Nisipowaambia ukweli nitahukumiwa siku ya mwisho. Haya ni machukizo kwa Mungu

Ahsante kwa kutukumbusha na mimi naongezea DINI ya Kweli ni AMANI na UPENDO (PEACE and LOVE).
Ni sahihi kwa mtazamo wako, ila ktk imani yangu dini ya kweli ni hii
Yakobo 1:27
Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.

Ulichokisema ww ni amri kuu..

Mathayo 22:38-39
[38]Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza.

[39]Na ya pili yafanana nayo, nayo ni hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako.
 
Dini ya Kweli ni AMANI na UPENDO hayo mengine ni hekaya kama za Abunuasi tu.
 
Yesu Kristo ambaye ndiye NENO la Mungu alituachia injili na Roho Mtakatifu kutuongoza safari ya Mbinguni.

Mambo yafuatayo ni machukizo mbele za Mungu
  1. Bikira Maria kws sababu hakuna maandiko yanayosapoti ibada ya kupitia Maria ili kumfikia Yesu au Mungu
  2. Ibada ya Sanamu. Yapo makanisa yamesimika sanamu kwenye makanisa hayo na watu wsnapiga goti kuomba rehema kupitia sanamu hizo wskiamini wapo salama
  3. Sanda, Yesu alituachia Imani na siyo historia hizi zilizopikwa na shetani na kulikabidhi kanisa lieneze uongo na kuwapoteza wengi
  4. Holly grail. Kikombe cha karamu ya mwisho. No such a thing
  5. Kubatiza watoto. Watoto wsnabarikiwa na wakubwa wanabatizwa baada ya kumkiri Yesu kama Bwana na Mwokozi wake. Mtoto anazaliwa huru hadi atakapoamua kuongoka kumfuata Yesu ndo anafanyika kuwa mkristo na mwanafunzi wa Yesu.
  6. Ibada za ndoa. Jambo hili limewekwa na kanisa kudhibiti waumini. Ndoa Takatifu ni pale ambapo mtu mume akishamaliza taratibu za kumposa mwanamke na hapo wanakuwa tayari wanandoa. Kuwaita watumishi wa Mungu kuombea ndoa ni jambo jema lakini watumishi hao wa Mungu kujitwalia mamlaka ya kufunga na kuvunja ndoa ni kukufuru agizo la Mungu kwenye eneo hilo
  7. Ibada za mazishi. Imenenwa kuwa kufa ni mara moja na baada ya kifo ni Hukumu. Hata Yesu hakufanyiwa ibada ya maziko. Hakuna sala wala tendo lolote linaloweza kubadilisha hatima ya mtu baada ya kifo chake. Jambo pekee liwezekanalo ni kumfufua endapo itampendeza Mungu. Kufanyiwa ibada baada ya kufa ni makufuru mbele za Mungu.
  8. Mungu kuchanganywa na Kaisari. Yesu alisema hauwezi kutumikia mabwana wawili ambapo utampenda mmoja na mwingine utamchukia. Huwezi kumpenda Mungu kisha ukaipenda fedha. Fedha ni mamlaka ya kidunia na watumishi wote walioingia kwenye mamlaka za dunia huku wakiwa na kofia zao za utumishi wana nafasi yao motoni kwa sababu wamekaidi injili na kushiriki karamu za kinyama na uharibifu.
Marko 16: 15-16
Basi enendenj mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka, asiyeamini atahukumiwa

Mwenye kuongeza neno la uvuvio aongezee yanayotukumbusha utume na agizo la Yesu Bwana wetu
Amen
 
wafia dini wanaoamini maria ni mke wa Mungu na hivyo ukipitia kwa mkewe Mungu anakusikia, watakubishia sana
 
Write your reply...watu wengi hatusomi biblia labda sababu ya ubize,pia mtu akisoma sana ni siku ya ibada.ila mtume paulo anakumbusha wapendwa msiamini kila roho bali zijaribu kwanza kwamba zimetokana na mungu au shetani.
 
Dini ni Mfumo wa Maisha aliyojiwekea Mwanaadam.

Mwanaadam ili aweze kuishi vizuri kwenye hii Dunia anapaswa kuishi kwa Amani na Upendo
Mfumo wa mwanadamu unaweza kukidhi hitaji la Dunia hii ?

Mwanadamu mkamilifu au si mkamilifu ?

Unaupimaje upendo na amani ?
 
1. Haukidhi ndio maana dini zimekua nyingi na zote zinavutia kwake na watu sasa wameamka hawataki tena Dini wanaamini AMANI na UPENDO vinatosha,

2. Sio Mkamilifu lakini atakamilika akiishi kwenye AMANI na UPENDO,

3. Havipimwi sababu sio Tangiable
 
Unaruka ruka kama maharage, hivyo vitabu unavyo quote sio
wacatholic ndio walio vi-release wewe ukasoma!?
Kuna maandishi ya kale ya biblia ambayo wewe unayo au kanisa lako zaidi
ya wacatholic!?
Hakika ukisimama kwenye vita ya nani anamiliki maandiko ya kale na nyeti zaidi siwezi katu kushika jambia kupigana kwenye hili.

Mungu kupitia Roho wake Mtakatifu anatuongoza vyema na hata ukichunguza akina Kayafa walikuwa makuhani wakuu nyakati za Yesu ingawa hawakuwa na upako wa Torati bali walisimamia torati ambayo Bwana wetu aliitumia gombo hilo lililotunzwa na makuhani kuhubiria na kuipitisha injili
 
1. Haukidhi ndio maana dini zimekua nyingi na zote zinavutia kwake na watu sasa wameamka hawataki tena Dini wanaamini AMANI na UPENDO vinatosha,

2. Sio Mkamilifu lakini atakamilika akiishi kwenye AMANI na UPENDO,

3. Havipimwi sababu sio Tangiable

Kuwa na dini nyingi chanzo chake ni watu kuacha dini sahihi, na kufata matamio Yao na si kinyume chake. Amani na upendo hautoshi kwa kipimo Cha mwanadamu sababu, mwanadamu akifanya kile kinachomfurahisha yeye anaona ni amani, Sasa nafsi ya mwanadamu ilivyo ni ya kuamrisha maovu. Mfano Leo hii watu wanaona pombe ni sawa, kamari sawa na hivi vinampa amani ya moyo wake lakini vina madhara.

Tuonyeshe ni kwa namna gani atakamilika akiishi katika amani na upendo.

Nani alikwambia kisicho tangible hakipimiki. Wagonjwa wa akili wanapimwaje ? Akili inashikika ?
 
Hakika ukisimama kwenye vita ya nani anamiliki maandiko ya kale na nyeti zaidi siwezi katu kushika jambia kupigana kwenye hili.

Mungu kupitia Roho wake Mtakatifu anatuongoza vyema na hata ukichunguza akina Kayafa walikuwa makuhani wakuu nyakati za Yesu ingawa hawakuwa na upako wa Torati bali walisimamia torati ambayo Bwana wetu aliitumia gombo hilo lililotunzwa na makuhani kuhubiria na kuipitisha injili
Lile andiko la "Wameyaasi maagizo yangu na kufata matakwa yao kwa kuabudu sanamu na kufanya machukizo mbele zangu....." Lingefaa sana kumjibu huyo Kiumbe, nimelisahau sijui lipo katika Wakorintho au Warumi?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Yesu Kristo ambaye ndiye NENO la Mungu alituachia injili na Roho Mtakatifu kutuongoza safari ya Mbinguni.

Mambo yafuatayo ni machukizo mbele za Mungu
  1. Bikira Maria kws sababu hakuna maandiko yanayosapoti ibada ya kupitia Maria ili kumfikia Yesu au Mungu
  2. Ibada ya Sanamu. Yapo makanisa yamesimika sanamu kwenye makanisa hayo na watu wsnapiga goti kuomba rehema kupitia sanamu hizo wskiamini wapo salama
  3. Sanda, Yesu alituachia Imani na siyo historia hizi zilizopikwa na shetani na kulikabidhi kanisa lieneze uongo na kuwapoteza wengi
  4. Holly grail. Kikombe cha karamu ya mwisho. No such a thing
  5. Kubatiza watoto. Watoto wsnabarikiwa na wakubwa wanabatizwa baada ya kumkiri Yesu kama Bwana na Mwokozi wake. Mtoto anazaliwa huru hadi atakapoamua kuongoka kumfuata Yesu ndo anafanyika kuwa mkristo na mwanafunzi wa Yesu.
  6. Ibada za ndoa. Jambo hili limewekwa na kanisa kudhibiti waumini. Ndoa Takatifu ni pale ambapo mtu mume akishamaliza taratibu za kumposa mwanamke na hapo wanakuwa tayari wanandoa. Kuwaita watumishi wa Mungu kuombea ndoa ni jambo jema lakini watumishi hao wa Mungu kujitwalia mamlaka ya kufunga na kuvunja ndoa ni kukufuru agizo la Mungu kwenye eneo hilo
  7. Ibada za mazishi. Imenenwa kuwa kufa ni mara moja na baada ya kifo ni Hukumu. Hata Yesu hakufanyiwa ibada ya maziko. Hakuna sala wala tendo lolote linaloweza kubadilisha hatima ya mtu baada ya kifo chake. Jambo pekee liwezekanalo ni kumfufua endapo itampendeza Mungu. Kufanyiwa ibada baada ya kufa ni makufuru mbele za Mungu.
  8. Mungu kuchanganywa na Kaisari. Yesu alisema hauwezi kutumikia mabwana wawili ambapo utampenda mmoja na mwingine utamchukia. Huwezi kumpenda Mungu kisha ukaipenda fedha. Fedha ni mamlaka ya kidunia na watumishi wote walioingia kwenye mamlaka za dunia huku wakiwa na kofia zao za utumishi wana nafasi yao motoni kwa sababu wamekaidi injili na kushiriki karamu za kinyama na uharibifu.
Marko 16: 15-16
Basi enendenj mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka, asiyeamini atahukumiwa

Mwenye kuongeza neno la uvuvio aongezee yanayotukumbusha utume na agizo la Yesu Bwana wetu
Mimi ni Msanii Mimi ni Msanii kioo cha jamii kioo cha jamiii mimi naona mbali mimi naona mbali kwa darubini kali kwa darubini kali
 
Kuwa na dini nyingi chanzo chake ni watu kuacha dini sahihi, na kufata matamio Yao na si kinyume chake. Amani na upendo hautoshi kwa kipimo Cha mwanadamu sababu, mwanadamu akifanya kile kinachomfurahisha yeye anaona ni amani, Sasa nafsi ya mwanadamu ilivyo ni ya kuamrisha maovu. Mfano Leo hii watu wanaona pombe ni sawa, kamari sawa na hivi vinampa amani ya moyo wake lakini vina madhara.

Tuonyeshe ni kwa namna gani atakamilika akiishi katika amani na upendo.

Nani alikwambia kisicho tangible hakipimiki. Wagonjwa wa akili wanapimwaje ? Akili inashikika ?
Dini sahihi ni ipi kwanza ili tuendelee
 
YESU KRISTO alifundisha Amri zote kumi za MUNGU wala hakupunguza wala kufuta hata moja.

Amri ya kuabudu siku ya saba (Sabato) iko pale pale na ndiyo maana BWANA YESU alisema yeye ni "BWANA WA SABATO".

Kuikataa "sabato" na kuabudu siku ya Jumapili ni machukizo kwa MUNGU. Kitendo cha kuabudu siku ya Jumapili ni kuvunja Amri ya 4 ya MUNGU. Yeyote atakayevunja hata Amri moja ndogo hataingia kamwe kwenye UFALME WA MUNGU.

Kuna watu watakuja na vifungu kutoka "Warumi" , "Wakolosai" na "Wagalatia" wakisema Mtume Paulo aliifuta sabato. Siyo kweli hata kidogo, Mtume Paulo hakuifuta Sabato bali maandiko yake yalipotoshwa makusudi ili kuwapoteza wengi. Mtume Petro alitahadharisha mapema sana kuhusu upotoshaji wa maandiko ya Mtume Paulo.

Soma 2 Petro 3:15-17
"15 Hesabuni uvumilivu wa Bwana kuwa ni wokovu, kama ndugu yetu mpendwa Paulo alivyokwisha kuwaandikieni kwa hekima aliyopewa na Mungu. 16 Ameandika hivyo hivyo katika barua zake zote akizun gumzia mambo haya. Barua zake zina mambo mengine ambayo ni magumu kuelewa, ambayo watu wajinga na wasio na msimamo huyapotosha, kama wanavyopotosha sehemu nyingine za Maandiko; na hivyo wana jiletea kuangamia.

17 Basi, ninyi wapendwa mkijua haya, jihadharini msije mka potoshwa na makosa ya hao waasi na kupoteza uthabiti wenu.

Ukisoma waraka kwa Waebrania utaona kuwa Mtume Paulo anasisitiza umuhimu wa kuishika siku ya "Sabato", tena anasema wazi wazi kuwa yeyote yule asiyepumzika katika kazi zake hawezi kamwe kuingia katika pumziko la MUNGU, yaani raha ya milele katika Ufalme wa MUNGU. Someni Waebrania 4:9-11

"9 Kwa hiyo basi ipo bado sabato ya mapumziko waliyowekewa watu wa Mungu; 10 kwa maana, mtu anayeingia katika pumziko la Mungu, pia hupumzika kutoka katika kazi zake kama vile Mungu alivyopumzika baada ya kazi zake.

11 Basi tujitahidi kuingia kwenye pumziko hilo asije mtu akaanguka kwa kutokuamini kama hao."

Wapendwa, nawakumbusheni tu kuwa MUNGU hana kigeugeu (1 Samweli 15:29) "Yeye aliye Utukufu wa Israeli hasemi uongo wala hana kigeugeu; kwa kuwa yeye si mwanadamu, hata abadili nia yake.”

MUNGU hajabadili nia yake wala Amri yake ya 4. Amri ya kuishika Sabato iko pale pale. Hata YESU KRISTO alisisitiza hilo kwa kusema; "Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie. Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni. Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni".

Kuikataa "sabato" na kuabudu siku ya Jumapili ni kuvunja Amri za MUNGU. Mwenye masikio na asikie!!!
 
Tuzidi kumwabudu Mungu katika Roho na Kweli hilo ndill Yesu alisimamia wakati wote wa huduma yake
 
Back
Top Bottom