Nisipowaambia ukweli nitahukumiwa siku ya mwisho. Haya ni machukizo kwa Mungu

Tuzidi kumwabudu Mungu katika Roho na Kweli hilo ndill Yesu alisimamia wakati wote wa huduma yake
Maana yake ni nini kumwabudu MUNGU katika "roho na kweli" kama siyo kuzishika Amri zake zote??

Unawezaje kusema, nampenda MUNGU kwa roho yangu yote ikiwa Amri zake unazivunja????
 
Yesu Kristo ambaye ndiye NENO la Mungu alituachia injili na Roho Mtakatifu kutuongoza safari ya Mbinguni.

Mambo yafuatayo ni machukizo mbele za Mungu
  1. Bikira Maria kws sababu hakuna maandiko yanayosapoti ibada ya kupitia Maria ili kumfikia Yesu au Mungu
  2. Ibada ya Sanamu. Yapo makanisa yamesimika sanamu kwenye makanisa hayo na watu wsnapiga goti kuomba rehema kupitia sanamu hizo wskiamini wapo salama
  3. Sanda, Yesu alituachia Imani na siyo historia hizi zilizopikwa na shetani na kulikabidhi kanisa lieneze uongo na kuwapoteza wengi
  4. Holly grail. Kikombe cha karamu ya mwisho. No such a thing
  5. Kubatiza watoto. Watoto wsnabarikiwa na wakubwa wanabatizwa baada ya kumkiri Yesu kama Bwana na Mwokozi wake. Mtoto anazaliwa huru hadi atakapoamua kuongoka kumfuata Yesu ndo anafanyika kuwa mkristo na mwanafunzi wa Yesu.
  6. Ibada za ndoa. Jambo hili limewekwa na kanisa kudhibiti waumini. Ndoa Takatifu ni pale ambapo mtu mume akishamaliza taratibu za kumposa mwanamke na hapo wanakuwa tayari wanandoa. Kuwaita watumishi wa Mungu kuombea ndoa ni jambo jema lakini watumishi hao wa Mungu kujitwalia mamlaka ya kufunga na kuvunja ndoa ni kukufuru agizo la Mungu kwenye eneo hilo
  7. Ibada za mazishi. Imenenwa kuwa kufa ni mara moja na baada ya kifo ni Hukumu. Hata Yesu hakufanyiwa ibada ya maziko. Hakuna sala wala tendo lolote linaloweza kubadilisha hatima ya mtu baada ya kifo chake. Jambo pekee liwezekanalo ni kumfufua endapo itampendeza Mungu. Kufanyiwa ibada baada ya kufa ni makufuru mbele za Mungu.
  8. Mungu kuchanganywa na Kaisari. Yesu alisema hauwezi kutumikia mabwana wawili ambapo utampenda mmoja na mwingine utamchukia. Huwezi kumpenda Mungu kisha ukaipenda fedha. Fedha ni mamlaka ya kidunia na watumishi wote walioingia kwenye mamlaka za dunia huku wakiwa na kofia zao za utumishi wana nafasi yao motoni kwa sababu wamekaidi injili na kushiriki karamu za kinyama na uharibifu.
Marko 16: 15-16
Basi enendenj mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka, asiyeamini atahukumiwa

Mwenye kuongeza neno la uvuvio aongezee yanayotukumbusha utume na agizo la Yesu Bwana wetu
Mkuu; Bado mmepungukiwa na jambo moja: Ref. Basi enendenj mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe
Kiumbe ni chochote kilicho hai alichokiumba Mungu wakiwemo Watu, Nguruwe, Nyoka, Samaki, Mende, Mbwa, n.k.
Hoja: Sasa mbona ninyi mnajikita tu kwa watu tena mbaya zaidi ni kwa Wakatoliki??? Hao viumbe wengine mbona mmewasahau? Tafakarini na mjiepushe na kujiona ninyi ndo mnaolifahamu Neno/Injili.
 
Mkuu; Bado mmepungukiwa na jambo moja: Ref. Basi enendenj mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe
Kiumbe ni chochote kilicho hai alichokiumba Mungu wakiwemo Watu, Nguruwe, Nyoka, Samaki, Mende, Mbwa, n.k.
Hoja: Sasa mbona ninyi mnajikita tu kwa watu tena mbaya zaidi ni kwa Wakatoliki??? Tafakarini na mjiepushe na kujiona ninyi ndo mnaolifahamu Neno/Injili.
Naanzia kujibu ya mwishoni kurudi mwanzo.
Wwkatoliki na wengineo wote hawajamatazwa kuinjilisha.
Na ifahamike anayehukumu ni mmoja tu. Ametoa road map ya mambo ambayo ni chukozo kwake.

Kuhusu viumbe wote inabidi turudi kwenye tafsiri ya Kiebrania na Kiaramu kwenda Kiingereza kwa sababu hata kiswahili tunazo Bibliia zenye versions tofauti tofauti.

Mimi nitafanya kile ambacho Roho wa Mungu ataniagiza kufanya na siwezi kufanya matakwa yangu kamwe
 
Ehe; Mkuu, Tafsiri ya Kiebrania na Kiaramu inasemaje hapo waliotafsiri waliandika Viumbe na ikakubalika na ipo hivyo hadi leo?
 
Mathayo 24:8
Hayo yote ndiyo mwanzo wa utungu.

Mathayo 24:8
Mateso Yatabiriwa

Mathayo 24:9
Wakati huo watawasaliti ninyi mpate dhiki, nao watawaua; nanyi mtakuwa watu wa kuchukiwa na mataifa yote kwa ajili ya jina langu.

Mathayo 24:10
Ndipo wengi watakapojikwaa, nao watasalitiana, na kuchukiana.

Mathayo 24:38
Kwa kuwa kama vile siku zile zilizokuwa kabla ya Gharika watu walivyokuwa wakila, na kunywa, wakioa na kuolewa, hata siku ile aliyoingia Nuhu katika safina,

Mathayo 24:39
wasitambue, hata Gharika ikaja, ikawachukua wote, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.
We endelea kuamini ulichofundishwa na kuaminishwa. Hizi dini zimeletwa kutugawa ili watutawale. Pambana na wewe uwe na pango lako la kula sadaka.
 
Ah bhana! Saa nyingine baadhi yetu waliomo kwenye dini hizo nao tena wanataka kuwa wajanja- wajanja kuliko wale ogii waliozileta.
 
Yesu Kristo ambaye ndiye NENO la Mungu alituachia injili na Roho Mtakatifu kutuongoza safari ya Mbinguni.

Mambo yafuatayo ni machukizo mbele za Mungu
  1. Bikira Maria kws sababu hakuna maandiko yanayosapoti ibada ya kupitia Maria ili kumfikia Yesu au Mungu
  2. Ibada ya Sanamu. Yapo makanisa yamesimika sanamu kwenye makanisa hayo na watu wsnapiga goti kuomba rehema kupitia sanamu hizo wskiamini wapo salama
  3. Sanda, Yesu alituachia Imani na siyo historia hizi zilizopikwa na shetani na kulikabidhi kanisa lieneze uongo na kuwapoteza wengi
  4. Holly grail. Kikombe cha karamu ya mwisho. No such a thing
  5. Kubatiza watoto. Watoto wsnabarikiwa na wakubwa wanabatizwa baada ya kumkiri Yesu kama Bwana na Mwokozi wake. Mtoto anazaliwa huru hadi atakapoamua kuongoka kumfuata Yesu ndo anafanyika kuwa mkristo na mwanafunzi wa Yesu.
  6. Ibada za ndoa. Jambo hili limewekwa na kanisa kudhibiti waumini. Ndoa Takatifu ni pale ambapo mtu mume akishamaliza taratibu za kumposa mwanamke na hapo wanakuwa tayari wanandoa. Kuwaita watumishi wa Mungu kuombea ndoa ni jambo jema lakini watumishi hao wa Mungu kujitwalia mamlaka ya kufunga na kuvunja ndoa ni kukufuru agizo la Mungu kwenye eneo hilo
  7. Ibada za mazishi. Imenenwa kuwa kufa ni mara moja na baada ya kifo ni Hukumu. Hata Yesu hakufanyiwa ibada ya maziko. Hakuna sala wala tendo lolote linaloweza kubadilisha hatima ya mtu baada ya kifo chake. Jambo pekee liwezekanalo ni kumfufua endapo itampendeza Mungu. Kufanyiwa ibada baada ya kufa ni makufuru mbele za Mungu.
  8. Mungu kuchanganywa na Kaisari. Yesu alisema hauwezi kutumikia mabwana wawili ambapo utampenda mmoja na mwingine utamchukia. Huwezi kumpenda Mungu kisha ukaipenda fedha. Fedha ni mamlaka ya kidunia na watumishi wote walioingia kwenye mamlaka za dunia huku wakiwa na kofia zao za utumishi wana nafasi yao motoni kwa sababu wamekaidi injili na kushiriki karamu za kinyama na uharibifu.
Marko 16: 15-16
Basi enendenj mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka, asiyeamini atahukumiwa

Mwenye kuongeza neno la uvuvio aongezee yanayotukumbusha utume na agizo la Yesu Bwana wetu
Uzi wa kwanza nauona jf unaturudisha kwny utufu mkuu wa Mungu.[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
Ulicho andika hapa si "Ukweli" bali ume andika "Mafundisho ya imani ya dini yako" Hivyo kwa mwingine Sikweli.
 
Hakika wala siyo jambo la kulazimisha sana kuamini ninachokiamini lakini umesikia na imeshafanyika ushuhuda kwsko.

Roho wa Mungu akuongoze vyema
 
Hata Kutumia JF kuhubiri injili ni chukizo mbele za Mungu pia
Hapana, si chukizo! Kwanza JF ni jukwaa huru la kutolea mitazamo na maoni ya kila nyanja ya kijamii. Ila pia, injili inahubiriwa popote pale, hata humu.
Dini sahihi ni ipi kwanza ili tuendelee
Dini ni mitazamo na njia mbalimbali za kiibada au kiimani za wanadamu za kumwendea Mungu. Yesu siyo dini na hakuleta dini, bali Yeye ndiye Njia sahihi ya kumwendea Mungu Baba.

Na kwahiyo hata ukristo wenyewe kwa asili yake si dini, bali kusanyiko la wafuasi au waliompokea Yesu Kristo na kufanyika wana wa Mungu Baba. Wafuasi wa Yesu pia huitwa kanisa. Aidha, kanisa si jengo la ibada wala madhehebu, bali ni mwili wa Yesu Kristo wenye viungo vingi (wamwaminio).
 
Hebu msome Gwappo Mwakatobe hapo juu alivyojibu hilo swali,

Halafu niwaache sasa mkipambania DINI SAHIHI ni ipi,

Huku sie wengine tukifundishana AMANI na UPENDO,
😀
Haya ni madai tu kama wewe unavyo dai ya kuwa Dini ya kweli ni upendo na amani, ila kazi inakuja kwenye kuthibitisha na kuonyesha ukweli wa hicho ulichoegemea.

Kwahiyo haina haja ya kumsoma huyo uliye mtaja bali wewe umeona jinsi ulivyo shindwa kutetea dai lako na kuonyesha ukweli wa dai lako. Hivi ndivyo mambo yalivyo.

Elimu inahitajika sana na kufikiri hasa.

Shukrani sana.
 
Huyo mdau ukiangalia alichokiandika inaonyesha ana ufahamu mdogo sana juu ya Tamko "DINI". Katika maana ya dini ni "njia" kadhalika katika maana ya Dini ni Siku ya malipo yaani siku ya hukumu.
 
Haya ni madai tu kama wewe unavyo dai ya kuwa Dini ya kweli ni upendo na amani, ila kazi inakuja kwenye kuthibitisha na kuonyesha ukweli wa hicho ulichoegemea.

Kwahiyo haina haja ya kumsoma huyo uliye mtaja bali wewe umeona jinsi ulivyo shindwa kutetea dai lako na kuonyesha ukweli wa dai lako. Hivi ndivyo mambo yalivyo.

Elimu inahitajika sana na kufikiri hasa.

Shukrani sana.
Umeninukuu vibaya, sijashindwa kutetea dai langu kwanza halitakiwi kutetewa sababu Mtu yoyote mwenye Akili timamu ataipenda Amani na kuuishi Upendo, ukiona Mtu anataka afafanuliwe kuhusu Amani na Upendo utawanufaisha vipi Wanaadam basi ujue ni aidha kachanganyikiwa ama ukatili umemvaa kiasi kwamba haitaki hiyo Amani na Upendo,

Ni maneno marahisi sana lakini yenye maana kubwa, unaweza ukatafuta mwenyewe lakini leo sina muda wa kulumbana, nina AMANI na UPENDO ndani yangu,🤗

Pia, huyo uliyesema sijui nini hapo nilikuonesha uone hizo Dini zenu zinavyoleta mikanganyiko kwenye jamii, huyu anasema Dini yake nzuri, yule anasema yake ndio nzuri ndio mwanzo wa kuanza kulipuana, lakini wote tukiwa na UPENDO basi tutaishi kwa AMANI,

DINI YA KWELI NI AMANI NA UPENDO.
 
Yesu Kristo ambaye ndiye NENO la Mungu alituachia injili na Roho Mtakatifu kutuongoza safari ya Mbinguni.

Mambo yafuatayo ni machukizo mbele za Mungu
  1. Bikira Maria kws sababu hakuna maandiko yanayosapoti ibada ya kupitia Maria ili kumfikia Yesu au Mungu
  2. Ibada ya Sanamu. Yapo makanisa yamesimika sanamu kwenye makanisa hayo na watu wsnapiga goti kuomba rehema kupitia sanamu hizo wskiamini wapo salama
  3. Sanda, Yesu alituachia Imani na siyo historia hizi zilizopikwa na shetani na kulikabidhi kanisa lieneze uongo na kuwapoteza wengi
  4. Holly grail. Kikombe cha karamu ya mwisho. No such a thing
  5. Kubatiza watoto. Watoto wsnabarikiwa na wakubwa wanabatizwa baada ya kumkiri Yesu kama Bwana na Mwokozi wake. Mtoto anazaliwa huru hadi atakapoamua kuongoka kumfuata Yesu ndo anafanyika kuwa mkristo na mwanafunzi wa Yesu.
  6. Ibada za ndoa. Jambo hili limewekwa na kanisa kudhibiti waumini. Ndoa Takatifu ni pale ambapo mtu mume akishamaliza taratibu za kumposa mwanamke na hapo wanakuwa tayari wanandoa. Kuwaita watumishi wa Mungu kuombea ndoa ni jambo jema lakini watumishi hao wa Mungu kujitwalia mamlaka ya kufunga na kuvunja ndoa ni kukufuru agizo la Mungu kwenye eneo hilo
  7. Ibada za mazishi. Imenenwa kuwa kufa ni mara moja na baada ya kifo ni Hukumu. Hata Yesu hakufanyiwa ibada ya maziko. Hakuna sala wala tendo lolote linaloweza kubadilisha hatima ya mtu baada ya kifo chake. Jambo pekee liwezekanalo ni kumfufua endapo itampendeza Mungu. Kufanyiwa ibada baada ya kufa ni makufuru mbele za Mungu.
  8. Mungu kuchanganywa na Kaisari. Yesu alisema hauwezi kutumikia mabwana wawili ambapo utampenda mmoja na mwingine utamchukia. Huwezi kumpenda Mungu kisha ukaipenda fedha. Fedha ni mamlaka ya kidunia na watumishi wote walioingia kwenye mamlaka za dunia huku wakiwa na kofia zao za utumishi wana nafasi yao motoni kwa sababu wamekaidi injili na kushiriki karamu za kinyama na uharibifu.
Marko 16: 15-16
Basi enendenj mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka, asiyeamini atahukumiwa

Mwenye kuongeza neno la uvuvio aongezee yanayotukumbusha utume na agizo la Yesu Bwana wetu
Umesahau kuongezea na Fundisho la fungu la Kumi ambalo ni POTOFU
 
Kama fedha ni za ulimwengu je, tufanye ibada bila sadaka?
 
Back
Top Bottom