Niskilizeni mimi, wachezaji hawa yanga waachwe/wabaki

Niskilizeni mimi, wachezaji hawa yanga waachwe/wabaki

Mzize Aendelee Kuwepo Ana Improve Kwa Kasi.
Mzize hana hadhi ya kucheza Yanga tokea msimu unaanza niliwaambia mkaniita hater.

Kama sio upumbavu wake saa hizi tungekuwa tumeshacheza nusu fainali ya kwanza na Esperance, lile goli la Aziz wala lisingetuuma kihivyo maana hapa nyumbani tu tungeshinda 2.
 

Attachments

  • FB_IMG_1713862685968.jpg
    FB_IMG_1713862685968.jpg
    29.1 KB · Views: 6
  • 20240423_113002.jpg
    20240423_113002.jpg
    646 KB · Views: 5
Baya kweli jamaa anakula sana na anapenda mizigo hatari. Lols

Ila sasa kuna michezo ameianza sio poa, uzuri Hersi huwa hacheki na virusi atawaondosha wote.
Huyu huwa namuonaga mitaa fulani ya bata usiku mkubwa ingawa anajifichaga na kofia ila lile chimbo sio kbs ..kaja kuona kwa dada wa US
 
Kwani dada wa US alisemaje kuhusu yeye? Maana niliona tu kachafua hewa sijui kachafua vipi.
Nami niliona siko ktk app yake niliona mtu aliweka kwa group wasap kuwa kuna connection yake ila siijui
 
Back
Top Bottom