othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Muda naye wakuachwa tu ana kitete akiwa na mpira hana utulivu kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa si ni Sawa na kuwa na Kibu Denis? ana faida gani?Unamjua Bobby Firmino? Unaijua False No: 9?
Alikuwa anafanya kazi gani pale Liverpool?
Siyo kila No:9 lazima afunge goal nyingi anaweza kuchezea kama linkup player anarudi nyuma anachukua Mali anasumbua viungo na beki pinzani anasababisha wapinzani wasikae kwenye nafasi sahihi anatoa pasi za magoli.
Gamond alikuwa anaongea na mtangazaji flani mbongo akamwambia yeye hatafuti striker wa magoli anataka striker wa kazi nilizosema hapo juu.
Kwa wachezaji wa ndani unadhani ni kazi rahisi kupata kiwango cha Mudathir?Muda naye wakuachwa tu ana kitete akiwa na mpira hana utulivu kabisa.
Yanga sio chuo cha malezi, ndio maana nimesema hana hadhi ya kucheza Yanga. Tunahitaji wachezaji wa kuleta mchango wa makombe kwenye timu.
Unafikiri angekuwa Mayele pale si tungekuwa nusu fainali?
Skudu ni mgeni, huwezi kumuacha akaziba nafasi ya wageni, aende tu akacheze kwaoto.Skudu bado hajapata muda vizuri abaki, Faridi mussa abaki
Wa kuondoka metacha may be mauya , Kibwana ajitahidi kazini kwake kuna kazi kama anavyosema yeye, captain NONDO wa kufikiriwa
Haijalishi ila anzingua sn yule mpemba akiwa na mpira haangalii nyuma yake nani anakuja wanamkaba na kichukua mipira kirahisi pasi anazotoa ni mkaa, nafasi ya muda apepe kiungo punda mkude muda aende ihefu.Kwa wachezaji wa ndani unadhani ni kazi rahisi kupata kiwango cha Mudathir?
Mkuu acha kumfananisha Mzinze na wavunja kuni wa ajabu ajabu.Sasa si ni Sawa na kuwa na Kibu Denis? ana faida gani?
Sisi tunamsikiliza Gamondi na Injinia tu; ukitaka uskilizwe wewe basi anzisha timu yako.Wakuu binafsi nimeskia sana swala la mashabiki kudai wachezaji wetu baadhi waachwe na wengine wabaki .
Ni sawa ..
Lakini shida tunasahau sana na kukurupuka sana bila kukumbuka na kufuatilia kwa umakini .
Well wafuatao yanga tunapaswa kuwaacha ..!
1;skudu makudubela.
Huyu ni mfanyakazi hewa na hana anachofanya..!
Sio vibaya akiachwa sababu ni mgeni na nafasi yake ikajazwa na wings mwengine wakigeni au striker kuliko kumuacha musonda, tutaumia.
2;zawadi mauya.
Katusaidia sana kipindi kile yanga inajitafuta .
Lakini lazima tukubali huyu muda wake umeisha, ameshapewa nafasi sana na ameshindwa kuitumia ,
Amekuja mkude na amemkuta na ameingia kwenye mfumo
Huyu zawadi yeye bado tu!
Aachwe na nafasi yake tupate kiungo mzawa ,kama yule wa coastal Gwalala ooh boy! Hata kagoma anatufaa.
3:metacha mnata.
Huyu muda wake anaupoteza bure na atafute team nyingine kwa sasa sidhani kama atabaki.
Amepewa sana nafasi na kocha lakini tumeishia kuambulia maumivu tu, hafai aende tupate kipa mwengine mzawa wa kumsaidia diarra na msheli. Kipa wa prison yona Amos anafaa sana sidhani kama kuna ugumu kumpata!
5;Joyce lomalisa Mutambala.
Huyu umri umesogea na amekuwa ni injury prone! amechoka kwa sasa!
Yeye mwenyewe hataki kuongeza mkataba na ameomba mwishoni wa msimu aende!
Sioni sababu ha kubembelezwa aende, uwezo wake pia umeshuka siku nyingi tu katusaidia sana lakini goodbye! Lamine imoro (something like that) anafaa sana na hana team kwa sasa yupo tu kotoko pale kwao Ghana anapasha pasha , tuchukue mali hiyo..!
WA KUBAKI.
Kennedy musonda ..
Huyu bado tunamuhitaji sana hasa kimataifa , wanaosema aachwe wamepotoka hata Gamondi mwenyewe atawashangaa!
Kwa maelezo zaidi aulizwe beki Khuliso Mudau..!
Clement mzize..
Huyu bado ana msaada mkubwa kwetu , itachukua muda kupata mchezaji mzawa kama mzize.
Tukumbuke yeye ametoka mtaani kijiweni (bodaboda) na kwenda straight Yanga ..! Its not easy boy, hata kama alianza yanga b bado sio rahisi. Naskia kaongeza mkataba japo sina uhakika
DANGER ZONE(WA KUJITAFAKARI)
1; Kibwana shomari.
Bwana mdogo akaze sana sana, upande wake mgumu sana .
Kama hata pengo la yao lilizibwa na Fred ambaye wore tunajua ni CB basi ni warning sign kwa kibwana , akaze sana hasa mazoezini nadhani jeraha lake alishapona..
2; Gift Fred..
Huyu naye kwa sasa angalau amekuwa akipata nafasi kama beki wa kulia.
Lakini yeye siyo RB Bali aliletwa kama CB , kwahiyo ajitafakari
Licha ya kwamba upande ule wa kulia aliziba vizuri sana wakati wa pengo ..
3;FARID MUSSA MALICK.
Kipenzi cha wanayanga kwa sasa amepotea!
Kipenzi cha Nabi kwa sasa amepotea kwenye zama za Gamondi!
Nadhani quality ya kikosi ndiyo inamuhukumu kijana!
Faridi ajitahidi vinginevyo itakuwa ngumu kumvumilia sana pale yanga.
4; BAKARI NONDO MWAMNYETO.
Ndiyo .huyu naye amekuwa akifanya makosa ya Mara kwa Mara .
Captain wetu amekuwa mzito kwenye maamuzi sehemu za hatari ,
Kiwango chake kimekuwa cha kutabirika sana
Haishangazi sana kwa sasa Job na Bacca wakicheza Mara nyingi dhidi yake.!
Ushahidi mzuri kwa siku za hivi karibuni ni match ya juzi dhidi ya simba , captain alizembea kwa kweli na kusababisha goli.
Its Pancho
Mzize ni striker mzuri tuongee kimpira.Mzize hana hadhi ya kucheza Yanga tokea msimu unaanza niliwaambia mkaniita hater.
Kama sio upumbavu wake saa hizi tungekuwa tumeshacheza nusu fainali ya kwanza na Esperance, lile goli la Aziz wala lisingetuuma kihivyo maana hapa nyumbani tu tungeshinda 2.
Hapana, Muda abaki.Muda naye wakuachwa tu ana kitete akiwa na mpira hana utulivu kabisa.
Kibu hatoi assist wala hafungi Wala hasababishi wenzie wafunge.Sasa si ni Sawa na kuwa na Kibu Denis? ana faida gani?
This is what I'm talking.Mzize ni striker mzuri tuongee kimpira.
Ila anachokosa yeye ni umakini tu.
Mtizame Yanga dhidi ya El merrekh alifunga nyumbani na ugenini.
Mtizame derby ya kariakoo ya 5-1 alivyoingia alitoa mchango wa magoli mawili.
Mzize anachohitaji ni improvement tu akiwa golini.
Kuna siku mbaya kazini inatokea kwa binadamu wote.Haijalishi ila anzingua sn yule mpemba akiwa na mpira haangalii nyuma yake nani anakuja wanamkaba na kichukua mipira kirahisi pasi anazotoa ni mkaa, nafasi ya muda apepe kiungo punda mkude muda aende ihefu.
Exactly, Yanga sio academy ya malezi ya soka. Pale wanatakiwa waje profesional tuYanga sio chuo cha malezi, ndio maana nimesema hana hadhi ya kucheza Yanga. Tunahitaji wachezaji wa kuleta mchango wa makombe kwenye timu.
Unafikiri angekuwa Mayele pale si tungekuwa nusu fainali?
Mzinze ana mchango mkubwa kufika hatua ya Makundi CCL.Tunahitaji wachezaji wa kuleta mchango wa makombe kwenye timu.
Hii mentality ilimponza Barcelona kwa Denis suarez.Exactly, Yanga sio academy ya malezi ya soka. Pale wanatakiwa waje profesional tu
Wanamsahau Saka aliyekuzwa Arsenal na leo tegemeo.Hii mentality ilimponza Barcelona kwa Denis suarez.
Denis Suarez alikua 100% Messi mtoto.
Na messi aliwasihi barcelona msimuuze Denis Suarez ni mbadala mkubwa wa Barcelona akuzwe hapa alelewe hapa.
Mwishowe wakamuuza kaenda arsenal sijui asahivi yuko wapi washamfuja kipaji na barca haina no.10 ya maana.
Timu inatakiwa iwe na sehemu mbili ya kukuzia kipaji mbadala na wachezaji mapro wa kuingia directly kwa mfumo.
Itizame Real madrid inatamba na kina Asensio na kina vinicious junior na kina Velverde,wale wamelelewa Los Blancos.
Wewe unajua sana mkuuHii mentality ilimponza Barcelona kwa Denis suarez.
Denis Suarez alikua 100% Messi mtoto.
Na messi aliwasihi barcelona msimuuze Denis Suarez ni mbadala mkubwa wa Barcelona akuzwe hapa alelewe hapa.
Mwishowe wakamuuza kaenda arsenal sijui asahivi yuko wapi washamfuja kipaji na barca haina no.10 ya maana.
Timu inatakiwa iwe na sehemu mbili ya kukuzia kipaji mbadala na wachezaji mapro wa kuingia directly kwa mfumo.
Itizame Real madrid inatamba na kina Asensio na kina vinicious junior na kina Velverde,wale wamelelewa Los Blancos.
Umesahau hata penalt tuliyopata ilitooka kwa musondaNdio maana sitaki kumsikia jamaa. Ni kama Musonda alivyotunyima Kombe la shirikisho kule Algeria kwa uchoyo wake. Angempa pasi Mayele kombe lingekuwa jangwani pale.
Ndicho nachokisema hapa mkuu.Wanamsahau Saka aliyekuzwa Arsenal na leo tegemeo.
Wanawasahau wachezaji wa Man U waliowapa treble 1999 walikuzwa pale pale.