Niskilizeni mimi, wachezaji hawa yanga waachwe/wabaki

Niskilizeni mimi, wachezaji hawa yanga waachwe/wabaki

Mechi ya kwanza Mzinze hana assist?
Zilikuwa ngapi?
Umesahau alimburuza Tshhabalala makolo wakalia Mzinze huyu huyu anawaburuza akina Tshhabalala?
Tafadhali rudia kuangalia Ile mechi usiyumbishwe na kelele za kumshangilia Pacome.
Rudia rudia tena na tena uone uhalisia sababu nabii hakubaliki nyumbani kwake.
Pacome alitisha na Mzinze alitisha pia.
Mechi ya kwanza ya derby Pacome ndio aliibeba mechi yote, tusingezungumza goli 5 hapa bila yeye.

Mechi ya pili ni Aziz Ki, Mzize ana mchango ila sio kama hao wawili niliowataja.
 
Hapana, Muda abaki.
Kuna wakati huwa analikamata dimba la katikati pale na ni king’ang’anizi kwelikweli. Na anakupa faida nyingine analijua goli.
Muda anazingua sn zile game alizofanya vizuri ulikuwa ni upepo tu lkn hana consistence uwanjani.

Aachwe tu.
 
Wachezaji wa kuondoshwa haraka Yanga bila kujali na sitatoa sababu ni Jonas Mkude pamoja na Lomalisa Mutambala.

Jonas ni kirusi, hafai kubaki la sivyo tutakuja kulaumiana.
Jonas ni shabiki wa Yanga lia lia na sasa hivi tayari ameshaingia kwenye mfumo wa kocha.
 
Wachezaji wa kuondoshwa haraka Yanga bila kujali na sitatoa sababu ni Jonas Mkude pamoja na Lomalisa Mutambala.

Jonas ni kirusi, hafai kubaki la sivyo tutakuja kulaumiana.
Kirusi kivipi Nifah ndg yangu?
 
Hamkunisoma vizuri, zingatieni neno kirusi.
Mkude ni shabiki wa Yanga lia lia na ndoto zake siku zote ilikuwa ni kuchezea timu yake pendwa ya Yanga kama ilivyo kuwa kwa Athumani China ambae ndoto yake ilikuwa ni kuchezea timu yake pendwa( Simba) ingawa alifanya vizuri sana na Yanga kwa muda mrefu au kama.ilivyo kuwa kwa Mohamed Mwameja ambae licha ya kucheza Simba aka mafanikio lakini yeye ni shabiki lia lia wa Yanga alie kuwa na ndoto za kuchezea Yanga ambapo mwaka 93 alisaini Yanga ukatokea mgogoro mkubwa sana ndani ya Simba nusra ya watu kuchinjana hadi pals Hayati Mzee Mwinyi alipoingilia kati na kusema Mwameja abaki kwenye timu aliyo kuwa anaichezea.

So Mkude ni mwananchi mwenzetu huyo kama alivyo Haruna Moshi Boban
 
Wachezaji wa kuachwa kutokana na viwango vyao kutoridhisha ni Skudu, Kibwana, Mauya, Sureboy (Namkubali sana lakini aende), Mzize yani huyu ndio sitaki hata kumsikia.
Nkane pia atuache imetosha.

Wa kujirekebisha ni
1. Mwamnyeto (Huyu namkubali mno ila wenge limezidi, atatugharimu at this rate)

2. Musonda, siku hizi anajitahidi ila hayuko aggressive kama stiker, aongeze juhudi.

3. Kibabage, hana utulivu. Aache kutafuta sifa binafsi acheze kama timu, huku mwishoni naona kajirekebisha kiasi.
Unachambuaje mpira Kwa kutumia kibao chambuzi?
 
Farid mussa na gift fred ni wa kuondoka mwamnyeto na kibwana shomari wapewe muda wa kujitafakari pia umemsahau sure boy, umri umeshaenda na kashindwa kuingia kwenye mfumo wa kocha apewe thank you tu kuna nkane pia kama ahitajiki angeachwa tu akacheze kwengine
 
Wachezaji wa kuondoshwa haraka Yanga bila kujali na sitatoa sababu ni Jonas Mkude pamoja na Lomalisa Mutambala.

Jonas ni kirusi, hafai kubaki la sivyo tutakuja kulaumiana.
Huyu huyu mliyekua mna mpambaa? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzize hana hadhi ya kucheza Yanga tokea msimu unaanza niliwaambia mkaniita hater.

Kama sio upumbavu wake saa hizi tungekuwa tumeshacheza nusu fainali ya kwanza na Esperance, lile goli la Aziz wala lisingetuuma kihivyo maana hapa nyumbani tu tungeshinda 2.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio maana sitaki kumsikia jamaa. Ni kama Musonda alivyotunyima Kombe la shirikisho kule Algeria kwa uchoyo wake. Angempa pasi Mayele kombe lingekuwa jangwani pale.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aziz huyuhuyu aliyeletewa maua akalia? Nikwambie tu anatoka na mwanamke ambaye ni rafiki na yule Karen anayetoka na Pacome.
Na nzengeli nae anataka kujiweka kwa DA N, [emoji23][emoji23][emoji23]
mbona kitaumanaaa!!!
 
Back
Top Bottom