo. Na kuuita Roman Catholic. Yaani Ukristo ulionzia Mji wa Roma na kusambaa duniani kote. Romani katoliki ndio asili ya madhehebu yote ya Kikristo na ndio umeulinda Ukristo usipotee duniani toka zama za wapagani wa kale, pia zama za Ottoman empire, nk hadi sasa. Kanisa la Roma ndio baba wa Ukristo duniani.
 
Yesu Kristo ambaye ndiye NENO la Mungu alituachia injili na Roho Mtakatifu kutuongoza safari ya Mbinguni.

Mambo yafuatayo ni machukizo mbele za Mungu
  1. Bikira Maria kws sababu hakuna maandiko yanayosapoti ibada ya kupitia Maria ili kumfikia Yesu au Mungu
  2. Ibada ya Sanamu. Yapo makanisa yamesimika sanamu kwenye makanisa hayo na watu wsnapiga goti kuomba rehema kupitia sanamu hizo wskiamini wapo salama
  3. Sanda, Yesu alituachia Imani na siyo historia hizi zilizopikwa na shetani na kulikabidhi kanisa lieneze uongo na kuwapoteza wengi
  4. Holly grail. Kikombe cha karamu ya mwisho. No such a thing
  5. Kubatiza watoto. Watoto wsnabarikiwa na wakubwa wanabatizwa baada ya kumkiri Yesu kama Bwana na Mwokozi wake. Mtoto anazaliwa huru hadi atakapoamua kuongoka kumfuata Yesu ndo anafanyika kuwa mkristo na mwanafunzi wa Yesu.
  6. Ibada za ndoa. Jambo hili limewekwa na kanisa kudhibiti waumini. Ndoa Takatifu ni pale ambapo mtu mume akishamaliza taratibu za kumposa mwanamke na hapo wanakuwa tayari wanandoa. Kuwaita watumishi wa Mungu kuombea ndoa ni jambo jema lakini watumishi hao wa Mungu kujitwalia mamlaka ya kufunga na kuvunja ndoa ni kukufuru agizo la Mungu kwenye eneo hilo
  7. Ibada za mazishi. Imenenwa kuwa kufa ni mara moja na baada ya kifo ni Hukumu. Hata Yesu hakufanyiwa ibada ya maziko. Hakuna sala wala tendo lolote linaloweza kubadilisha hatima ya mtu baada ya kifo chake. Jambo pekee liwezekanalo ni kumfufua endapo itampendeza Mungu. Kufanyiwa ibada baada ya kufa ni makufuru mbele za Mungu.
  8. Mungu kuchanganywa na Kaisari. Yesu alisema hauwezi kutumikia mabwana wawili ambapo utampenda mmoja na mwingine utamchukia. Huwezi kumpenda Mungu kisha ukaipenda fedha. Fedha ni mamlaka ya kidunia na watumishi wote walioingia kwenye mamlaka za dunia huku wakiwa na kofia zao za utumishi wana nafasi yao motoni kwa sababu wamekaidi injili na kushiriki karamu za kinyama na uharibifu.
Marko 16: 15-16
Basi enendenj mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka, asiyeamini atahukumiwa

Mwenye kuongeza neno la uvuvio aongezee yanayotukumbusha utume na agizo la Yesu Bwana wetu
Yesu kristo ndiyo neno la Mungu according to who? Yesu alikuwa Myahudi mbona Wayahudi wenyewe hawamtambui kama kweli yeye ndiye neno la Mungu? Tusipende kuaminishana upuuzi, wengine tumesoma jamani.
 
Wakristo hutumia kitabu gani na kwanini??
Kitabu nikiwa na maana torati ya Mussa n Injili ipi hutumiwa na kwanini??

Na ni mafundisho hapi huwa mnaegemea maana likitokea hili basi mtu anafata reference kwenye kitabu kinachomsuport kikitokea hiki vivyo hivyo.
Sasa je ni kipi kilirekebishwa kwenye injili au vi vitabu gani vilirekebishwa ndo ikatokea hili agano jipya.??

Nawasilisha
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Back
Top Bottom