Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Maana yake ni nini kumwabudu MUNGU katika "roho na kweli" kama siyo kuzishika Amri zake zote??Tuzidi kumwabudu Mungu katika Roho na Kweli hilo ndill Yesu alisimamia wakati wote wa huduma yake
Unawezaje kusema, nampenda MUNGU kwa roho yangu yote ikiwa Amri zake unazivunja????